Kazi gani? Wenzake wakiwa nje ya nchi zao likitokea tatizo kwenye nchi zao hukatiza ziara mara moja na kurudi nyumbani, lakini Mkwele ndivyo sivyo nchi haiko salama yeye anakwenda kuzurura kwa vimada wake.
Hivi unadhani nchi iko salama? Unajuwa idadi ya bunduki aina ya SMG zilizopolwa pale stakishari polisi ni ngapi? Unajuwa platoon ya kijeshi inaundwa na wapiganaji wangapi?
Funga domo lako wakati watu wanadiscuss serious issues au nenda Instagram ukaangalie mapicha maana ndio level yako.
Eti nina zako! Zake zipi? Jinga kabisa.