Rais Kikwete ateua wabunge wapya wawili

Rais Kikwete ateua wabunge wapya wawili

Naskia ka nimtusi ila Ban sipendi mara hii maana ban zangu zote zimesababishwa na JK

Ngoja nikamkodi Gwaj-ma aje anisaidie kumpa kavu zake, ampe cash. ����
 
Hakika leo ndo nathibitisha kwamba huyu jamaa ni Dhaifu kupita maelezo...!!!! Khaaaaaaaa

Sasa hiyo miezi mitano iliyosalia (Kikao kimoja cha Bunge) Watafanya kazi gani hawa wabunge? Yaani watu wafanye kazi miezi mitano tu then wapewe masurufu juu....!!!

Huwa nawashangaa sana wanaodai ati hii nchi ni masikini haina hele...!!!! Haina hela????


Real kabisa mtu unasimama mbele ya kadamnasi na kudai Tanzania ni nchi masikini tena ati hujui kwamba umasikini wa nchi hii hujui unatokana na nini?? We utakuwa mgonjwa kuliko misukule yote ya Lumumba hadi laki si pesa.!!

Goooooooosssshhhhhhh!!!!

BACK TANGANYIKA

Ila kwa kweli!!!!??? Na hali tuliyonayo kiuchumi, Rais anafanya haya tena??????? Najuuuuuuta kuitwa Mtanzania kwa kipindi hiki 2005-2015!!
 
Last edited by a moderator:
Ni mamlaka ya kikatiba lakini dr jk ni mbaguzi mbona mimi hajaniteua?

Duuu humu hata yule binti aneyempenda kumoyo rais na kumtete kwa nguvu zote Faizafoixy hahuonekana:what: kweli watu na nyota zao.
 
Hakika leo ndo nathibitisha kwamba huyu jamaa ni Dhaifu kupita maelezo...!!!! Khaaaaaaaa

Sasa hiyo miezi mitano iliyosalia (Kikao kimoja cha Bunge) Watafanya kazi gani hawa wabunge? Yaani watu wafanye kazi miezi mitano tu then wapewe masurufu juu....!!!

Huwa nawashangaa sana wanaodai ati hii nchi ni masikini haina hele...!!!! Haina hela????


Real kabisa mtu unasimama mbele ya kadamnasi na kudai Tanzania ni nchi masikini tena ati hujui kwamba umasikini wa nchi hii hujui unatokana na nini?? We utakuwa mgonjwa kuliko misukule yote ya Lumumba hadi laki si pesa.!!

Goooooooosssshhhhhhh!!!!

BACK TANGANYIKA

We unafikiri boya katiba yao ya kifedhuli itapitaje.
 
Last edited by a moderator:
''Nchi hii ni sawa na Ghetto''
By Goddess Lema.
 
Sijasema Kwamba zitto amekufa mkuu,,,Hayo ni mawazo yako yamekimbilia huko....Kila mtu anajua zitto sio mbunge.

siyo mbunge kwa sababu zake za usaliti ndani ya chama lakini ana ndoto za kurudi bungeni
 
Kweli mungu hamtupi mja wake.Hawa jamaa walikuwa jobless nini?
 
Hii kazi ktk miaka 10 yake ndo aliyoimasta vyema ata ukimstua usiku ata kuteulia tu tena bila shaka
 
Hii sheria ingefutwa jamani. Bado miezi minne unateua wabunge...!!
 
Pengine anataka kupangua tena baraza la "Majizi-ri" sorry I meant Mawaziri wenye MB 8 kichwani
 
Kama Zitto kajiuzulu na serikali hii ya Ccm imesema itamlipa hela jambo ambalo si la kawaida basi hata hao waliochaguliwa wanaenda kula hela zetu tu sisi walipa kodi na yote haya ni ubovu wa katiba iliyopo na hiyo waitakayo
 
Back
Top Bottom