Rais Kikwete anakaribia kuvunja Rekodi.

Rais Kikwete anakaribia kuvunja Rekodi.

Status
Not open for further replies.
Nadhani muda mchache ujao record itakuwa imevunjwa!!
 
kama kusafiri kungekuwa kielelezo cha maendeleo basi Tanzania kupitia MH jk ingekuwa nchi yenye maendeleo kuliko zote duniani.

Na hakuna Rais ambaye anaweza kusafiri kama Rais wetu,yeye hachoki.

Hata mimi naona mkuu tungekuwa zaidi ya Marekani.
 
378 na Ukumbuke amebakiza miaka miwili katika uongozi wake.

takwimu za namba zinakuwa na maana kama ukitafsiri maana yake nini? ukisema tu safari 378 so what? Anyway nakuona ni mzuri sana kwenye kuhesabu trip.Nina malori ya mchanga huwa nawalipa kwa kila trip wanayoenda nakuona una uzoefu wa kuhesabu trip nahitaji kukuajiri kama kibarua uwe unaniambia malori yangu yameenda trip ngapi kama utapenda.
 
Ahsante kwa ajira ila nina gari Semi Trailler 124 (OneTwoFour)nazisimamia tena Transit mwendo wa $ sio hizo zako local na Trip za Bunju Tegeta.
 
Unadhani rais akienda anaenda kucheza muziki ,
kila safari ya rais imekuwa na manufaa makubwa kwa taifa acha kupotosaha watu.
 
Mpaka desemba nadhani atakuwa ashavunja rekodi aanze kutengeneza mpya,kama sikosei atagonga kwenye mia sita na...

hangaiikia chadema yenu chama cha wahuni mbona hamjasema mbowe kacheza disco mara ngapi kipindi kile akiwa dj wa disco joka.
 
Nita muunga mkono rais mwenzangu kwa safari zote za ugenini tumeshuhudia manufaa makubwa ya safari zake.
 
Mh.Rais Kikwete anakaribia kuvunja Rekodi kwa kusafiri nje ya nchi ambayo hadi sasa inashikiliwa na aliyekuwa Rais wa Nigeria Olusegun Obasanjo aliyedumu madarakani miaka 8 kuanzia 29May 1999-2007.
Rais Obasanjo kasafiri jumla ya safari 400 nje ya nchi na wanadai karibia safari zote hizo hazikuwa na tija yoyote kwa manufaa ya nchi yake.

NB:
Kikubwa cha kuangalia kwa Rais wetu je hizo safari zina manufaa yoyote kwa Tanzania au ndo ufujaji vibaya wa fedha za Umma?
Kunaajila ya kuhesabu mbuzi wakitoka machungani nakuomba uje talipwa unavyotaka kuriko kutumiwa bila malipo.
 
Mh.Rais Kikwete anakaribia kuvunja Rekodi kwa kusafiri nje ya nchi ambayo hadi sasa inashikiliwa na aliyekuwa Rais wa Nigeria Olusegun Obasanjo aliyedumu madarakani miaka 8 kuanzia 29May 1999-2007.
Rais Obasanjo kasafiri jumla ya safari 400 nje ya nchi na wanadai karibia safari zote hizo hazikuwa na tija yoyote kwa manufaa ya nchi yake.

NB:
Kikubwa cha kuangalia kwa Rais wetu je hizo safari zina manufaa yoyote kwa Tanzania au ndo ufujaji vibaya wa fedha za Umma?

Mkuu, hapa suala si kusafiri tu ila unaenda wapi na unaenda kufanya nini. kiukweli, Rais wa nchi anapaswa kusafiri kuliko raia mwingine yeyote kama vile baba anavyosafiri kila siku kutafuta riziki ndani ya nyumba. wewe utakubaliana nami kuwa unafanya safari nyingi kila siku kuliko hata wengine wanaokutegemea labda kama wewe ni kupe
 
Akisafiri jk chadema wanakeleketw akisafiri mzee slaa kwenda waliberali wenzake hawasemi kwao ni kawaida.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom