Rais Kikwete Bado Anatusubiri Tukamwone

Jul 14, 2008
1,820
1,031
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, AKIFUNGUA RASMI BUNGE JIPYA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DODOMA, 30 DESEMBA 2005
. . . .

Uchumi Unaoshirikisha Raia Wengi

. . . .

Mheshimiwa Spika:

Serikali ya Awamu ya Nne itaongeza kasi ya kupambana na umaskini. Tutawezesha Watanzania kwa makundi. Kundi la kwanza ni la Watanzania wasomi, walio ndani au nje ya nchi yetu. Zamani ilikuwa mtu ukitoka Chuo Kikuu, kazi ya Serikali inakungoja. Leo hali si hiyo. Wengi inabidi watafute kazi kwenye sekta binafsi, au wajiajiri wenyewe.

Napenda leo nitoe changamoto na ahadi kwa wasomi wetu hao, wenye fani mbalimbali kama vile kilimo, mifugo, uvuvi, uhandisi, ubunifu wa majengo, sheria, uhasibu na kadhalika. Katika dunia ya utandawazi na ushindani unaoambatana nao, Watanzania wasomi watabaki nje iwapo hawatakuwa wabunifu zaidi, wakaungana na kuanzisha kampuni kubwa za wazalendo.

Lakini wakikubali kuungana, na kuanzisha kampuni kubwa zinazoendeshwa kwa misingi halisi ya kibiashara, na sio ubabaishaji, Serikali, kupitia vyama vya taaluma zao, itawaunga mkono, itawasaidia na itawawezesha. Serikali ya Awamu ya Nne itakaribisha mawazo kutoka kwa vyama vya kitaaluma juu ya namna bora ya Serikali kufikia lengo hilo. Ninataka wasomi wetu wawe kiini cha wajasiriamali wasomi na wakubwa nchini.

Tunapenda kwenda kumwona sasa kuhusiana na ahadi yake. Tupeane maoni ni kipi tunapenda Serikali ITUUNGE MKONO, ITUSAIDIE na ITUWEZESHE?
 
excuse me sir... what about Dr. Masau?

Hapo chacha . . . . Mzee hapo ndipo panapochanganya akili. I think we need to request him Dr. Masau to join forces so that we can have audience with JK. I am not sure if this will be the right approach to start with.

I think we do not yet have a clear policy on how to help our professionals and this is causing some people to take advantage of this for reasons best known to themselves.
 
Napenda leo nitoe changamoto na ahadi kwa wasomi wetu hao, wenye fani mbalimbali kama vile kilimo, mifugo, uvuvi, uhandisi, ubunifu wa majengo, sheria, uhasibu na kadhalika.

Serikali ya Awamu ya Nne itakaribisha mawazo kutoka kwa vyama vya kitaaluma juu ya namna bora ya Serikali kufikia lengo hilo. Ninataka wasomi wetu wawe kiini cha wajasiriamali wasomi na wakubwa nchini.

Tunapenda kwenda kumwona sasa...

Mwenyekiti Mtsimbe,

Chama chako hapo kita qualify huu ukaribisho?

Tulisha establish kwamba chama chako ni chama cha wote. Qaulifications yanu ni moja: kuafikili lengo la chama. Yeyote anaweza kuingia humo. Mtapokelewa kweli kwa mujibu wa huo mwaliko kwa wataalam?
 
Qaulifications ndio nini?
 
Kuhani wewe una maoni gani Mkuu? Hata kama si TPN ni vema kuwe na namna ya kufuatilia hadi hii, vinginevyo inaweza ikaonekana kuwa hakuna aliyefuatilia hata baada ya ahadi. Tumeafikiana kuwa Wanataaluma wa TPN iwajumlishe wote Wanataaluma wasomi na wale ambao wana ujuzi lakini si lazima wawe wamemaliza elimu ya juu. Sasa hivi tunapita 1000, ukiongeza na wapenzi inaweza kuwa idadi kubwa zaidi.
 
Naona sasa kweli yashakuwa hayo.

Ha haa hahahaahahaha....

The thing is, mimi sikosoi watu sarufi na spelling.

LOL - Mkuu kukosea ni lugha ni mambo madogo na ya kawaida. Turudi kwenye hoja ya msingi. Maoni yako ni yapi?
 
hotuba Ya Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Akifungua Rasmi Bunge Jipya La Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania, Dodoma, 30 Desemba 2005
. . . .

uchumi Unaoshirikisha Raia Wengi

. . . .

