stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,765
Mh.Rais Kikwete anakaribia kuvunja Rekodi kwa kusafiri nje ya nchi ambayo hadi sasa inashikiliwa na aliyekuwa Rais wa Nigeria Olusegun Obasanjo aliyedumu madarakani miaka 8 kuanzia 29May 1999-2007.
Rais Obasanjo kasafiri jumla ya safari 400 nje ya nchi na wanadai karibia safari zote hizo hazikuwa na tija yoyote kwa manufaa ya nchi yake.
NB:
Kikubwa cha kuangalia kwa Rais wetu je hizo safari zina manufaa yoyote kwa Tanzania au ndo ufujaji vibaya wa fedha za Umma?