Sanctus Mtsimbe
R I P
- Jul 14, 2008
- 1,820
- 1,031
excuse me sir... what about Dr. Masau?
Napenda leo nitoe changamoto na ahadi kwa wasomi wetu hao, wenye fani mbalimbali kama vile kilimo, mifugo, uvuvi, uhandisi, ubunifu wa majengo, sheria, uhasibu na kadhalika.
Serikali ya Awamu ya Nne itakaribisha mawazo kutoka kwa vyama vya kitaaluma juu ya namna bora ya Serikali kufikia lengo hilo. Ninataka wasomi wetu wawe kiini cha wajasiriamali wasomi na wakubwa nchini.
Tunapenda kwenda kumwona sasa...
Mwenyekiti Mtsimbe,
Chama chako hapo kita qualify huu ukaribisho?
Tulisha establish kwamba chama chako ni chama cha wote. Qaulifications yanu ni moja: kuafikili lengo la chama. Yeyote anaweza kuingia humo. Mtapokelewa kweli kwa mujibu wa huo mwaliko kwa wataalam?
Mwenyekiti Mtsimbe,
Chama chako hapo kita qualify huu ukaribisho?
Tulisha establish kwamba chama chako ni chama cha wote. Qaulifications yanu ni moja: kuafikili lengo la chama. Yeyote anaweza kuingia humo. Mtapokelewa kweli kwa mujibu wa huo mwaliko kwa wataalam?
Qaulifications ndio nini?
Naona sasa kweli yashakuwa hayo.
Ha haa hahahaahahaha....
The thing is, mimi sikosoi watu sarufi na spelling.
hotuba Ya Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Akifungua Rasmi Bunge Jipya La Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania, Dodoma, 30 Desemba 2005. . . .
uchumi Unaoshirikisha Raia Wengi
. . . .
Mheshimiwa Spika:
Serikali Ya Awamu Ya Nne Itaongeza Kasi Ya Kupambana Na Umaskini. Tutawezesha Watanzania Kwa Makundi. Kundi La Kwanza Ni La Watanzania Wasomi, Walio Ndani Au Nje Ya Nchi Yetu. Zamani Ilikuwa Mtu Ukitoka Chuo Kikuu, Kazi Ya Serikali Inakungoja. Leo Hali Si Hiyo. Wengi Inabidi Watafute Kazi Kwenye Sekta Binafsi, Au Wajiajiri Wenyewe.
Napenda Leo Nitoe Changamoto Na Ahadi Kwa Wasomi Wetu Hao, Wenye Fani Mbalimbali Kama Vile Kilimo, Mifugo, Uvuvi, Uhandisi, Ubunifu Wa Majengo, Sheria, Uhasibu Na Kadhalika. katika Dunia Ya Utandawazi Na Ushindani Unaoambatana Nao, Watanzania Wasomi Watabaki Nje Iwapo Hawatakuwa Wabunifu Zaidi, Wakaungana Na Kuanzisha Kampuni Kubwa Za Wazalendo.
Lakini Wakikubali Kuungana, Na Kuanzisha Kampuni Kubwa Zinazoendeshwa Kwa Misingi Halisi Ya Kibiashara, Na Sio Ubabaishaji, serikali, Kupitia Vyama Vya Taaluma Zao, Itawaunga Mkono, Itawasaidia Na Itawawezesha. serikali Ya Awamu Ya Nne Itakaribisha Mawazo Kutoka Kwa Vyama Vya Kitaaluma Juu Ya Namna Bora Ya Serikali Kufikia Lengo Hilo. Ninataka Wasomi Wetu Wawe Kiini Cha Wajasiriamali Wasomi Na Wakubwa Nchini.
Tunapenda Kwenda Kumwona Sasa Kuhusiana Na Ahadi Yake. Tupeane Maoni Ni Kipi Tunapenda Serikali ituunge Mkono, Itusaidie Na Ituwezeshe?
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, AKIFUNGUA RASMI BUNGE JIPYA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DODOMA, 30 DESEMBA 2005. . . .
Uchumi Unaoshirikisha Raia Wengi
. . . .
Mheshimiwa Spika:
Serikali ya Awamu ya Nne itaongeza kasi ya kupambana na umaskini. Tutawezesha Watanzania kwa makundi. Kundi la kwanza ni la Watanzania wasomi, walio ndani au nje ya nchi yetu. Zamani ilikuwa mtu ukitoka Chuo Kikuu, kazi ya Serikali inakungoja. Leo hali si hiyo. Wengi inabidi watafute kazi kwenye sekta binafsi, au wajiajiri wenyewe.
