adakiss23
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 4,931
- 5,350
Hakyanani watanzania wa sasa sijui tukoje? Kwanini tunashindwa kung'amua mambo?
Hivi 154bil za Richmond zinapigwa kelele hivi miaka nenda miaka rudi lakini hakuna anayehoji zile 321bil za escrow?? katika 321, 77bil zimejulikana wat abt zingine hizo za stanbic bank?