Rais Kikwete ateua makatibu wa Wizara!

Kuna jambo moja ambalo kila siku analisahau kulifanya JK na ambalo tutaendelea kumkumbusha nalo ni Kumuhamisha Philemon Luhanjo kutoka Ukatibu Mkuu Kiongozi hadi kwenye Payroll ya Pensheni ya Wastaafu! Hili kila siku analisahau. Anyway tutaendelea kumkumbusha!

Hang over ya x-mas bado inacheza kwenye damu, hahaha!
 
Alafu Luhanjo alivyo Mkabila wale Makatibu Wakuu wote waliotoka nae Mkoa na Wilaya Moja (Iringa na Njombe) kawapangia Wizara za ulaji na huwa hawaamishwi Hovyo hovyo!
 
Kuna jambo moja ambalo kila siku analisahau kulifanya JK na ambalo tutaendelea kumkumbusha nalo ni Kumuhamisha Philemon Luhanjo kutoka Ukatibu Mkuu Kiongozi hadi kwenye Payroll ya Pensheni ya Wastaafu! Hili kila siku analisahau. Anyway tutaendelea kumkumbusha!

Chukua update, Huyu mkuu kesha staafu Rasmi kwa taarifa yako
Yani wewe unajiita Sister (Sr) alafu bado unadhalilisha hiyo heshima kwa kuchukua posho kama za kina Ritz na kuanza kuandika Kimasaburisaburi!

Sihitaji mshahara achilia mbali posho.
 
Back
Top Bottom