Napenda leo nitoe changamoto na ahadi kwa wasomi wetu hao, wenye fani mbalimbali kama vile kilimo, mifugo, uvuvi, uhandisi, ubunifu wa majengo, sheria, uhasibu na kadhalika. Katika dunia ya utandawazi na ushindani unaoambatana nao, Watanzania wasomi watabaki nje iwapo hawatakuwa wabunifu zaidi, wakaungana na kuanzisha kampuni kubwa za wazalendo.
Lakini wakikubali kuungana, na kuanzisha kampuni kubwa zinazoendeshwa kwa misingi halisi ya kibiashara, na sio ubabaishaji, Serikali, kupitia vyama vya taaluma zao, itawaunga mkono, itawasaidia na itawawezesha. Serikali ya Awamu ya Nne itakaribisha mawazo kutoka kwa vyama vya kitaaluma juu ya namna bora ya Serikali kufikia lengo hilo. Ninataka wasomi wetu wawe kiini cha wajasiriamali wasomi na wakubwa nchini.
Tunapenda kwenda kumwona sasa kuhusiana na ahadi yake. Tupeane maoni ni kipi tunapenda Serikali ITUUNGE MKONO, ITUSAIDIE na ITUWEZESHE?
Naona sasa kweli yashakuwa hayo.
Ha haa hahahaahahaha....
The thing is, mimi sikosoi watu sarufi na spelling.
Okay, sawa, nionyeshe basi niliposema mimi ni "JF Mtandao"......mbona wengine huwa hukawii kuwaonyesha "walichosema" lakini mimi imekuwa karibu miezi miwili sasa tokea unituhumu kusema hayo uliyosema kuwa nimesema. Si unao ushahidi kwenye "word document" kaka, ulete basi hapa uridhishe kiu yangu...ay siyo?
Naamini Alichosema Alimaanisha Hivyo Hakuna Haja Ya Kumjaribu Bali Ni Kufuata Channel Alizoelekeza.
Kama Vijana Hatujafanya Hilo Then Hatuna Haki Ya Kumvizia.
God Bless Tanzania
kabla ya kwenda kumuona, cha kufanya ni kuchuguza kwenye ile hotuba yake (the famous speech), ni vingapi alikuwa anavizungumzia kwa kumaanisha na kuvielewa!
Nimeipitia ile hotuba zaidi ya mara 6, nadhani kwa mtazamo rahisi na wa haraka, ninaweza kusema JK alikuwa kwenye muendelezo wa "kampeni" zake hewa!
Mtsimbe,
Wengine tuliwaona Ikulu mwaka 2006 kuhusiana na hilo tamko la rais. Tukaambiwa mawazo yenu mazuri, nendeni huku na huku na kule na kule mpaka tukachoka na kuishia kwa mama Meghji ambaye pamoja na kuahidi kutuona hakutuona mpaka alipoondoka madarakani.
Mnaweza kwenda kumwona labda nyie mtakuwa na nguvu zaidi.
Kupitia chama chenu katika mambo ambayo mnatakiwa kushughulikia na ambayo kwa mawazo yangu ndio kikwazo kwa wasomi Watanzania kufanya mambo ya maana ni urasimu wa ofisi za serikali pamoja na usumbufu wa mabank ya Tanzania.
Bila banks kufanya kazi sio rahisi kuanzisha miradi ya maana lakini hata banks zikiwa tayari bado kuna urasimu wa TRA, ardhi, TCRA nk. Jiulize kwanini wajisiliamali Watanzania walio wengi hawaitumii TIC? Usumbufu hasa TRA unafanya faida iliyopo imezwe na ukiritimba wa TRA.
Mfano mzuri ukitaka kuanzisha community radio, tena kule vijijini ambako watu wanapata habari baada ya wiki, bado unatakiwa kuandaa proposal kubwa utafikiri unapeleka bank kuomba mkopo wa kujenga kiwanda. Gharama yake mpaka kupata construction permit zaidi ya milioni tatu. Je kuna umuhimu kweli wa mambo kama hayo? Hiyo milioni tatu si inaweza kutumika kwenye mambo mengine ya maana zaidi kuliko urasimu usio na maana?
Okay, sawa, nionyeshe basi niliposema mimi ni "JF Mtandao"......mbona wengine huwa hukawii kuwaonyesha "walichosema" lakini mimi imekuwa karibu miezi miwili sasa tokea unituhumu kusema hayo uliyosema kuwa nimesema. Si unao ushahidi kwenye "word document" kaka, ulete basi hapa uridhishe kiu yangu...ay siyo?
Napendekeza TPN iwe chama cha sissa sasa!