Vikao vya Harusi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 512
- 140
sio kwamba alipenda kutupendelea akina sisi, ila alilazimika kuwapandisha kutokana na taaluma zao na utumishi wao jeshini. Ingekuwa ni zile teuzi zisizozingatia taaluma, angewajaza jamaa. Sasa subiri teuzi zile zije kwenye kumi na nane yake, atapiga vyeo majamaa hadi mnabaki kujiuliza vigezo! Bahati nzuri baadhi ya positions analazimika kwa kuwa anapelekewa list na wataalam, yeye anakuwa pale just for his ceremonial position
Nafurahi kuona umenielewa mapema sana! Thumb up for you!