Rais Kikwete akinunua samaki gengeni

Rais Kikwete akinunua samaki gengeni

eti kamuiga obama, jamani kunya kwa tembo hakuigwi...
 
je ni kweli alizibeba hadi ikulu? Huyu si ndio alisema maisha yamekuwa bora na ajira zimeongezeka maana hata bar zimekua nyingi
ngoja tuulize eti we ritz, babako alikula hizo fishi?
 
Hata hueleweki, too pompous of you!!! sasa uhusiano wa kiongozi kiutendaji na kununua samaki uko wapi????!!
Hiyo historia yake sasa ianzishie uzi na utendaji wake tujadili hayo!!!!!

Wanaume ndio most daring huko nilikolelewa sasa kama wewe jike ni daring haya weka uzi!!!!
How old am I in Jf has nothing to do with whatever you are hardly trying to derive!!!!

Stupid yeh, at least am not a bloody jealousy lassie like you are for just a fish, get married mamy your husband will buy some for you too!!!!

Nitakuandikia kwa lugha zooote ili uelewe maana kumbe ni matatizo ya malezi na msingi mbovu wa ufahamu wako. Yaani unatuambia mambo ya huko ulikolelewa! We are not here to accommodate your life-long problems.

Raisi anaishi kwa kodi zetu. Tunamtunza na halipi kodi lazima output yake iwe maximum. Hatuwezi kuvumilia mtu anayetembea mtaani kama mbuzi wa shekh halafu mtu kama wewe unaibuka na kusema eti huyu ndo tunamhitaji. A president should respect all the powers vested to him in a manner that defines the position. His power to dress down should be congruent with his dids.

Matatizo mangapi ameshindwa kuyatatua kwa miaka kumi. Hatuchagui mtu ili ale raha. Et nous qui lui mettre sous le pouvoir doit lui montrer que nous suivons ! Ne pas seulement antagoniste de choses J'appelle stupide.
 
Mhhh! irrelevant answer, ebu jibu swali tafadhali - kuna mahala nimeandika kushangaa????

Mulama, nahisi tunapoteza muda kufundisha mtu asiyefundishika. Haiwezekani mtu awe na post zaidi ya 11,000 halafu uwezo wa kujenga hoja ni dhaifu kiasi hiki. Yaonekana kuna baadhi ya watu hawatafaidika na hoja za JF. Wamekomaa, calcified kiasi kwamba ni bora uhangaike na watoto wa kindergarten watakuelewa kiasi.

OLESAIDIMU yuko hivi;
Join Date : 2nd December 2011
Location : As per Assignment
Posts : 11,793
Rep Power : 162691578
Likes Received:5361
Likes Given:5088
 
Wewe unataka mimi nielewe kitu gani?

Kwa taarifa yako hicho kiingereza na kifaransa ni lugha tu kama ilivyo kiswahili ama kichina ama hicho kilugha cha kijijini kwetu huko.
 
Nitakuandikia kwa lugha zooote ili uelewe maana kumbe ni matatizo ya malezi na msingi mbovu wa ufahamu wako. Yaani unatuambia mambo ya huko ulikolelewa! We are not here to accommodate your life-long problems.

Raisi anaishi kwa kodi zetu. Tunamtunza na halipi kodi lazima output yake iwe maximum. Hatuwezi kuvumilia mtu anayetembea mtaani kama mbuzi wa shekh halafu mtu kama wewe unaibuka na kusema eti huyu ndo tunamhitaji. A president should respect all the powers vested to him in a manner that defines the position. His power to dress down should be congruent with his dids.

Matatizo mangapi ameshindwa kuyatatua kwa miaka kumi. Hatuchagui mtu ili ale raha. Et nous qui lui mettre sous le pouvoir doit lui montrer que nous suivons ! Ne pas seulement antagoniste de choses J'appelle stupide.

Hayo yote yanarekebika kwa kununua au kutonunua samaki Ng'onda???!!!!
Au umepata sehemu ya kutolea hasira???!!!

Anzisha uzi wa hayo unayosema tujadili ka mapana!!!!!!!
 
Mulama, nahisi tunapoteza muda kufundisha mtu asiyefundishika. Haiwezekani mtu awe na post zaidi ya 11,000 halafu uwezo wa kujenga hoja ni dhaifu kiasi hiki. Yaonekana kuna baadhi ya watu hawatafaidika na hoja za JF. Wamekomaa, calcified kiasi kwamba ni bora uhangaike na watoto wa kindergarten watakuelewa kiasi.

OLESAIDIMU yuko hivi;
Join Date : 2nd December 2011
Location : As per Assignment
Posts : 11,793
Rep Power : 162691578
Likes Received:5361
Likes Given:5088

Now you get the taste, keep digging!!!!!
Meanwhile beware of multiple IDs, just incase!!!!

Hatupo kuridhishana hapa nchi ina shida nyingi wajinga wachache wanakomaa na mpaka vitu vidogo kama kununua samaki!!!!

Unganisheni hoja na akili zenu mje na correlation between fish purchasing and performance! !!!

Mtakuwa na hoja ya uchungu wa nchi sio huu uchungu wa uzazi!!!
 
Mhhh! irrelevant answer, ebu jibu swali tafadhali - kuna mahala nimeandika kushangaa????

Irrelevant sababu wewe ni wind pipe you function through holes bored, ungekuwa na mental acuity nzuri ungejua nini unaambiwa ila sababu ni door bell type subiri ubonyezwe!!!!
 
Rais msanii sana huyu , ila kafanya jambo la kawaida tu.

Nimependa mama Salma alivyotumia uanamke wake kuagiza , alikuwa anashusha tu mzee kazi yake ikawa kulipa tu.
 
Irrelevant sababu wewe ni wind pipe you function through holes bored, ungekuwa na mental acuity nzuri ungejua nini unaambiwa ila sababu ni door bell type subiri ubonyezwe!!!!

Aisee! Yaani hapo umetoa ufafanuzi, umeshauri, umetukana au umefanyaje?! Kweli mtoto ni malezi jamani. Yaani hata kama ni kujikomba kwa kikwete ili mwanaye ampekeee taarifa zako hizi nadhani unavuka mipaka. Jiadhari na mahaba kupita kiasi.

Now back to the point, my post was (Nadhani huyu ndio rais wa kwanza tz kutembea na cash mfukoni, sijawahiona) ukilinganisha post hii na majibu yako yoote unaona uhusiano eti eeh??
 
Irrelevant sababu wewe ni wind pipe you function through holes bored, ungekuwa na mental acuity nzuri ungejua nini unaambiwa ila sababu ni door bell type subiri ubonyezwe!!!!

Kama ni hivi huna pa kukimbilia. Kwa nini unatumia lugha usiyoijua.
Hakuna kitu wind pipe kuna windpipe
Hakuna hole bored kuna bored hole
Hakuna door bell kuna doorbell

Kwa ujumla umeandika maneno ya kiingereza lakini hakuna lugha ya kiingereza. Sijui utakimbilia wapi! Miaka yote hiyo hujarudia somo hili la kiingereza? Jamani!!
 
Now you get the taste, keep digging!!!!!
Meanwhile beware of multiple IDs, just incase!!!!

Hatupo kuridhishana hapa nchi ina shida nyingi wajinga wachache wanakomaa na mpaka vitu vidogo kama kununua samaki!!!!

Unganisheni hoja na akili zenu mje na correlation between fish purchasing and performance! !!!

Mtakuwa na hoja ya uchungu wa nchi sio huu uchungu wa uzazi!!!

Terribly hapless person! Why warn me of the existence of multiple IDs? What is the danger along with them? Note, the difference of the words beware and be aware.

Kamsingi ka ufahamu wako kalisha haribiwa tangu zamani. Ni vizuri kwa michango yako hapa JF maana itakuwa imekufanya ujitambue mapungufu yako. Kama hutahangaika kuyaondoa, basi angalau wanao walioko St. school watakuokoa!
 
RAIS Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete, wakinunua samaki katika kibanda, katika Kijiji cha Bweni, Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga, juzi, baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa maabara Shuke ya Sekondari Kipumbwi.
 
Hii ilikua July 13, 2014 alipotembelea huko Pangani
 
Last edited by a moderator:
haya ndiyo mambo anayowaweza huyu ceremonial prezidaaaaaa.....maamuzi magumu kwake.....
 
Back
Top Bottom