Mimi sijasema AMEN.
Wewe wasema...
Mkuu tuache ushabiki Eliakim Chacha Maswi ni jembe. Huyu jamaa ana msimamo acha tu. Nishati na madini imepata mtu kama ni upele umepata mkunaji. Kwanza jamaa anatoka Karibu kabisa na mgodi wa nyamongo ngoja tuone atasaidiaje wale jamaa zake wa kewancha na nyangoto kule nyamongo pamoja na maeneo ya nyabigena! Jamaa zake wale hawataki longolongo akicheza na mambo ya madini watampa live kama walivyofanya kwa mbunge wao yule aitwaye Nyangwine Nyambari.Sasa huko Nishati na Madini si atajiuzia Power Plant ya Ubungo!
Inawezekana hao uliopenda wewe wapendelewe walishateuliwa wote, kashindwa kuja kuwaokoteni wa mtaani sasa.it seems kuna upendeleo uliopita kiasi kwenye teuzi zake sasa hivi..
Inawezekana hao uliopenda wewe wapendelewe walishateuliwa wote, kashindwa kuja kuwaokoteni wa mtaani sasa.
mkuu nadhani uteuzi wa Rais ni mzuri.Hata uteuzi wa katibu mkuu kiongozi wa bwana Ombeni Yohana Sefue nimeufurahia
Mkuu tuache ushabiki Eliakim Chacha Maswi ni jembe. Huyu jamaa ana msimamo acha tu. Nishati na madini imepata mtu kama ni upele umepata mkunaji. Kwanza jamaa anatoka Karibu kabisa na mgodi wa nyamongo ngoja tuone atasaidiaje wale jamaa zake wa kewancha na nyangoto kule nyamongo pamoja na maeneo ya nyabigena! Jamaa zake wale hawataki longolongo akicheza na mambo ya madini watampa live kama walivyofanya kwa mbunge wao yule aitwaye Nyangwine Nyambari.
Badaye atasema mbona uteuzi haujakaa kimuungano, au ndiyo unavunjwa chini kwa chini, wanadogo hao
Angalau leo umetaja kasoro moja ya Kikwete. Ila kesho usije kusema ni mfumo _____ unaomlazimisha Kikwete kufanya teuzi za namna hii.Mimi nadhani anaendekeza upendeleo na uteuzi wake siyo mzuri..yale yale
Angalau leo umetaja kasoro moja ya Kikwete. Ila kesho usije kusema ni mfumo _____ unaomlazimisha Kikwete kufanya teuzi za namna hii.
Huwa anawaulizi kina nani kufanya uteuzi??? it seems kuna upendeleo uliopita kiasi kwenye teuzi zake sasa hivi..
Kuna jambo moja ambalo kila siku analisahau kulifanya JK na ambalo tutaendelea kumkumbusha nalo ni Kumuhamisha Philemon Luhanjo kutoka Ukatibu Mkuu Kiongozi hadi kwenye Payroll ya Pensheni ya Wastaafu! Hili kila siku analisahau. Anyway tutaendelea kumkumbusha!
Mkuu Two2 usemayo kuhusu mikataba ni kweli manake hata mkuu nadhani alikutana na kakisiki. Kuhusu rushwa sina hakika kwa jinsi nimjuavyo jamaa alivyo mtu wa kufuata taratibu. Kwa kifupi mimi namjua jamaa kama mchapakazi. Kama hatavurugwa basi baada ya muda mfupi tutaona mabadiliko katika hiyo wizara.
Mkuu kumbuka kuna Mdau hapo juu ameripoti kuwa Maswi alikuwa anapokea rushwa kutoka kwa Wakurugenzi wa Halmashauri. Sasa kama ni kweli unadhali wazungu wa Mgodi wakimchotea Pipa la dhahabu atalikataa! Na kuhusu hiyo Migodi ninavyojua mimi, Maswi hawezi kufanya chochote maana Mikataba ya Migodi ilishasainiwa siku nyingi na any need ya reconstruction or break ya Mikataba inaweza kututumbukiza katika adhabu ya kulipa demage kama ile ya Dowans! So sio ushabiki Brother!