Rais Kikwete ateua makatibu wa Wizara!

Mkuu unaweza kutufafanulia kuhusu huo upendeleo....nani amependelewa?

Swali zuri sana hilli Mkuu, naungana nawe, maana najua tayari watu wanaangalia majina.Sisi wana asili na jadi hatotulalaamika, tunajali zaidi huduma, ufanisi na umoja wa kitaifa, maana hata watu wetu wakijazaana katika posts kama hizo, kama hakuna ufanisi haina maana na hatutojisikia sifa kwamba watu wetu wamejaa kule bali tutaangalia zaidi huduma tutakayoipata hata ikitokaa upande upi ili mradi tu, kigezo cha kuchaguliwa ama kuteuliwa ni sifa na weledi wa mhusika na si dini! Nadhani imefikia wakati tusahau vigezo vinavyotutenganisha kama taifa, na tutoe nafasi kwa hao wanaofanya teuzi wazifanye bila kuogopa lawama za vigezo ambavyo si muhimu sana kwa nyakati hizi, after all hawaendi kutangaza dini bali kuhudumia watu kwa nafasi hizo.
 
Nimesikiliza TBC 1 hivi punde tu, katika orodha ya Makatibu Wakuu Wapya, Wizara ya Nishati na Madini amepewa Eliakim Maswi maana yake ni KWAMBA JAIRO NJE
 
Sizitaki 'hizi mbichi hizi',

nani kakuambia kaachwa wewe? Bora ukajiulize atakua amebadilishiwa idara gani nako aende akaharibu huko. Na wala sintoshangaa kitu kusikia ni balozi wetu nchini Israel huyo huku Luhanjo akihamishiwa kijiwe kwenda kupiga stori safari hii kule Magogoni ya kule kwa Bob Mugabe.
 
Sizitaki 'mbichi hizi',

So ya luhanjo ndo kwishney ameritaya.zake kwa amani ,hivi hutuwezi. Kumpatia ka TUZO flani hivi kama ka utendaji uliotukuka hiviiii au ngoja nitafute ushauri kwa makatibu tehtehtehteh Wapi kama tanzania bana?
 
Kuna makatibu wakuu wapya wametangazwa na nafasi ya JAIRO iko replaced.
Shida ya Matanzania bana yako nyuma sana ya habari
 
Sizitaki 'mbichi hizi',

nani kakuambia kaachwa wewe? Bora ukajiulize atakua amebadilishiwa idara gani nako aende akaharibu huko. Na wala sintoshangaa kitu kusikia ni balozi wetu nchini Israel huyo huku Luhanjo akihamishiwa kijiwe kwenda kupiga stori safari hii kule Magogoni ya kule kwa Bob Mugabe.

huu ujinga wa kuteua mabalozi kwa fadhila unatugharimu na kutusababishia fedheha sana watanzania kwenye nchi za watu, sijui utaisha lini mungu wangu..!
 
Are those good news to Tanzanians? I think, standing before the court to clarify his power abuse, would have been a big news!
 
Nimesikiliza TBC 1 hivi punde tu, katika orodha ya Makatibu Wakuu Wapya, Wizara ya Nishati na Madini amepewa Eliakim Maswi maana yake ni KWAMBA JAIRO NJE

Sikubaliani na kutolewa kwake tu bila kuwajibishwa. Jk kukumbatia wezi wa rasimali zetu ndicho kilichokupeleaka ikulu?
 
Back
Top Bottom