Rais Kikwete anakaribia kuvunja Rekodi.

Rais Kikwete anakaribia kuvunja Rekodi.

Status
Not open for further replies.
Nita muunga mkono rais mwenzangu kwa safari zote za ugenini tumeshuhudia manufaa makubwa ya safari zake.

Mkuu, CHADEMA wanaona sana manufaa ya ziara ya rais wetu ila wanaona wivu tu. eti na Katibu Mkuu wao naye anajifanya anasafiri sana. kwa siku za karibuni katembelea Zambia, Ujerumani, Israel na sasa anaelekea Marekani. hana lolote analonufaisha taifa. tena safari nyingine zinaandaliwa kwa ajili ya shopping za Josephine tu. yaani hata kununua nepi ya mtoto wao Josephine anamlazimisha mchumba wake aandae safari ya kichama nje ya nchi. hapo perdiem inaingia
 
Akisafiri jk chadema wanakeleketw akisafiri mzee slaa kwenda waliberali wenzake hawasemi kwao ni kawaida.

Mkuu, CHADEMA wamewekwa uzezeta na Dr Slaa. hata kama anafanya mambo ya hovyo wao wanaona sasa tu. yaani nimewadharau sana viongozi na wafuasi wa CHADEMA hasa kwa kukubali kumuunga mkono huyu mzinifu mkubwa
 
Kama ni kusafiri waziri wa mambo ya nje ndo anatakiwa asafiri sana kuliko Rais.

Ha, wewe mburula kweli! katika kila nchi, kiongozi mkuu ni Rais wa nchi au waziri mkuu kwa kesi ya nchi kama ya uingereza. waziri wa mambo ya nje ana nafasi yake lakini si yeye ndo mwenye dhamana ya kukutana na wakuu wa nchi nyingine.
 
Pia Mtambue kuwa safari nyingi za Rais zinakuwa ni mialiko hivyo huwezi kuikwepa hasa ukilinganisha na mahusiano namanufaa yatakayopatikana
 
Kama ni kusafiri waziri wa mambo ya nje ndo anatakiwa asafiri sana kuliko Rais.

kichwa chako hakikusaidii kabisa waziri wa mambo ya nje ndiyo akaonane na obama kuongelea maswali ya nchi mbili,
kwani hukufundishwa mpika ya kazi ya waziri anafanya nini na rais anafanya nini kwa akili zako hizi mpaka yesu arudi tena ndipo utasaidika.
 
Mkuu, CHADEMA wamewekwa uzezeta na Dr Slaa. hata kama anafanya mambo ya hovyo wao wanaona sasa tu. yaani nimewadharau sana viongozi na wafuasi wa CHADEMA hasa kwa kukubali kumuunga mkono huyu mzinifu mkubwa

chadema chote kimepigwa laana mkuu kwa vile katibu wao mkuu kamkosea mungu kwa kufanya dhambi kubwa kuliko zote.
 
Mh.Rais Kikwete anakaribia kuvunja Rekodi kwa kusafiri nje ya nchi ambayo hadi sasa inashikiliwa na aliyekuwa Rais wa Nigeria Olusegun Obasanjo aliyedumu madarakani miaka 8 kuanzia 29May 1999-2007.
Rais Obasanjo kasafiri jumla ya safari 400 nje ya nchi na wanadai karibia safari zote hizo hazikuwa na tija yoyote kwa manufaa ya nchi yake.




NB:
Kikubwa cha kuangalia kwa Rais wetu je hizo safari zina manufaa yoyote kwa Tanzania au ndo ufujaji vibaya wa fedha za Umma?

Unafikiri ni SLAA ambaye amebadili ruzuku ya CHADEMA kuwa Nauli za Mshumbuzi kwenda Japani, ISRAELI na Ujerumani?
 
