vunjajungu
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 576
- 246
wafanye ivo haraka waturahisishie kampeni
Mdini maana yake nini? Mimi naona wewe ndiye mdini kwa kuendelea kutaja udini. Ufisadi uko ccm kwa sababu hao ndio wanaolea mafisadi bila kuchukua hatua yoyote.Lowasa ni mdini na fisadi......hajawahi kanusha
Hahahaaaaa. Mtahangaika sana. Lowasa si lolote wala chochote hapa nchini. Anahangaika na siku zake tu nanyi mnapiga dili maisha yaende mbele ili baada ya uchaguzi muwe na kumbukumbu kwamba uchaguzi huu mlipata nini.
PM this man TeamLowassa upate mgawo wako....
Hapa ndo nnapopata tabu mm.. Nategemea baada ya rais wangu kufunguka hatua za kisheria zitafuata.. Ngoja tusikilizie
Unamaanisha lowassa akafungwe kwa wizi wa Richmond?
Lowassa huwa anazungumza kwa facts ushahidi anao.
Fisadi ni Lowasa na Rostam mwisho ripoti ya bunge kaisome kama huna sema nkuletee we fisadi.