Mheshimiwa Spika:

Serikali Ya Awamu Ya Nne Itaongeza Kasi Ya Kupambana Na Umaskini. Tutawezesha Watanzania Kwa Makundi. Kundi La Kwanza Ni La Watanzania Wasomi, Walio Ndani Au Nje Ya Nchi Yetu. Zamani Ilikuwa Mtu Ukitoka Chuo Kikuu, Kazi Ya Serikali Inakungoja. Leo Hali Si Hiyo. Wengi Inabidi Watafute Kazi Kwenye Sekta Binafsi, Au Wajiajiri Wenyewe.

Napenda Leo Nitoe Changamoto Na Ahadi Kwa Wasomi Wetu Hao, Wenye Fani Mbalimbali Kama Vile Kilimo, Mifugo, Uvuvi, Uhandisi, Ubunifu Wa Majengo, Sheria, Uhasibu Na Kadhalika. katika Dunia Ya Utandawazi Na Ushindani Unaoambatana Nao, Watanzania Wasomi Watabaki Nje Iwapo Hawatakuwa Wabunifu Zaidi, Wakaungana Na Kuanzisha Kampuni Kubwa Za Wazalendo.

Lakini Wakikubali Kuungana, Na Kuanzisha Kampuni Kubwa Zinazoendeshwa Kwa Misingi Halisi Ya Kibiashara, Na Sio Ubabaishaji, serikali, Kupitia Vyama Vya Taaluma Zao, Itawaunga Mkono, Itawasaidia Na Itawawezesha. serikali Ya Awamu Ya Nne Itakaribisha Mawazo Kutoka Kwa Vyama Vya Kitaaluma Juu Ya Namna Bora Ya Serikali Kufikia Lengo Hilo. Ninataka Wasomi Wetu Wawe Kiini Cha Wajasiriamali Wasomi Na Wakubwa Nchini.

Tunapenda Kwenda Kumwona Sasa Kuhusiana Na Ahadi Yake. Tupeane Maoni Ni Kipi Tunapenda Serikali ituunge Mkono, Itusaidie Na Ituwezeshe?

Naamini Alichosema Alimaanisha Hivyo Hakuna Haja Ya Kumjaribu Bali Ni Kufuata Channel Alizoelekeza.

Kama Vijana Hatujafanya Hilo Then Hatuna Haki Ya Kumvizia.

God Bless Tanzania
 
kabla ya kwenda kumuona, cha kufanya ni kuchuguza kwenye ile hotuba yake (the famous speech), ni vingapi alikuwa anavizungumzia kwa kumaanisha na kuvielewa!

Nimeipitia ile hotuba zaidi ya mara 6, nadhani kwa mtazamo rahisi na wa haraka, ninaweza kusema JK alikuwa kwenye muendelezo wa "kampeni" zake hewa!
 
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, AKIFUNGUA RASMI BUNGE JIPYA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DODOMA, 30 DESEMBA 2005
. . . .

Uchumi Unaoshirikisha Raia Wengi

. . . .

Mheshimiwa Spika:

Serikali ya Awamu ya Nne itaongeza kasi ya kupambana na umaskini. Tutawezesha Watanzania kwa makundi. Kundi la kwanza ni la Watanzania wasomi, walio ndani au nje ya nchi yetu. Zamani ilikuwa mtu ukitoka Chuo Kikuu, kazi ya Serikali inakungoja. Leo hali si hiyo. Wengi inabidi watafute kazi kwenye sekta binafsi, au wajiajiri wenyewe.

Napenda leo nitoe changamoto na ahadi kwa wasomi wetu hao, wenye fani mbalimbali kama vile kilimo, mifugo, uvuvi, uhandisi, ubunifu wa majengo, sheria, uhasibu na kadhalika. Katika dunia ya utandawazi na ushindani unaoambatana nao, Watanzania wasomi watabaki nje iwapo hawatakuwa wabunifu zaidi, wakaungana na kuanzisha kampuni kubwa za wazalendo.