[h=1]Obama is the Top Presidential Traveler[/h] By Paul Bedard

November 24, 2010 RSS Feed Print

He's only been in office for less than two years, but at the rate President Obama is flying Air Force One around the world, he is destined to become the most traveled president in history-and also the most costly, when it comes to travel expenses. [See photos of the Obamas behind the scenes.]
Of the 10 modern-day presidents since Dwight Eisenhower, Obama is the most traveled in his first two years of office, averaging 27.5 days a year out of the country. He's already spent 55 days in office out of the United States, costing taxpayers millions as he attempts to expand the nation's influence overseas and attends economic and military summits required of all presidents, according to the National Taxpayer's Union Foundation. And he could have been gone more: domestic political troubles forced Obama to nix some travel.
In a new report, the taxpayers' group also reveals that the previously estimated costs of presidential travel have been vastly underestimated. While it is impossible to get a complete tally because so many agencies are involved, one key element-Air Force One travel costs-is amazingly higher than previously stated. Earlier news reports have pegged the jet's cost at between $34,000-$100,000 an hour. But the Air Force told NTUF that the actual cost is a whopping $181,757 an hour. That means that the president's two recent trips to Asia and Portugal cost the Air Force alone $11.4 million and that doesn't include other costs like food, hotels, staff expenses, and all the other aircraft and Secret Service cars pre-positioned at each stop. [See photos of the Obamas abroad.]
"Thanksgiving travelers waiting in long airport lines know how much they're paying for their trips, and as taxpayers they likewise deserve to know how much it costs to send Presidents overseas," said the Taxpayer Union's Senior Policy Analyst Demian Brady. "Only then can they have a rational conversation about whether the pomp of presidential travel is worth the price."
His report also noted that presidents typically fly overseas far more in their second term, some doubling their days on Air Force One. In his first four years in office, for example, Bill Clinton spent 80 days traveling. In his second term, he was overseas 153 days.
According to the new NTUF report, seen here, the top 10 presidential travelers during the first two years in office are:
1. President Obama, 55 days
2. George H.W. Bush, 54 days
3. George W. Bush, 47 days
4. Bill Clinton, 40
5. Gerald Ford, 38
6. Richard Nixon, 30
7. Jimmy Carter, 29
8. John F. Kennedy, 20
9. Dwight Eisenhower, 9
10. Lyndon Johnson, 1
 
Mkuu, CHADEMA wanaona sana manufaa ya ziara ya rais wetu ila wanaona wivu tu. eti na Katibu Mkuu wao naye anajifanya anasafiri sana. kwa siku za karibuni katembelea Zambia, Ujerumani, Israel na sasa anaelekea Marekani. hana lolote analonufaisha taifa. tena safari nyingine zinaandaliwa kwa ajili ya shopping za Josephine tu. yaani hata kununua nepi ya mtoto wao Josephine anamlazimisha mchumba wake aandae safari ya kichama nje ya nchi. hapo perdiem inaingia
Kabisa kabisa mkuu wanawivu mbaya wameona hawana hoja tena wanabaki kuhangaika kama wanataka kutaga.
 
Mkuu, hapa suala si kusafiri tu ila unaenda wapi na unaenda kufanya nini. kiukweli, Rais wa nchi anapaswa kusafiri kuliko raia mwingine yeyote kama vile baba anavyosafiri kila siku kutafuta riziki ndani ya nyumba. wewe utakubaliana nami kuwa unafanya safari nyingi kila siku kuliko hata wengine wanaokutegemea labda kama wewe ni kupe

Ndio maana wamemchoka hadi saa nyingine itifaki anapokewa na Mbunge wa huko Ulaya.
 
mkuu kwa nini usiende kushangaa baharini wenzako jf wanajifunza wewe unashangaa kweli bangi mabaya.

Kweli bangi mbaya hata mimi naona hadi ukaamua kujiita Rais Mpya,,,No wonder hata Madii nae Rais wa Manzese naona unajiandaa kumrithi.
 
Huyu si wakala wa Azam sembe!
Mwacheni asafiri bhana,ila na safari za Ma-VIP toka Bongo ziwe zinamulikwa.
 
Mkuu, CHADEMA wamewekwa uzezeta na Dr Slaa. hata kama anafanya mambo ya hovyo wao wanaona sasa tu. yaani nimewadharau sana viongozi na wafuasi wa CHADEMA hasa kwa kukubali kumuunga mkono huyu mzinifu mkubwa

chadema chote kimepigwa laana mkuu kwa vile katibu wao mkuu kamkosea mungu kwa kufanya dhambi kubwa kuliko zote.
 
acha rais asafiri atumikie taifa lake mbowe kapata uenyekiti wa chama tu lakini tangu mwezi wa pili hajawahi kukanyaga hai.

we chizi kwel, mbowe hajawah fika hai toka mwez wa 2,nani kakwambia? Mwehu we! Unaikumbuka ziara ya jimbo zima la hai imefanyika lini? Au upo leba nini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom