Rais Kikwete ateua mabalozi wapya. Marmo, Batilda na wengine ndani!

Kwani mchagua mabalozi ni Membe au Rais?
I think majina yanapendekezwa na Membe kisha anampelekea yule babu mwenye mvi pale ikulu kisha yule anampa rais lakini badou anaingiza majina ya watu wake pia....kama anavyofanya kwenye uteuzi wa positions zingine serikalini
 
Hivi ni kivipi tunajifananisha na Marekani pale inapokuja kwenye kuchaguwa mabalozi?

Nadhani ni bora mchaguwe mwenye kujuwa kuomba vizuri, yani mtembeza bakuli mwenye kuweza ku convince, kwani JK mlimchaguwa kwa sifa ipi zaidi ya hiyo?

Wabongo bana, yani so naive mpaka inasikitisha.

Kwanza kuna uhusiano gani kati ya elimu ya uchumi kwa balozi huyo na uchumi wa China vs. uchumi wetu?
 
Mwanaidi hiyo kazi ya kuwa balozi alikuwa haitaki akakubali kwa sababu ya uzalendo
baadae akaanza kuwa tishio kwa bosi wake wakawa hawaongei mama wa watu akataka kurudi Dar akaambiwa atulize ball anapewa DC

Nadhani wangemkubalia tuu kisha wakampa kijana achukue

Kuna watu competent kama liberata malamula sijui kwa nini hakupewa ubalozi maana naye ni inaonekna angefaa sana kule UN kwani wikileaks cables alikuwa anaonekana ni mwenye msimamo sana

sasa wamemeenda kumpotezea muda tuu kule great lakes

sijui naye alimuudhi nani
 
Balozi kijana na Mchumi anaweza kutusaidia kwenye Creativity maana kule China kuna Super project za West ambazo kama hujui Uchumi huwezi kuelewa kitu na infact ukiulizwa na WaChina tuwasaidie nini Tanzania? Ndio unaishia kuomba vitenge badala ya wataalamu wa Uchumi. Balozi wa US China huwa anaheshimika sana huku kwao kwa sababu huwa hawapeleki vilaza, infact waliyenaye sasa anapewa nafasi kubwa ya kushinda Urais next election hapa, halafu unajua Baba wa Bush alikuwa balozi China, tujifunze.
 
Ni sawa na kumteua mkuu wa mkoa akahudhurie mafunzo ya ukocha wakati hata kichaa anajua kuwa hatapa muda wa kutumia alichojifunza kwa manufaa ya jamii!

- Mh. JK anastahili pongezi sana kwa uteuzi wa hawa Mabalozi wawili, Le Mutuz Big Show ninakubali kwamba huu ulikuwa ni uteuzi makini sana. Hawa wawili ni Seasoned Diplomats waliobobea sana na pia inatia moyo kwa maofisa wengine huko foreign kwamba hard work pays.

- HOWEVER: I have a big problem na uteuzi wa Balozi mpya China, I mean kweli kwenye Super Economy tunapeleka Old Guard ambaye hana record yoyote on Economy yetu hapa Tanzania? Wala hata jimboni kwake?

- I mean ishu kama hizi ndio hasa the case ya why tunahitaji kuwa makini na Katiba mpya on Checks and Balance to the Executive Powers.

William @..NYC,USA: Mutuz Big Show!
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, amewateua wafuatao kuwa Mabalozi:-

(i) Mhe. Phillip MARMO, ameteuliwa kuwa Balozi nchiniCHINA. Kabla ya hapo Mhe. Marmo alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge.

(ii) Dkt. Deodorus B. KAMALA, ameteuliwa kuwa Balozi nchini BELGIUM. Kabla ya hapo Mhe. Kamala alikuwa Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

(iii) Dkt. Batilda S. BURIAN, ameteuliwa kuwa Balozi nchiniKENYA. Kabla ya hapo Mhe. Dkt. Burian alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira).

(iv) Dkt. Ladislaus C. KOMBA, ameteuliwa kuwa Balozi nchiniUGANDA. Kabla ya hapo Dkt. Komba alikuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii.

(v) Bibi Shamim NYANDUGA, ameteuliwa kuwa Balozi nchiniMSUMBIJI. Kabla ya hapo Bibi Nyanduga alikuwa Naibu Mkuu wa Itifaki, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.

(vi) Bibi Grace J.E. MUJUMA, ameteuliwa kuwa Balozi nchiniZAMBIA. Kabla ya hapo Bibi Mujuma alikuwa Kaimu Mkurugenzi, Ushirikiano wa Kikanda (Regional Co-operation), Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.

(vii) Bwana Mohamed H. HAMZA, ameteuliwa kuwa Balozi nchini MISRI. Kabla ya hapo Bwana Hamzaalikuwa Mkurugenzi wa Mambo ya Nje, ZANZIBAR, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.

(viii) Ndugu Ali A. SALEH, ameteuliwa kuwa Balozi nchiniOMAN. Kabla ya hapo Bwana Saleh alikuwa Balozi Mdogo(Consul General) nchini Dubai.

2. Uteuzi huu unaanzia tarehe 12 Oktoba, 2011. Wataapishwa tarehe 19 Desemba, 2011 saa 03.00 Asubuhi.

……………………………… MWISHO …………………………………….

(Phillemon L. Luhanjo)
KATIBU MKUU KIONGOZI

IKULU,
DAR ES SALAM.

16 Desemba, 2011

Wakati mwingine huwa sielewi. Hivi kabla ya uteuzi huu Marmo, Kamala na Batilda walikuwa wanashikilia hizo nafasi? Maana unapoandika kuwa kabla ya hapo alikuwa waziri wa .... ina maana hadi anateuliwa kwa wadhifa mpya alikuta akishikilia wadhifa huo. Usahihi ni kuwa wateuliwa wote walikuwa mawaziri katika awamu ya kwanza ya serikali ya kikwete.

Luhanjo jifunze kuandika....
 
Balozi kijana na Mchumi anaweza kutusaidia kwenye Creativity maana kule China kuna Super project za West ambazo kama hujui Uchumi huwezi kuelewa kitu na infact ukiulizwa na WaChina tuwasaidie nini Tanzania? Ndio unaishia kuomba vitenge badala ya wataalamu wa Uchumi. Balozi wa US China huwa anaheshimika sana huku kwao kwa sababu huwa hawapeleki vilaza, infact waliyenaye sasa anapewa nafasi kubwa ya kushinda Urais next election hapa, halafu unajua Baba wa Bush alikuwa balozi China, tujifunze.
Mkuu hivi wanatusaidia vile tunavyovitaka ama wanatusadia wanavyojisikia ama kwa jinsi wanavyoona tunahitaji?

Kama wangekuwa wanatusaidia tunavyotaka si tungekuwa mbali sana?

Mbona hujashangaa neti za mbu mkuu?
 
Hivi mnayajua madudu aliyowahi kuyafanya Shamim? Hafai kuwa balozi isipokuwa kama kuwa "kimada" wa mkulu ni qualification ya kuwa balozi.
 
Hivi mnayajua madudu aliyowahi kuyafanya Shamim? Hafai kuwa balozi isipokuwa kama kuwa "kimada" wa mkulu ni qualification ya kuwa balozi.
Ubalozi kwa nchi yetu hauangalii qualifications kihivyo, ili zisaidie nini?

Ndo maana wengi wanaopelekewa huko ni kama fadhila flani tu...
 
Jasusi hivi huyu Mkuu ana vimada wangapi? I mean toka tumeanza kuwasikia na Wengine tuliambiwa wamekufa na Ukimwi, I mean hawa vimada wote anakutana nao wapi na saa ngapi? Na Usalama wanakuwa wapi?
 
Najaribu kukumbuka kuhusu lile lililomtokea mh.Chediel Mgonja enzi za Mwalimu na Sokoine....
Mwalimu alimteua Mgonja kua mkuu wa mkoa fulani katikati ya nchi baada ya kukataliwa na wananchi wa Same.
Sokoine alimfuata Mwalimu na kumtaka ushauri:Eti Mwalimu tulipokubaliana kua kiongozi akikataliwa na wapiga kura wake iweje vile?
Mwalimu akashituka.
Next morning kabla Mgonja hajachukua per diem yake uteuzi ukatenguliwa!
Hapo vipi wanaJF?Je ni jambo la katiba au ni utekelezaji wa maazimio ya vikao rasmi vya kitija vya then "one party system?"
Nadhani kina PM wa sasa alikuwepo-tunaomba asaidie katika hili.

'Think hard ,work as if there's no death at all.'
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, amewateua wafuatao kuwa Mabalozi:-

(i) Mhe. Phillip MARMO, ameteuliwa kuwa Balozi nchiniCHINA. Kabla ya hapo Mhe. Marmo alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge.

(ii) Dkt. Deodorus B. KAMALA, ameteuliwa kuwa Balozi nchini BELGIUM. Kabla ya hapo Mhe. Kamala alikuwa Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

(iii) Dkt. Batilda S. BURIAN, ameteuliwa kuwa Balozi nchiniKENYA. Kabla ya hapo Mhe. Dkt. Burian alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira).

(iv) Dkt. Ladislaus C. KOMBA, ameteuliwa kuwa Balozi nchiniUGANDA. Kabla ya hapo Dkt. Komba alikuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii.

(v) Bibi Shamim NYANDUGA, ameteuliwa kuwa Balozi nchiniMSUMBIJI. Kabla ya hapo Bibi Nyanduga alikuwa Naibu Mkuu wa Itifaki, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.

