ongea pole pole mkuu wasije wakamwita kwenye kikao cha dharura cha kamati kuu kujieleza.Nimekuwa kwenye msafara wa ziara ya mh.rais kanda ya ziwa,ziara ambaya imemalizika jana na leo rais anarejea jijini dar.
Katika ziara hiyo tumeshuhudia mambo mengi yaliyofanywa na rais lkn mimi nimeibuka na moja kuwa RAIS WETU KIKWETE anaipenda Chadema.Dalili zipo nyingi nitataja chache🙁1) Mkuu wa mkoa Ndikiro alimnyima Wenje(CDM) nafasi ya kuwasalimia wananchi wake wa nyamagana lkn JK alimsimamisha naye Wenje akiwa jukwaa kuu alisalimia waliokuwepo kwa salaam ya makamanda nao wakajb(na jk akiwemo)poweeeeer...(2)JK alitumia muda mwingi kuwasifu HIGHNESS na WENJE (wote wa CDM)kwa jitihada zao kuwaletea maendeleo wapiga kura wao.Kwa sbb hizo na nyinginezo nyingi nashawishika kuamini JK YUPO CCM KIMWILI lkn ROHO YAKE IPO CHADEMA.Wapi Ritz,Zemacopolo,Lizaboni na buk 7 wote? njoo huku haraka nafasi zimebaki chache.
Mkuu, hao ni wamwagia watu tindikali waogope km ukomasijui una maana gani unavyoandika hivyo? au mnaanzisha mada ili kuchokonoa watu?
ongea pole pole mkuu wasije wakamwita kwenye kikao cha dharura cha kamati kuu kujieleza.
haya ndo madhara ya kuzoea kupakatwa na wanaume wenzako
dah kweli chadema ni majanga
Rais wa Tanzania siyo rais wa CCM , wewe mbona kila siku unazidi kuwa mshamba?
Jk siyo kama SLAA, na wala wananchi hawawezi kuthubutu kumzomea
Bora hata wangemzomea kuliko kupopolewa mawe kama yaliyomtokea mbeya.Jk siyo kama SLAA, na wala wananchi hawawezi kuthubutu kumzomea
Mkuu, hao ni wamwagia watu tindikali waogope km ukoma
alfu ajui demokrasia,ningefurahi sana kama CDM ingewafundisha wafuasi waje demokrasia kwanza kabla ya kuwafundisha kuandamana
Mziki wa Chadema unamnyima usingizi JANGILI Kinana
utakuwa ni mmoja wa wanaukoo wa panya.....dah kweli chadema ni majanga
Jk ni mlezi wa vyama vyote
vya siasa ndio mana hata kipindi kile aliwakaribisha akina slaa, mbowe
na genge lake walipoomba kwenda kunywa juice ikulu
Umesoma shule kweli wewe? Kuandamana ni zao la demokrasia. Usiwe na ubongo wa bata
dah kweli chadema ni majanga
Jk siyo kama SLAA, na wala wananchi hawawezi kuthubutu kumzomea
Tatizo la chadema ni uharamia wao kulisha watu sumu, kuwamwagia tindikali na kupiga askari na hata kuharibu maki za bunge
Mkuu nimepita mitaa ya Lumumba nimewaona wako kwenye foleni naona walikuwa wanakinga ila walikuwa wanapiga makelele sana! inaonekana project inasuasua na walikuwa wanazinguliwa malipo.