Rais Kikwete ateua wabunge wapya wawili

Rais Kikwete ateua wabunge wapya wawili

Alisubiri nini mpaka mwaka wa mwisho wa bunge au anaongeza kura za ndiyo kwenye katiba pendekezwa?
 
Hii sheria ingefutwa jamani. Bado miezi minne unateua wabunge...!!

Kuna haja ya kuifanyia marekebisho sheria hii! Lazima kuwepo na limit ya muda kwamba hakutakuwa na uteuzi wowote mpya wa Mbunge, Waziri katika kipindi cha mwaka mmoja kabla ya Bunge kumaliza muda wake wa miaka mitano!
 
Sababu kubwa ni vipengere kwenye katiba ambayo imempa madaraka ya kuteua wabunge 10 na yeye ndo anamalizia malizia viporo vyake


Kuna wakati sheria pekee hazitoshi kuamua jambo... Busara za mtoa maamuzi ni za msingi sana.
 
Yale yale niliyo andika kama kumbu kumbu yangu kwenye signature!
 
Katika hili JK umetudhalilisha wanaCCM wenzako..
 
Kweli ni heri angemteua Zitto ana msaada mkubwa bungeni kwa hoja zake zenye nguvu.
 
Unadhani hao anahabari za uwepo wao? Hao wanawashwa tuu na kuamua kujisulubu mitandaoni. Wenzao wakina Gurumo wanajilia nchi wao wanasubiri kumpiga mizinga Mwigulu au Nape. Tena wakati mwingine kwa malipo ya nanihii.
teh teh, duh.
 
Huku ni kutumia madaraka vibaya.

Rasimu ya Katiba Mpya ya WARIOBA ilikuwa inafutilia mbali huu upumbavu. Lakini kwa bahati mbaya maccm bado wanataka upumbavu huu tuendelee nao kwa miaka mingine mia moja ijayo!!
 
Naskia ka nimtusi ila Ban sipendi mara hii maana ban zangu zote zimesababishwa na ujinga wa Kj-K

Ngoja nikamkodi Gwaj-ma aje anisaidie kumpa kavu zake, ampe cash. 💃😱

Kweli mkuu huyu anatakiwa ajibiwe na Gwaji.
Picha ya Grace jamani twaiomba hapa.
 
Kuna haja ya kuifanyia marekebisho sheria hii! Lazima kuwepo na limit ya muda kwamba hakutakuwa na uteuzi wowote mpya wa Mbunge, Waziri katika kipindi cha mwaka mmoja kabla ya Bunge kumaliza muda wake wa miaka mitano!
Rais ajae atakubali kupunguziwa madaraka ama unajifurahisha hapa?
 
yani mkuu kama anatukomesha vile kwi kwi kwi kwi kwi kwenye kidonda kibichi anaongeza chumvi yani haya ndio yatatukuta rais wa nchi hii akiwa membe kwasababu nasikia ni ndugu hawa
 
yani nimepata hasira hadi natamani lowasa aapishwe kesho tuanze kupumua manake mpaka jamaa aondoke atakua katukomesha haswa najuuuuuta kumfaham
 
Back
Top Bottom