Lakini wakikubali kuungana, na kuanzisha kampuni kubwa zinazoendeshwa kwa misingi halisi ya kibiashara, na sio ubabaishaji, Serikali, kupitia vyama vya taaluma zao, itawaunga mkono, itawasaidia na itawawezesha. Serikali ya Awamu ya Nne itakaribisha mawazo kutoka kwa vyama vya kitaaluma juu ya namna bora ya Serikali kufikia lengo hilo. Ninataka wasomi wetu wawe kiini cha wajasiriamali wasomi na wakubwa nchini.

Tunapenda kwenda kumwona sasa kuhusiana na ahadi yake. Tupeane maoni ni kipi tunapenda Serikali ITUUNGE MKONO, ITUSAIDIE na ITUWEZESHE?

Mtsimbe,
Wengine tuliwaona Ikulu mwaka 2006 kuhusiana na hilo tamko la rais. Tukaambiwa mawazo yenu mazuri, nendeni huku na huku na kule na kule mpaka tukachoka na kuishia kwa mama Meghji ambaye pamoja na kuahidi kutuona hakutuona mpaka alipoondoka madarakani.

Mnaweza kwenda kumwona labda nyie mtakuwa na nguvu zaidi.

Kupitia chama chenu katika mambo ambayo mnatakiwa kushughulikia na ambayo kwa mawazo yangu ndio kikwazo kwa wasomi Watanzania kufanya mambo ya maana ni urasimu wa ofisi za serikali pamoja na usumbufu wa mabank ya Tanzania.

Bila banks kufanya kazi sio rahisi kuanzisha miradi ya maana lakini hata banks zikiwa tayari bado kuna urasimu wa TRA, ardhi, TCRA nk. Jiulize kwanini wajisiliamali Watanzania walio wengi hawaitumii TIC? Usumbufu hasa TRA unafanya faida iliyopo imezwe na ukiritimba wa TRA.

Mfano mzuri ukitaka kuanzisha community radio, tena kule vijijini ambako watu wanapata habari baada ya wiki, bado unatakiwa kuandaa proposal kubwa utafikiri unapeleka bank kuomba mkopo wa kujenga kiwanda. Gharama yake mpaka kupata construction permit zaidi ya milioni tatu. Je kuna umuhimu kweli wa mambo kama hayo? Hiyo milioni tatu si inaweza kutumika kwenye mambo mengine ya maana zaidi kuliko urasimu usio na maana?
 
Naona sasa kweli yashakuwa hayo.

Ha haa hahahaahahaha....

The thing is, mimi sikosoi watu sarufi na spelling.

Okay, sawa, nionyeshe basi niliposema mimi ni "JF Mtandao"......mbona wengine huwa hukawii kuwaonyesha "walichosema" lakini mimi imekuwa karibu miezi miwili sasa tokea unituhumu kusema hayo uliyosema kuwa nimesema. Si unao ushahidi kwenye "word document" kaka, ulete basi hapa uridhishe kiu yangu...ay siyo?
 
Ukiona hivyo ujue hana, ila ndio hivyo tena sio wengi waliojaliwa uwezo wa kusema samahani!!
 
Naamini Alichosema Alimaanisha Hivyo Hakuna Haja Ya Kumjaribu Bali Ni Kufuata Channel Alizoelekeza.

Kama Vijana Hatujafanya Hilo Then Hatuna Haki Ya Kumvizia.

God Bless Tanzania

Asante FDR, Jr hakika tutapenda kumwona na tunataka kuandaa issues za msingi za kuziwakilisha.

Umesoma post ya Mtanzania katika thread hii? Hebu ipitie.
 
kabla ya kwenda kumuona, cha kufanya ni kuchuguza kwenye ile hotuba yake (the famous speech), ni vingapi alikuwa anavizungumzia kwa kumaanisha na kuvielewa!

Nimeipitia ile hotuba zaidi ya mara 6, nadhani kwa mtazamo rahisi na wa haraka, ninaweza kusema JK alikuwa kwenye muendelezo wa "kampeni" zake hewa!

Mkuu Think Big, noted with thanks. Unashauri nini kama kutakuwa na mafanikio ya kumwona?
 
Mtsimbe,
Wengine tuliwaona Ikulu mwaka 2006 kuhusiana na hilo tamko la rais. Tukaambiwa mawazo yenu mazuri, nendeni huku na huku na kule na kule mpaka tukachoka na kuishia kwa mama Meghji ambaye pamoja na kuahidi kutuona hakutuona mpaka alipoondoka madarakani.

