Kwa taarfa yako mimi nilipita jeshini vilivyo, na ninajua mambo ya JESHI tangu wakati wa chama kimoja enzi hizo CCM ikiwepo mpaka majeshini. Enzi hizo walikuwepo wakuu wa wilaya na mikoa ambao ni wanajeshi, hivyo walikuwa wakiwa katika shighuli za kiserikali walikuwa wanapigiwa saluti na wanajeshi wengine wenye rank kubwa zaidi yao katika jeshi. Kihega inaonekana ulikuwa selule wewe jeshini kama ulikwenda.Hii inathibitisha hukupitia JKT no way afisa wa jeshi akampigia sluti raia wa kisiasa kuna exception kadha lakini si kwa wa aina ya huyo mchumia tumbo.
naona kampandisha cheo mpambe wake kanali kimario kuwa bregedi wa kubeba pochi za prezidaa m.kwer.e
Yaani majina yote nimeona la upande mwingine moja tu.
Kuwa Kanali ina maana unakuwa ni incharge wa Regiment na kwa kwa kupewa commission ya kuwaa Brigadier ina maana watakuwa wakuu wa brigade zenye battalion tatu (approx Troops 3000)
Mkuu tofaut kati ya regiment na battalion ni nini?
Kwa taarfa yako mimi nilipita jeshini vilivyo, na ninajua mambo ya JESHI tangu wakati wa chama kimoja enzi hizo CCM ikiwepo mpaka majeshini. Enzi hizo walikuwepo wakuu wa wilaya na mikoa ambao ni wanajeshi, hivyo walikuwa wakiwa katika shighuli za kiserikali walikuwa wanapigiwa saluti na wanajeshi wengine wenye rank kubwa zaidi yao katika jeshi. Kihega inaonekana ulikuwa selule wewe jeshini kama ulikwenda.
Mwanajeshi anampigia salute raia aliyepata commission ya rais
Raia huyo ni ameteuliwa katika nyadhifa flani na Rais mfano mkuu wa wilaya,mkuu wa mkoa na mawaziri wote ila sio mbunge
Pia kuna wakuu wa polisi wanne ambao wana commission ya rais wanapewa salute na wanajeshi
Huyo Kanali Hamiss Issa Majumba pia ni Mkristo alikuwa muislam na amebadili dini namfahami kwani naishi naye huku kwetu uswahilini Luhanga