Rais Kikwete amtaja mhusika wa Richmond

Rais Kikwete amtaja mhusika wa Richmond

wakamateni basi hao!! si mna jeshi la police na mahakama??
Kila kitu kinaenda kwa hatua ngoja amwage hela kwenye kampeni halafu ndiyo tunamkamata ili asiwe na pesa ya kuhonga kwenye kesi maana atakuwa kamaliza kwenye kampeni.
 
6%2Bga.jpg

Chanzo:Vichwa vya Magazeti ya Septemba 15,2015

Mhusika wa Richmond ni yule anayetembea na Lisu..ndio kamtaja hapa dah..Amiri jeshi mkuu ndio katoa kauli hii? Hii ni siasa tu tena hapa ndio naamini sasa maana watu wa chini wanathubutu kumtaja ni Lowassa sasa mkuu anafungwa na nini kama ana uhakika na hili..maana ukweli ni kitu unakisema kwa confidence
 
kitengo cha IT masaki mnapata shidaaa
Mlizoea kula za ufisadi ndiyo mwisho mafisadi mtaenda kunyea debe ngoja magufuli aingie ofisini yule mzee wenu fisadi anayetembea kama kamwagiwa maji atakaa chini kabisa kwa ufisadi aliofanya.
 
Mbona jk analialia wakati dola kaishika yeye?na bado mijitu ipo tu inashabikia sisiemu wakati ina mwenyekiti dhaifu na kilaza asiyejua majukumu yake,
 
Hili liko wazi...mtu anaweza kujiuliza, iweje mpaka leo (baada ya Lowassa kukimbia CCM) bado ana kigugumizi cha kuzungumzia mmiliki wa Richmond...kwa hali ya kawaida, huu ulipaswa kuwa muda wa kuweka kila kitu hadharani....

Mwambie amwage mboga
 
Mlizoea kula za ufisadi ndiyo mwisho mafisadi mtaenda kunyea debe ngoja magufuli aingie ofisini yule mzee wenu fisadi anayetembea kama kamwagiwa maji atakaa chini kabisa kwa ufisadi aliofanya.
Sipati picha mafisadi walivyojaa CCM, ni wangapi wataenda kunyea debe
 
Naona sasa hali mbaya lumumba, baada ya kuona mambo yamekuwa ndivyosivyoo!!

Leo hii kikwete anasema anayehusika na richmond ni yule anayetembea na lissu kwenye kampeni?

Maswali ya kujiuliza ni nani? lowassa, sumaye, masha, au mgeja?

Mpango uliosukwa ni kwamba, jamaa akijibu lolote kwenye hili, au hata wenzake wakijibu kwamba nani huyo aliyehusika au kwanini wasimkamate, ndio wapate mwanya wa kumkamata ili asiendelee na kampeni na kumfungulia kesi mahakamani. Kesi hiyo itafanya akose rufaa na asiendelee na kampeni.

Hivyo naomba ukawa msiingie kwenye mtegoo huo, hawa jamaa wamekalia pabayaa.
 
Yaaani inaingiaje ashaondoka ccm ..Tena yeye ni AMIRI jeshi MKUU anataja kimafumbo Kama mke MWENZA ......lakini hatushangai ..HATA wauza unga walitajwa anawajua HADI Leo hajawataja
 
Kila kitu kinaenda kwa hatua ngoja amwage hela kwenye kampeni halafu ndiyo tunamkamata ili asiwe na pesa ya kuhonga kwenye kesi maana atakuwa kamaliza kwenye kampeni.

Hapo kwenye red, yaani huna hata aibu! Mkulu kashindwa kuwataja wauza unga kwa miaka 10 aliyokaa madarakani; kashindwa mkamata "mhusika", siyo mmiliki, wa Richmond kwa miaka 7+! Ama kweli uRahisi ni shughuli.
 
Lowassa anatafuta sasa huruma aseme ameonewa. Swahiba wake JK hakuweza kumfunga lakini Magufuli hacheki na mtu. Ngojeni muone! Mnaosema mbona hajapelekwa mahakamani msiingie humu kulialia akipelekwa mahakamani!

ImageUploadedByJamiiForums1442290138.300768.jpg


Kweli magufuli ataondoa mafisadi ,, ni kweli Kabisa wala sio siasa
 
Wewe wewe!!!!! Heeeee dada yangu shosti , embu wajaribu kumkamata Lowassa halafu waone. Nakwambia hii nchi haitakalika hata kwa nusu saa.
Na lazima watajuta kwa kufanya huo upumbavu.

Yani wameshindwa kumkamata miaka nane yote waje wamkamate leo??? Nakwambia kama wanataka kufa basi tutakufa wote
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom