Rais analalamika, makamu analalamika, waziri mbunge diwani pia, ahh ahh ahhh
Wananchi tunalalamika
Rais analalamika, makamu analalamika, waziri mbunge diwani pia, ahh ahh ahhh
Wamemchokonoa JK mpaka kaanza kusema, wamchokonoe tena atutajie na wezi wa escrow! Mwaka huu tutawajua wezi wetu wote.
Mbona sielewi hapa, kwani Lissu anafanya kazi ya Ombeni Sefue siku hizi!?
Alipangalo mungu mwanadamu hawezi kulipangu kamwe,Nasema hivi nikikumbuka yaliyotokea na hili lilijitokeza sasa juu ya Jakaya na Richmond.
1.Profesa lipumba alimsafisha lowassa kwa nafsi yake na watanzania tukasikia.Baada ya week akatudi na kutuambia nafsi tena umemstuta."Hakueleweka"
2.Dr slaa akafanya mikakati ya kumsajili Lowassa ukawa,Baada ya kugundua kamati kuu imempendekeza EL agombee urais na si yeye akaibuka baada ya mwezi na kutueleza lowassa ni fisadi akiwa na documents za ikulu."Hatukumwelewa"
3.Rais Jakaya toka sakata la richmond litokee ni miaka 8 sasa chini ya utawala wake na kumekuwa na sintofahamu nyingi sana juu ya sakata hili.Leo anatuambia kimafumbo muhusika ni Lowassa baada ya Ccm kuzidiwa na lowassa huyo huyo na kuungwa mkono na wananchi wengi.Nasema naye amechelewa na hatutamwelewa pia.
Richmond imegeuzwa ajenda ya kupumbaza watz juu ya lowassa ambaye ameonyesha kukubalika na wengi.Huyu mtu ni mpango wa mungu ndio maana kila njama huvurugika au hufanyika kwa kukurupuka.
#Mabadiliko2015 Twende na lowassa mungu kashasema"Ndio"Hamna wa kusema"Hapana"Isipokuwa yeye pekee.
Richmond=Richard Monduli.Walifanya wizi wa kimkakati(Strategic theft) jinsi ya kupata ushahidi beyond no doubt ni ngumu.Na sheria zilivyo najua huzijui ila Fisadi EL baada ya kukaa kwa muda inaonekana wamemshauri kwamba ukitaka kulikwepa sema "Wakupeleke mahakamani" wakati kama ni kweli yeye siyo MWIZI kwanini HAUMIZWI NA UFISADI na RUSHWA KABISA,Kwanini anagawa sana PESA na Kwanini UHALALI WA UTAJIRI WAKE NI SIRI KUBWA.Aseme jinsi alivyopata ili na sisi tunaotafuta tufuate nyayo zake.NI MWIZI TU.....
Tunaomba atutajie na waliobeba hela kwenye rumbesa ESROW, ututajie majina ya wauza madawa coz ulisema una list, ututajie wauaji wa tembo wetu, ututajie wahusika wa ESROW .....ukishamaliza labda tutakuelewaKwani Tundu Lisu anaongozana na mtu mmoja?
JK ni kawaida yake kusema bila kutaja..
1. Akiwa Mbinga kwenye sherehe za jimbo alisema wauza madawa anayo list... HAKUMTAJA HATA MMOJA
2. JK alisema wezi wa banadri anawajuwa... HAKUMTAJA HATA MMOJA
3. JK waliosamehewa kwenye wizi wa EPA anawajuwa, hakumtaja hata mmoja na tena waziri mkuu Pinda alisema wakitajwa nchi itatetemeka
KWA HIYO HATA LEO HAWEZI KUMTAJA MTU KWA JINA KWAMBA NDIYE MUHUSIKA WA RICHMOND