Deogratius n
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 1,193
- 254
Kiukweli jk anachekesha sana. Wtz wanaumia sana, ukute 2015 wtz wakachagua mfumo wa ccm badala ya mfumo mpya.
Hiyo ziara toka jumapili akitaka kuondoka wakamuambia wajumbe amalize uji wake aliokoroga Ndio aondoke ..nafikiri kala mguu wa kuku
Siasa na wanasiasa ni kama ugomvi wa watoto. Ukihamaki watoto wanapogombana, unapoteza muda kwani baada ya kufuta kamasi utawakuta wakiwa pamoja wakicheza.Sofia Simba mkavuuu, alikuwepo Airport kumsubiri Magufuli akaenda kumuaga Mkuu kwa Bahasha zote wakati juzi walikinukisha wakazimwa kijeshi. mwenzie Nchimbi na Kingunge hata kutoa Mafuvu yao hadharani wanaona Aibu
Siasa na wanasiasa ni kama ugomvi wa watoto. Ukihamaki watoto wanapogombana, unapoteza muda kwani baada ya kufuta kamasi utawakuta wakiwa pamoja wakicheza.
Pole sana kwa yaliyotokea Dodoma. Siku nyingine muwe mnaweka akiba ya maneno.
Hahahahha unafurahisha! Hao ndio nani eti.ukawa mkiingia hakikisheni mnafanya auditing ya safari za huyu mpuuzi
Lowassa amealikwa kwenye harambee ya ujenzi Wa kanisa mwanza nendeni mkamuunge mkono mmalizia zile hela walizochanga kina karamagi!
Acha kupayuka. Pole ya nini? Wape waliokuwa na wagombea. Mimi nilibaki kati maana sikutaka kufanya ujinga wa 2005. Nimewapa haki wagombea wote isipokuwa mhujumu uchumi lazaro nyalandu.
Bwana mkubwa keshapaa kwenda Geneva, Uswis kupumzika baada ya hekaheka za Dodoma.
Sidhani kama Magufuli au huyo wa UKAWA ataambulia kitu katika chungu cha hazina ya taifa.
Baada ya kushindwa kumuqeka mdogo wake Magogoni ameona ni bora akafiche mwenyewe maana hakutegemea kama Magufuli angekuwa Rais.
Jazba za nini? Jadili hoja. Mada hapa ni Rais kikwete kwenda Uswis. Usidhani unaweza kuni~provoke ili nikose adabu! Hili jukwaa la watu wastaarabu.sikujua kama wewe ni mpumbavu kiasi hiki. eti na wewe ni muandishi wa habari! kweli nimeamini hii kazi inafanywa na wafu waliokosa alternative baada ya kutaga f4.
rais ameenda uswisi kikazi wewe unakuja na upumbavu wako hapa. ....nina zako.
sikujua kama wewe ni mpumbavu kiasi hiki. eti na wewe ni muandishi wa habari! kweli nimeamini hii kazi inafanywa na wafu waliokosa alternative baada ya kutaga f4.
rais ameenda uswisi kikazi wewe unakuja na upumbavu wako hapa. ....nina zako.
Bwana mkubwa keshapaa kwenda Geneva, Uswis kupumzika baada ya hekaheka za Dodoma.
Sidhani kama Magufuli au huyo wa UKAWA ataambulia kitu katika chungu cha hazina ya taifa.