Rais Kikwete anakaribia kuvunja Rekodi.

Rais Kikwete anakaribia kuvunja Rekodi.

Status
Not open for further replies.
Majuzi tu kaishia kupokewa na sungusungu na meya wa mji. Katika huo mkutano aliohudhuria rais wa nchi alikuwa peke yake. Nchi nyingine zilituma wakurugenzi wa idara na mawaziri. Hii ndio faida?

huo ni unafiki na upotoshaji

b9_2118d.jpg

President Jakaya Mrisho Kikwete with the Federal President of Austria H.E. Heinz Fischer (right) and the President of the European Commission H.E. Jose Manuel Barroso (left), stand at attention as the European anthem is being played during the climax of the annual event in Alpbach, Austria, over the weekend at the congress centre of the European Forum Alpbach 2013
STATE HOUSE PHOTOS
 
rais mpya JK kasafiri safari ngapi?mlinganishe na NYERERE aliyekaa madaarakani miaka 23

Wakati wa Nyerere kulikuwa hakuna presidential jet. au mnafikiri ile ndege ni ya kuendea Msoga?
 
Itabidi nan yeye waanza numsachi kila anapotembela nchi za nje, labda atapunguza safari hizo.
Maana Tanzania sasa ni 'kinara' wa dawa za kulevya.

[h=3]RAY C ALIKWA IKULU NA MH. RAIS[/h]
Kumekuwepo na mitazamo tofauti kuhusiana na uamuzi wa Rais Jakaya Kikwete kumwalika Ikulu Rehema Chalamila ambaye alienda kumshukuru kwa msaada alioupata kutoka kwake ili kulipia gharama za matibabu anayoendelea kuyapata baada ya kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya. Wewe una mtazamo gani?

18794_503884789644960_1842827703_n.jpg
Kundi kubwa linaloongozana nae litakuwa ni majanga kama halisachiwi wakati baadhi wanabena mibegi mikubwa kama pickup kama wanahama nchi
 
Jamani mi naona tumwache avunje rekodi na kuweka yake. Hii itatuongezea heshima kama taifa. Heko jk.
 
Itabidi nan yeye waanza numsachi kila anapotembela nchi za nje, labda atapunguza safari hizo.
Maana Tanzania sasa ni 'kinara' wa dawa za kulevya.

[h=3]RAY C ALIKWA IKULU NA MH. RAIS[/h]
Kumekuwepo na mitazamo tofauti kuhusiana na uamuzi wa Rais Jakaya Kikwete kumwalika Ikulu Rehema Chalamila ambaye alienda kumshukuru kwa msaada alioupata kutoka kwake ili kulipia gharama za matibabu anayoendelea kuyapata baada ya kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya. Wewe una mtazamo gani?

18794_503884789644960_1842827703_n.jpg
Kundi kubwa linaloongozana nae litakuwa ni majanga kama halisachiwi wakati baadhi wanabeba mibegi mikubwa kama pickup kama wanahama nchi
 
yawezekana hata familia tu inakusumbua ya jk utayaweza kama wanaume unakuwa mbea kiasi hiki kuzua uongo huyo mkeo sijui kama utaweza kumuongoza.

Jibu swali uliloulizwa,,Jamaica alienda kufanya nini? Au ndo matokeo ya ile Meli yenye Bangi?
 
Wivu tu hamna lolootee acha aende ht zifike 1000 ndo stahili yake
 
Jibu swali uliloulizwa,,Jamaica alienda kufanya nini? Au ndo matokeo ya ile Meli yenye Bangi?

