Rais Kikwete aenda Uswisi

Rais Kikwete aenda Uswisi

Unafikiri bila Kikwete kuwa angani muda wote ungeziona cubic trillion 55 za gas? Fikiri.

Fikra zenu Urais ni kukaa tu ofisini na kungoja kuletewa ripoti? ni mawazo ya kijinga na ya kizamani hayo.

Ni Rais yupi wa kabla yake Kikwete aliyeyapata mafanikio ya kiutendaji japo nusu ya aliyoyapata Kikwete Tanzania hii? anza na yeyote umpendae na chochote ukipendacho, Nyerere? Mwinyi? Mkapa?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Akili zako ndogo saana ka mtoto wa darasa la pili...mafanikio yapi?? Yanayo mzidi hata nus ya mkapa...
Acha ujinga funguka akili mama
 
Safari ya JK USWISI ina mengi,huenda ukawa ndo mwisho wa Timu Abdala,,sijui timu Asha,wenye vijisenti huko wakaangalie kama account zao bado Active
 
Unafikiri bila Kikwete kuwa angani muda wote ungeziona cubic trillion 55 za gas? Fikiri.

Fikra zenu Urais ni kukaa tu ofisini na kungoja kuletewa ripoti? ni mawazo ya kijinga na ya kizamani hayo.

Ni Rais yupi wa kabla yake Kikwete aliyeyapata mafanikio ya kiutendaji japo nusu ya aliyoyapata Kikwete Tanzania hii? anza na yeyote umpendae na chochote ukipendacho, Nyerere? Mwinyi? Mkapa?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Hivi Tanzania tu ndiyo nchi pekee inayopata mafanikio kwa raisi wake kusafiri kila kukicha?!

Hebu tutajie mifano ya maraisi wengine wa Afrika au popote duniani wanaosafiri kama JK, na uthibitisho wa kiwango cha maendeleo katika nchi zao?
 
kituo cha polisi kimevamiwa, askari wanne na raia watatu wapoteza maisha, rais huyo uswisi.Africa tuna majanga sio viongozi hawa!
Tena hao waliopigwa risasi unaweza kuta ni makada watiiifu kwa chama na ndio waliotekeleza uibwaji wa kura na kupiga wapinzani lakini kawaona kama ni panya vile wamekula sumu.
 
only in TANZANIA....Rais anapenda safari kuliko kutatua majanga ya kijamii yanayotokea nchini mwake mfano...mauaji ya askarii ya stakisharii
 
Bwana mkubwa keshapaa kwenda Geneva, Uswis kupumzika baada ya hekaheka za Dodoma.

Sidhani kama Magufuli au huyo wa UKAWA ataambulia kitu katika chungu cha hazina ya taifa.

Safari hii hata asiporudi Bongo sio tatizo tena. Anaweza tu kuzamia huko kama ilivyo kawaida ya sisi Watanzania
 
Bwana mkubwa keshapaa kwenda Geneva, Uswis kupumzika baada ya hekaheka za Dodoma.

Sidhani kama Magufuli au huyo wa UKAWA ataambulia kitu katika chungu cha hazina ya taifa.

===================

photo by Freddy Maro
Yuko kikazi bhana sio kwenda kutaliii
 
Mbona Wazungu wachache sana!!!!au wao hawaugui ovyo!!!mkutano wa wagonjwa..ndio anapewa black achair!!!
 
BAADA ya kuona aliyemtegemea kuficha madudu yake hayajapita imebidi kwenda kuhamisha pesa toka bank za Uswiss ....Huyo ni mtoto wa mjini NA ANAJUWA yaliyowakuta viongozi waliopita Afrika ...wazungu wahuni ukishaondoka madarakani wanakudhulumu pesa....., kwa Hiyo kuna haja ya kuzihalalisha kwa kununua Vitu..Kama hisa ,bonds etc
MAGUFULI hatabiriki NA kwa KUWA ANAJUWA URAIS ameokota chini BAADA ya wana mtandao kupigana ..hatakuwa NA wa kumlipa fadhila ....
 
za mwisho mwisho long live vasco da gama the explorer
 
watu wamesha silibwa jamaa Keisha paa zamani nyuma akina kingunge wanalia na kazi imeisha,wenzao walichukua hatua wao wanachelewachelewa kuchukua hatua.
 
Unafikiri bila Kikwete kuwa angani muda wote ungeziona cubic trillion 55 za gas? Fikiri.

Fikra zenu Urais ni kukaa tu ofisini na kungoja kuletewa ripoti? ni mawazo ya kijinga na ya kizamani hayo.

Ni Rais yupi wa kabla yake Kikwete aliyeyapata mafanikio ya kiutendaji japo nusu ya aliyoyapata Kikwete Tanzania hii? anza na yeyote umpendae na chochote ukipendacho, Nyerere? Mwinyi? Mkapa?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

akili zako ni mgando kabisa❕❕❕ Ni mafanikio gani kikwete aliyoyaleta katika nchi zaidi ya shida ❕❕❕ vitu vimepanda bei, hela ya tz imeshuka thamani, deni la taifa limepanda, ameshindwa kushughulikia mafisadi, foleni inatisha❕ umeme ghali, huduma duni hospital, rushwa kuitawala tz❕ shule za serikali ndiyo usiseme khali yake Ni tete❕ hakuna rahisi aliyoiaribu Tanzania yetu kama kikwete

NILIJUA UNA AKILI KUMBE WEWE NI BURE KABISA
 
Akili zako ndogo saana ka mtoto wa darasa la pili...mafanikio yapi?? Yanayo mzidi hata nus ya mkapa...
Acha ujinga funguka akili mama

huyu ameharibikiwa kisaikolojia coz wazungu walikuwa wanapita sana nyuma kwake,hata haja anaenda kwa matatizo...so usmlaumu walaum waliomharibu
 
Back
Top Bottom