Rais Kikwete ateua wabunge wapya wawili

Rais Kikwete ateua wabunge wapya wawili

Wapi Habibu Mchange, Juliana Shonza, Mtera Mwampamba? Watasugua benchi mpaka makalio yaote sugu. Kikwete ni noma.
 
Upuuzi mtupu,huku mishahara kimya mpaka ss.
A corrupt state!
 
Ikulu ya wapiga dili, iweje maswi asipe dili, iweje muhongo asiwe dalali, iweje Anna asichukue ya mboga, iweje isiwe pesa ya ugoro tu, 80mil ni vijisent tu na zaidi ya hizo mfanyakazi ikulu
 
Ngoja tuone kama hawa waungwana watakubali uteuzi huu usiokuwa na mbele wala nyuma ...
 
Angemteua hata Zitto akamalizia muda wake.
 
Inamanana Juliana Shonza na Stela mwampamba hawafai kupewa shukrana au mtetezi mkuu wa Jk faiza foxy?

Unadhani hao anahabari za uwepo wao? Hao wanawashwa tuu na kuamua kujisulubu mitandaoni. Wenzao wakina Gurumo wanajilia nchi wao wanasubiri kumpiga mizinga Mwigulu au Nape. Tena wakati mwingine kwa malipo ya nanihii.
 
Mhhh! Maliziamalizia hiyo dakika za majerui, daaah jk hana hiyana na mtu mshindwe nyie tu so watakuwa wabunge kwa miez mitatu? Maana bunge linavunjwa july
 
Je! sababu gani hasa za msingi zilizompelekea JK kuhamasika kuwachagua hao Wabunge..

JK jarbu kuwaonea huruma wavuja jasho wa Tanzania.
Mzee hivi hakuna kipengele cha kuruhusu wananchi kuzuia Pension yake kwa matumizi na hasara alizoisababishia nchi? Kama kingekuwepo ingekuwa adhabu nzuri sana ili aone ugumu wa kuishi bila pension na marupurupu mengine na kujuta.
 
Last edited by a moderator:
Je! sababu gani hasa za msingi zilizompelekea JK kuhamasika kuwachagua hao Wabunge..

JK jarbu kuwaonea huruma wavuja jasho wa Tanzania.

Sababu kubwa ni vipengere kwenye katiba ambayo imempa madaraka ya kuteua wabunge 10 na yeye ndo anamalizia malizia viporo vyake
 
Tunatambua katiba inamruhusu lakini tunajiuliza wamechaguliwa kufanya nini au anatakata kubadilisha tena baraza la mawaziri .Mimi nilishawaambia team ya ccm humu JF ambaye hapata cheo utawala wa JK basi asitegemee kuja kiongozi yeyote tena nimekumbuka yule alimpiga Warioba badala kuadhibiwa sasa hivi ni DC wa kinondoni JK ni janga la taifa.
 
Sitashangaa Kikwete akiendelea kuteua hata baada ya kustaafu! Inaelekea katika kazi zote za urais, ameipenda hii zaidi.
Jk ataingia kwenye kitabu cha rekodi za dunia kwa utendaji wake dhaifu.
 
Waungwana hii ni zaidi ya miujiza, naomba kukiri mimi ni chichiem, ila kwa hili mwenyekiti wangu sipo tayari kukutetea.
Halafu wakuu tusichanganye bunge limebakiza miezi mitatu april hadi june 30 na sio october
 
Watalipwa kama anavyo lipwa Mbatia..

Hii ndio sera ya ccm kama,alivyosema Humphrey Polepole Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya katiba kuwa,urais wa kifalme na mamlaka makubwa ya Rais ya kuteua watumishi wengi,isaidie kutoa shukrani waliojitoa mhanga kumpigia kampeni.

Lowassa naye, kwa utaratibu huohuo,anawaomba wapiga debe wengi warnde kumwomba agombee ili ikiwa atashinda,wanauhakika wa kupewa ruzuku,hakuna Maendeleo ya ustawi wa jamii ni majanga tu,watanzania hii ndio ccm
 
Back
Top Bottom