(vi) Bibi Grace J.E. MUJUMA, ameteuliwa kuwa Balozi nchiniZAMBIA. Kabla ya hapo Bibi Mujuma alikuwa Kaimu Mkurugenzi, Ushirikiano wa Kikanda (Regional Co-operation), Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.

(vii) Bwana Mohamed H. HAMZA, ameteuliwa kuwa Balozi nchini MISRI. Kabla ya hapo Bwana Hamzaalikuwa Mkurugenzi wa Mambo ya Nje, ZANZIBAR, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.

(viii) Ndugu Ali A. SALEH, ameteuliwa kuwa Balozi nchiniOMAN. Kabla ya hapo Bwana Saleh alikuwa Balozi Mdogo(Consul General) nchini Dubai.

2. Uteuzi huu unaanzia tarehe 12 Oktoba, 2011. Wataapishwa tarehe 19 Desemba, 2011 saa 03.00 Asubuhi.

……………………………… MWISHO …………………………………….

(Phillemon L. Luhanjo)
KATIBU MKUU KIONGOZI

IKULU,
DAR ES SALAM.

16 Desemba, 2011

Hivi huyu Luhanjo bado yupo hajamaliza hiyo contract yake? Nilisikia kuwa ilikuwa inakwisha 9/12/2011!! Au ndio Mkweree anataka kutuonesha jeuri na kiburi chake kuwa hawezi kufanywa chochote na wadanganyika?
 
William wewe acha tu ukiyajua haya mambo ya ufusika wa viongozi wetu utalia machozi.
Ninafahamu kisa cha mkulu cha hapa hapa Tanzania mji mmoja wa kanda ya ziwa, inasikitisha sana.
Na naomba usiulize habari za usalama wa taifa katika hili, wao waulize Chadema wamesema nini na wana mipango gani utaambiwa lakini haya ya vimada wa mkulu weee acha tu najua yakisemwa inaonekana majungu lakini time will tell!
 
Wahemishiwa hii ndio profile ya Balozi wa USA kule China....naomba muisome kwa makini:

146904-locke-new-u-s-ambassador-to-china-stands-with-his-family-outside-their.jpg

On March 9, 2011, President Barack Obama nominated Gary Locke to be the 10th Ambassador of the United States of America to the People's Republic of China. He was confirmed by the Senate on July 27, 2011 and was sworn in on August 1, 2011. He assumed duty as the Ambassador Extraordinary and Plenipotentiary to the People's Republic of China on August 13, 2011.

Previously, Ambassador Locke served as the Secretary of Commerce where he helped implement President Obama's ambitious agenda to turn around the economy and put people back to work. As the administration's point person for achieving the President's National Export Initiative, he presided over a 17 percent increase in exports from 2009 to 2010, while exports to China saw a 32 percent increase. Ambassador Locke also oversaw a significant first step in the president's export control reform effort that strengthens national security, while making U.S. companies more competitive by easing their licensing burden for exports to partners and allies.

Before his appointment to the President's Cabinet, Ambassador Locke served two terms as Governor of Washington, the nation's most trade-dependent state. He expanded the sale of Washington products and services by leading 10 productive trade missions to Asia, Mexico and Europe. During the eight years of the Locke administration, Washington State gained 280,000 jobs despite two national recessions.

As both Governor and Commerce Secretary, Locke's innovations in government efficiency, customer focus, and priority based budgeting, as well as successful and under-budget management of high risk initiatives, have won him acclaim by nationally recognized authors and organizations, including Harvard's Kennedy School of Government.

Along with his longstanding commitment to public service, Ambassador Locke has extensive experience working with China. As Secretary of Commerce, he co-chaired two sessions of the U.S.-China Joint Commission on Commerce and Trade that resulted in important changes to Chinese trade policy, helping to level the playing field for U.S. businesses exporting to and operating in China. As Governor of Washington, he successfully strengthened economic ties between China and Washington State, more than doubling the state's exports to China to over $5 billion per year. As a partner in the Seattle office of the international law firm, Davis Wright Tremaine LLP, he co-chaired the firm's China practice.

Ambassador Locke is the first Chinese-American to serve as Ambassador to China, as Secretary of Commerce and as Governor. His grandfather emigrated from China to Washington State, initially finding employment as a servant, working in exchange for English lessons. His father, also born in China, was a small business owner, operating a grocery store where Ambassador Locke worked while receiving his education from Seattle's public school system.

Ambassador Locke earned a bachelor's degree in political science from Yale University and a law degree from Boston University. He is married to Mona Lee Locke and they have three children together: Emily, Dylan, and Madeline.

Embassy of the United States Beijing, China - Ambassador
 
Back
Top Bottom