measkron
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 3,782
- 2,419
Watalipwa kama anavyo lipwa Mbatia..
Mkuu hebu tuweke ushabiki wa vyama pembeni and think rationally.... Katika hiki kipindi cha miezi hii michache kulikuwa na haja ya kuteua wabunge? And are they going kulipwa mafao pia? Really? Taifa linaangamia hili and we youths tunachekelea...