Rais Kikwete aenda Uswisi

Rais Kikwete aenda Uswisi

Arusha nini tena. Yaani hata zenj?evu zilete na vielelezo, siyo porojo tu. Wape wana JF uhondo. Karibu sana.

Unataka na vielezo,mbona tumbo joto?kwani nyarandu umeleta vielezo vya uhujumu uchumi?au safari ya rais kwenda kulifres umekuja na vielelezo vinavyokinzana na safari ya kikazi?
 
Ni kweli kabisa, mimi nimekuwa nikifuatilia safari za Rais wa Kenya toka aingie Ikulu safari zake za nje ya Africa hazijazidi hata tano.

safari za Rais wa kenya kwenda wapi?wakati alikua na kesi The Hague fikiri sawasawa usitumie masaburiii!
 
Haaaa wewe kwa usanii hujambo?mh!nitamwita rafiki yako hapa akukumbushe dili zenu za arusha na zenji.manyerere wewe acha kuja na unafiki hapa.

Mpe Mpe MNAFIKI Huyo Huku Mimi Nikikusanya Maovu Yake Nije NIKUNJUKE Nayo Hapa. Na Atakimbia Humu Kwa Kubadili Hadi ID Yake.
 
Last edited by a moderator:
Maumivu ni kwa Lowasa baada ya kukwata JK ameenda kumpuzika Uswizi akitoka hapo anaenda wapi?
 
Basi Mkuu Abunuas Msamehe Hatorudia Tena. Uliyompa Yanamtosha Na Kama Atakuwa Muungwana Atakusikia Na Kuunyuti Zake Tu Mkuu.
mkuu samahanini kwa wengine. tatizo kuna watu wengine wanawaza vurugu tu. hawajui kuwa hizo vurugu hata wao na familia zao hazitawaacha salama. kwa bahati mbaya hawajifunzi kutoka kwa wengine. vurugu zinazoendelea hapo burundi zimetuletea rundo la wakimbizi hapa nchi. sasa sijui na wao wanataka kuwa wakimbizi hata sielewi. Anyway, sorry kwa wengine.
 
Jazba za nini? Jadili hoja. Mada hapa ni Rais kikwete kwenda Uswis. Usidhani unaweza kuni~provoke ili nikose adabu! Hili jukwaa la watu wastaarabu.
hili sio jukwaa la watu wastaarabu bali la great thinker. kwa hiyo halikufai. nenda katafute la wastaarabu ili uendelee kumwaga hizi pumba zako za ki-investigative journalism.
 
duuuuh Vasco Da Gama katika ubora wake. Yericko Nyerere hebu tujuze amefikisha ruti ngapi Vasco? maana nakumbuka kuna uzi ulikuwa unaupdate safarir zake
Yericko Nyerere chondechonde na tafadhali sana; tafta ule uzi (ufufue)wa Route za huyu Mbayuwayu na utupe update- zimefika ngapi?

Je kwa sasa yeye ndie kinara Afrika na duniani au bado kuna bingwa zaidi yake?
 
Last edited by a moderator:
Invisible au Maxence Melo Hebu piteni huku kwanza kijana anawahitaji kwa msaada wenu

samahanini sana kwa wengine.

mkuu Abdul; nikiri ni bora kufungiwa na mods kupost humu kuliko kuvumilia mtu ambaye anahubiri vurugu humu. kuna watu wengine ni wapuuzi sana humu akiwemu huyo jamaa.

hawajui kuwa hizo vurugu hata wao na familia zao hazitawaacha salama. kwa bahati mbaya hawajifunzi kutoka kwa wengine. vurugu zinazoendelea hapo burundi zimetuletea lundo la wakimbizi hapa nchi. sasa sijui na wao wanataka kuwa wakimbizi hata sielewi. Anyway, again sorry kwa wengine.
 
Kwa kweli mheshimiwa anaboa sana na safari zake za nje yani miaka 10 ya uongozi wake kakaa nchini kwa % 35 tu na % 65 ni nje yani sijui kwanini hakupendi bongo eti Kaenda kikazi kazi gani bana ushamaliza muda
 
Back
Top Bottom