Manyerere Jackton
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 2,438
- 4,461
- Thread starter
- #81
Kwahiyo Rukhsa Watu TUKUNJUKE?
Why not?
Kwahiyo Rukhsa Watu TUKUNJUKE?
Bado una chuki za kukatwa tu,imeandikwa kikazi wewe unapotosha eti kupumzika.kwa kiwango chako hupaswi kujidhalilisha kwa kupotosha hivi.
Baada ya uchaguzi mini budget cha moto tutaona walikoacha kuogopa hukumu katika sanduku la kura wanarejea humo na tutakomaBwana mkubwa keshapaa kwenda Geneva, Uswis kupumzika baada ya hekaheka za Dodoma.
Sidhani kama Magufuli au huyo wa UKAWA ataambulia kitu katika chungu cha hazina ya taifa.
Bahati Mbaya Sana Rwanda Hatuna Watu Hopeless Wa Aina Yake. Mkuu Mpaka Kuwa Mnyarwanda Inakubidi Uwe Vizuri Sana Kichwani Hujui?
Why not?
Kuchinjana kwa Genocide hiyo ndio akili? Bunge la nchi kubadili katiba ili mpuuzi mmoja tu Kagame awe Rais wa maisha hizo ndio akili?
Basi mimi sina akili kama hizo ndio akili.
Pole sana, leo unajitenga na Kipeperushi chenu cha Jamhuri?? 😀 😀, subirini walau siku zipite ndo mseme Mmeanza kusahau.Unataka kumsafisha Mgombea wako kiasi cha kuona kati ya watia nia 42 Lazaro ndo alikuwa Mhujumu uchumi zaidi?
Mkuu Acha Kumpa Chati Bhana. Huyo Akiwa Mwandishi Wa Habari Je Akina Dr. Ayub Rioba Na Dr. Hamza Mponda Watakuwa Nani Sasa?
Magumashi tu huna lolote, ulimwengu wa soft copy ni jambo la dakika tu kuretrive data. Unatishia kujamba wakati una tumbo la kuhara.Ngoja Tuanze Sasa Kukusanya Data / Facts Za Kutosha Za Kukuhusu Kisha Watu TUFUNGUKE Kwani Umeturuhusu Mwenyewe Usitulaumu.
Ni kweli sina akili na kamwe sintokuwa na akili zenu za kishetani za Genocide.Tangia Hapo Ulikuwa Na Huna Akili au Ulikuwa Hujijui Tu Hadi Leo Ndiyo Tunakuambia? Kwahiyo Ulikuwa Unategea Mpaka Tukuambie HAMNAZO?
Nikipata bahati ya kuhongwa, wallah nitamalizia kuweka madirisha, milango, vyoo na samani katika nyumba yangu. Mola nishushie hiyo neema ya kuhongwa ili niondokane na ulofa huu. Mola niwezeshe nihongwe ili niondokane na hii escudo ya mwaka 1995. Wajinga wote wakiona unafanikiwa watasema, ama umehongwa au umeiba. Wakikosa yote watasema wewe ni muuza unga au ni shoga. Jamii ya wajinga huwaza yaliyo hasi tu.
Huyo anamwita mwenzake mhujumu uchumi lakini kwa serikali makini manyerere angehojiwa kwa uhujumu uchumi pia.nadhan anaelewa na nasema nini.naweka akiba ya maneno.
Arusha nini tena. Yaani hata zenj?evu zilete na vielelezo, siyo porojo tu. Wape wana JF uhondo. Karibu sana.Haaaa wewe kwa usanii hujambo?mh!nitamwita rafiki yako hapa akukumbushe dili zenu za arusha na zenji.manyerere wewe acha kuja na unafiki hapa.
Safari za rais, hata kama ni magufuli au kuyoka ukawa zinapaswa kuwekewa ukomo. Zinagharimu fedha nyingi mno.
Ili tujue kama kweli safari ya kikazi angalia kama kuna marais wengine wa Africa kama nao wamekwenda, neno "KIKAZI" lisikutishe mdogo wangu, linaweza kua na tafsiri nyingi.