Njaa Mbaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 666
- 178
Hivi JK na Slaa kwenye mambo ya uzinifu nani yuko juu kama kweli unamfahamu rais wako kwenye hiyo nyanja, think twice!!!!!
378-400=22 hizi tumpe miezi miwili
378 na Ukumbuke amebakiza miaka miwili katika uongozi wake.
Mh.Rais Kikwete anakaribia kuvunja Rekodi kwa kusafiri nje ya nchi ambayo hadi sasa inashikiliwa na aliyekuwa Rais wa Nigeria Olusegun Obasanjo aliyedumu madarakani miaka 8 kuanzia 29May 1999-2007.
Rais Obasanjo kasafiri jumla ya safari 400 nje ya nchi na wanadai karibia safari zote hizo hazikuwa na tija yoyote kwa manufaa ya nchi yake.
NB:
Kikubwa cha kuangalia kwa Rais wetu je hizo safari zina manufaa yoyote kwa Tanzania au ndo ufujaji vibaya wa fedha za Umma?
Linganisha na jumla ya za safari za fast Jet? Vilevile wenzetu safari zinafaida kwao na zinaonekana,,je huyo wa kwetu mzururaji tumeziona faida zake? Naomba jibu Mh. Kule Jamaica alienda kufanya nini? Au ndo jibu ya hiyo Meli iliyowaka moto iliyobeba Bangi?
Idadi ya safari 378 ukijumlisha pamoja na siku alizokaa kama ni siku 3 au 4 utaona Rais kakaa nje ya nchi yake miaka 2. Hii inawezekana ikawekwa kwenye Guinness Book.
Hivi JK na Slaa kwenye mambo ya uzinifu nani yuko juu kama kweli unamfahamu rais wako kwenye hiyo nyanja, think twice!!!!!
Hapo si zimeonekana kwa vile nimekuwekea? bila hivyo ungeona wapi? halafu utambue kuwa hakuna safari ya Rais isiyo na faida. Hivi juzi tu alifanya ziara nchini Uganda ambapo licha ya kelele zenu kuwa asiende, yeye alienda kwa mustakabali mzuri wa nchi yetu na nchi jirani. matokeo ya ziara hiyo ni kuwa amefanikiwa kumrudisha Kagame kwenye mstari baada ya kumwelewesha nini tafsiri ya ushauri wake

kuna uzi humu jf ina safari za fastjet tangia alipoingia madarakani mara ya mwisho kuisoma ilikua ameshafikisha mia tatu na makumi nyingi tu.
Hivi JK na Slaa kwenye mambo ya uzinifu nani yuko juu kama kweli unamfahamu rais wako kwenye hiyo nyanja, think twice!!!!!
Mkuu elewa nimekuambia safari zenye tija hazizidi hata 10,,,Mbona hutaji ya Jamaica alienda kufanya nini? Au ile ya kujisifu Rais wa kwanza Africa kuitwa marekani baada ya Obama kushinda Urais.
Dr.Slaa, kavunja rekodi ya kuzunguka kwa Chopa dunia nzima.
Dr.Slaa, kavunja rekodi ya kuzunguka kwa Chopa dunia nzima.
Jumla ni 378
Anagalia jumla ya gharana za safari na faida ya hizo safari.