Mnaweza kwenda kumwona labda nyie mtakuwa na nguvu zaidi.

Kupitia chama chenu katika mambo ambayo mnatakiwa kushughulikia na ambayo kwa mawazo yangu ndio kikwazo kwa wasomi Watanzania kufanya mambo ya maana ni urasimu wa ofisi za serikali pamoja na usumbufu wa mabank ya Tanzania.

Bila banks kufanya kazi sio rahisi kuanzisha miradi ya maana lakini hata banks zikiwa tayari bado kuna urasimu wa TRA, ardhi, TCRA nk. Jiulize kwanini wajisiliamali Watanzania walio wengi hawaitumii TIC? Usumbufu hasa TRA unafanya faida iliyopo imezwe na ukiritimba wa TRA.

Mfano mzuri ukitaka kuanzisha community radio, tena kule vijijini ambako watu wanapata habari baada ya wiki, bado unatakiwa kuandaa proposal kubwa utafikiri unapeleka bank kuomba mkopo wa kujenga kiwanda. Gharama yake mpaka kupata construction permit zaidi ya milioni tatu. Je kuna umuhimu kweli wa mambo kama hayo? Hiyo milioni tatu si inaweza kutumika kwenye mambo mengine ya maana zaidi kuliko urasimu usio na maana?

Mtanzania, kwanza nakupongeza sana wewe na wenzako ambao mliliona hili na kulifanyia kazi mapema. Inasikitisha sana kuona kuwa mlizungushwa sana. Nadhani hili kwa hakika ni moja ya tatizo kwa Wasomi na Wanataaluma.

Tumedhamiria kumwona mwenyewe, huenda kuna nia nzuri alikuwa nayo alipotoa ahadi yake. Ningeshauri kama una details kuhusu mambo ambayo ulipenda yafanyiwe kazi tuweze kuwasiliana kupitia barua pepe president@tpn.co.tz.

Nashukuru pia kwa baadhi ya kero ulizoziorodhesha ambazo kwa hakika tukipata na maelezo ya kutosha tutazichukua kama agenda.
 
Okay, sawa, nionyeshe basi niliposema mimi ni "JF Mtandao"......mbona wengine huwa hukawii kuwaonyesha "walichosema" lakini mimi imekuwa karibu miezi miwili sasa tokea unituhumu kusema hayo uliyosema kuwa nimesema. Si unao ushahidi kwenye "word document" kaka, ulete basi hapa uridhishe kiu yangu...ay siyo?

LOL . . . .. Nyani Ngabu nimependa usemi wako "And I'm Having More Fun Than Any Human Being Should Be Allowed To Have.. ". Maisha ni mafupi . . . have fun Mzalendo . . . LOL
 
Napendekeza TPN iwe chama cha sissa sasa!

Du! Tema hii ni kali sana . . . Mbona tayari kuna vyama vya siasa vingi na vya kutosha? Kama kuna shida kwa maoni yangu haiko katika vyama bali katika sera na utekelezaji.

TPN imedhamiria kuondoa udhaifu ambao Wanataaluma na Wasomi tumekuwa nao kwa muda mrefu katika kuunganisha nguvu za kimawazo ili kujiwezesha kiuchumi. Hili ndio dhumuni kuu na sidhani kama katika kulitekeleza hili linahitaji TPN kuwa chama cha siasa.
 
Mtsimbe,

Nadhani Rais atafurahi kukuona/kuwaona... ikiwa mkifika pale mtakuwa mumeonyesha mangapi mumekukuruka wenyewe mkayafanyia kazi!.

In short lazima muuende na nondo zilizoandikwa munazoziamini in addition 2 maneno mtakayoongea wakati mkinywa kahawa na Mh. Rais.

Vizuri ni kuwa na moyo... kwa kuwa mawazo mengi utakayoyapata hapa uchuje vizuri sana.. maana kuna watu hawajui Tanzania ya sasa iko je lakini kwa bahati mbaya wao ndio wachangiaji wakuu...

Ukiangalia hotuba ya mheshimiwa rais imesema makundi ya wataalaamu... haikusema mtu mmoja mmoja and surely you are in the right direction.

Wazo Langu kwa Mh. Rais hilo hapo chini... ninayo mengi lakini nadhani nitawaachia wengine nao waseme.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom