CV yake unaijuwa au unahororoja tu? Hajawa mwalimu wa shule huyo wala mwandishi wa habari. Kama waliomtangulia. He was born a leader.
eti kamuiga obama, jamani kunya kwa tembo hakuigwi...
Nenda kawadanganye hao wanamsoga wenzako coz ni shemeji zako
Hana charma yeyote ile huyoo.
- Sullivan Honor
- 2007: The AAI African National Achievement Award (on behalf of Tanzania).[SUP][9][/SUP]
- 2009: US Doctors for Africa Award.[SUP][10][/SUP]
- 2011: Social Good Award from the United Nations Foundation[SUP][11][/SUP]
- 2011: South-South Award for Global Health, Technology and Development[SUP][12][/SUP]
- 2012: FANRPAN Policy Leadership Award from the Food, Agriculture and Natural Resources Policy Analysis Network.[SUP][13][/SUP]
- 2013: Africa's Most Impactful Leader of the Year by the Africa Leadership Magazine[SUP][14][/SUP]
- 2013: ICCF Mengha Award by the International Conservation Caucus Foundation[SUP][15][/SUP]
- 2014: Icon of Democracy Award, from The Voice Magazine (Netherlands)[SUP][16][/SUP]
- 2015: Leadership Excellence Award by the Pan-African Youth Union.[SUP][17][/SUP]
FaizaFoxy, Hata kama angepewa tuzo 100, mimi binafsi katika uongozi wa Kikwete sijaona kipengere cha yeye kupewa tuzo hata moja.
Napenda kuungana na wadau wengine wanaomfananisha Kikwete mbwa asiyebweka wala kung'ata! Sizungumzii hayo kwa itikadi za kisiasa LA HASHA! Mimi binafsi SINAGA CHAMA.
Tuzo hizo kapewa tu kumsifia ili AVIMBE KICHWA na kujiona bora. Si hivyo tu urafiki wake na mataifa makubwa hususani Marekani umechangia sana kumpa hiyo danganya toto ya kumtunuku TUZO. Lengo lao ni kuweza kupata mpenyo wa kueneza propaganda zao kirahisi na kusighn mikataba FEKI iliyojaa ukandamizaji na unyonyaji.
Ikumbukwe pia kuwa mara nyingi hata mwanaume anapomtamani binti fulani ili kuwa naye kwenye mahusiano humlaghai kwa kumsifia kuwa kaumbika, ana shepu na sura nzuri, ana tabia nzuri, nk hata kama yule binti kajaa makunyanzi na hana umbile zuri.
Raisi Kikwete atazidi kulaumiwa kwa kushindwa kudhibiti: WIZI, RUSHWA, MFUMKO WA BEI, NA UHUJUMU MWINGI WA MALI ZA UMMA.

msanii ktk nafasi yake.
huyu atakuwa rais wa pili kutembea na fedha mfukoni baada ya michel sata.
Duh! Nimemwona Raisi wangu akigawia watoto hela, akawaambia ni ya sikukuu! Sawa, lakini amenunua Samaki wa 120,000/= sikumsikia akiulizia changamoto wapatazo wavuvi au wachuuzi. Ila nimekujua anafahamu Samaki watamu!
Nauliza tu mpiga picha alikuwa ndani ya genge? kama ndio inamaansha hii pcha ilipangwa au?
![]()
RAIS Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete, wakinunua samaki katika kibanda, katika Kijiji cha Bweni, Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga, juzi, baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa maabara Shuke ya Sekondari Kipumbwi. (picha: Freddy Maro/Ikulu).
Duh! Nimemwona Raisi wangu akigawia watoto hela, akawaambia ni ya sikukuu! Sawa, lakini amenunua Samaki wa 120,000/= sikumsikia akiulizia changamoto wapatazo wavuvi au wachuuzi. Ila nimekujua anafahamu Samaki watamu!
Hawana matatizo ndio maana samaki wanapatikana gengeni.[/QUOTE
akili nyepesi!!