[h=3]Rais Jakaya Mrisho Kikwete aitimisha ziara ya siku nne nchini Jamaica[/h]
Rais Kikwete na waziri mkuu wa Jamaica Mhe. Bruce Golding wakisaini makubaliano ya ushirikiano yaliyofikiwa baina ya serikali ya nchi yaTanzania na nchi ya Jamaica katika siku ya mwisho ya ziara ya siku nne ya kiserikali nchini humo
Rais Kikwete akiagana na Gavana Jenerali wa nchi ya Jamaica Mhe. Patrick Allen katika uwanja wa ndege wa Norman Manley mjini Kingston Jamaica wakati wa kuitimisha ziara yake nchini humo
Rais Jakaya Kikwete na waziri mkuu wa nchi ya Jamaica mheshimiwa Bruce Golding wakibadilishana hati baada ya kusaini makubaliano ya ushirikiano yaliyofikiwa baina ya serikali ya tanzania na jamaica
 
haya ndiyo madhara ya bangi mbichi.

mmmh! mnajulikana mko kazin!.. afu haipiti mwezi mnabadilisha, mnajitoa kisha mnajiunga kwa username nyingine,.. hahaa buk7 lazima uitendee haki!
Chezea pesa ya mtu wewe...!
 
Itabidi nan yeye waanza numsachi kila anapotembela nchi za nje, labda atapunguza safari hizo.
Maana Tanzania sasa ni 'kinara' wa dawa za kulevya.

RAY C ALIKWA IKULU NA MH. RAIS

Kumekuwepo na mitazamo tofauti kuhusiana na uamuzi wa Rais Jakaya Kikwete kumwalika Ikulu Rehema Chalamila ambaye alienda kumshukuru kwa msaada alioupata kutoka kwake ili kulipia gharama za matibabu anayoendelea kuyapata baada ya kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya. Wewe una mtazamo gani?

18794_503884789644960_1842827703_n.jpg
226637_217646418254303_100000268407034_850789_1955159_n-1.jpg

420262_508934245818778_1194014749_n.jpg
 
Ina maana umekosa la kuandika umeona utuambie safari za jk zimekuwa ngapi mpaka leo? Uanze kuhesabu pia na safari za mzee wa vijitotoes. Hivi karibuni atakuwa washington d.c
 
Itabidi nan yeye waanza numsachi kila anapotembela nchi za nje, labda atapunguza safari hizo.
Maana Tanzania sasa ni 'kinara' wa dawa za kulevya.

RAY C ALIKWA IKULU NA MH. RAIS

Kumekuwepo na mitazamo tofauti kuhusiana na uamuzi wa Rais Jakaya Kikwete kumwalika Ikulu Rehema Chalamila ambaye alienda kumshukuru kwa msaada alioupata kutoka kwake ili kulipia gharama za matibabu anayoendelea kuyapata baada ya kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya. Wewe una mtazamo gani?

18794_503884789644960_1842827703_n.jpg

Mtazamo wangu Rias wetu hana nia ya dhati kupambana na madawa ya Kulevya kwani yeye anadeal na matokeo badala ya kudeal na Chanzo, Ingekuwa mimi ni Rais Ray C alitakiwa atibiwe akiwa Gerezani kwa kosa la kutumia madawa ya kulevya na Ray C na wale mateja wengine aliowaalika walitakiwa wawe chanzo kizuri cha taarifa za wauzaji kwani huwezi kutumia bila kununua kutoka kwa wauzaji na hii ingesaidia kukamata kuanzia wauzaji wadogo hadi wakumbwa.
 
[h=3]Rais Jakaya Mrisho Kikwete aitimisha ziara ya siku nne nchini Jamaica[/h]
Rais Kikwete na waziri mkuu wa Jamaica Mhe. Bruce Golding wakisaini makubaliano ya ushirikiano yaliyofikiwa baina ya serikali ya nchi yaTanzania na nchi ya Jamaica katika siku ya mwisho ya ziara ya siku nne ya kiserikali nchini humo
Rais Kikwete akiagana na Gavana Jenerali wa nchi ya Jamaica Mhe. Patrick Allen katika uwanja wa ndege wa Norman Manley mjini Kingston Jamaica wakati wa kuitimisha ziara yake nchini humo
Rais Jakaya Kikwete na waziri mkuu wa nchi ya Jamaica mheshimiwa Bruce Golding wakibadilishana hati baada ya kusaini makubaliano ya ushirikiano yaliyofikiwa baina ya serikali ya tanzania na jamaica

Ushirikiano upi huo mbona hujaandika? Na ile mikataba 19 ya siri kuna nini ndani yake yeye na China?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom