Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,701
ulipata jibu la swali lako au sio?au hukuridhika nikuongeze?
Nonsense.
ulipata jibu la swali lako au sio?au hukuridhika nikuongeze?
Bwana mkubwa keshapaa kwenda Geneva, Uswis kupumzika baada ya hekaheka za Dodoma.
Sidhani kama Magufuli au huyo wa UKAWA ataambulia kitu katika chungu cha hazina ya taifa.
Nonsense.
Imefika wakati tujue safari za Rais wetu zimegharimu kiasi gani cha fedha tangu aingie madarakani na zimerudisha/kuinufaisha Tanzania kwa kiasi gani. Tunahitaji uchunguzi/utafiti huru juu ya hili.
Kikwete anachapa kazi kuliko Rais yeyote wa kabla yake, kumbuka hilo. Hana muda wa kupumzika.
...duh...me thought kwamba atakwenda Ethiopia walipo viongozi wenzake wa africa wakizungumzia mustakabali wa africa na maendeleo yake....kumbe kaenda Uswizi!...amazing.....kweli viongozi wetu hawana sense ya priority.....inasikitisha...alafu utashangaa anakwenda kwenye mikutano ambayo ni less significant...anyway...soon atakua msoga akilima mananasi...viongozi namna hii wasio na legacy huwa wanasahaulika mapema waondokapo madarakani...na mara nyingi vitu wanavyokumbukwa nao (if any)ni scandals....tena huwa zinajitokeza nyiiingi mara wanapoachia ngazi ya urais....Bwana mkubwa keshapaa kwenda Geneva, Uswis kupumzika baada ya hekaheka za Dodoma.
Sidhani kama Magufuli au huyo wa UKAWA ataambulia kitu katika chungu cha hazina ya taifa.
duh ivi ile sheria ya mitandaoni haikupitishwa?
...duh...me thought kwamba atakwenda Ethiopia walipo viongozi wenzake wa africa wakizungumzia mustakabali wa africa na maendeleo yake....kumbe kaenda Uswizi!...amazing.....kweli viongozi wetu hawana sense ya priority.....inasikitisha...alafu utashangaa anakwenda kwenye mikutano ambayo ni less significant...anyway...soon atakua msoga akilima mananasi...viongozi namna hii wasio na legacy huwa wanasahaulika mapema waondokapo madarakani...na mara nyingi vitu wanavyokumbukwa nao (if any)ni scandals....tena huwa zinajitokeza nyiiingi mara wanapoachia ngazi ya urais....
Kikwete anachapa kazi kuliko Rais yeyote wa kabla yake, kumbuka hilo. Hana muda wa kupumzika.
safari za Rais wa kenya kwenda wapi?wakati alikua na kesi The Hague fikiri sawasawa usitumie masaburiii!
hahahahahahaaa mjinga mpe ushindi atakurudishia mwenyewe....sawa mama kikwete mchapa kazi wa anga
Tena Pohamba Mwambie Wenzie Wenye Akili Huwa Hawaingii Humu Na ID Zenye Majina Yao Halisi Kama Yeye au Hata Wakiingia Nazo Basi Huwa Wanakuwa Na Hoja Nzuri Kabisa Na Zenye Mantiki Lakini Yeye Kaamua Kuja Nayo Yake Kichwa Kichwa Wakati Amesahau Kuwa Watu Tunamjua A to Z Pamoja Na Uchafu Wake Wote Ila Tunamtunzia Tu Heshima Yake Kwakuwa Tunatoka Kumoja Lakini Akitaka TUKINUKISHE Humu Watu Hatushindwi Na Sijui Kama Ataweza Hata Kuzikanusha. Atulie Tu!