Akiendelea kuwa mwenyekiti wa chama baada ya Magufuli kupewa DOLA; huyu mwizi atamtilia mwenzie kiwingu kwani atataka kuendelea kuwalinda majambazi wenzie!!!
Ni kitu kizuri tu.
Ninachojiuliza, inawezekana aliyemteua kufanya kazi hii hajui kama ni rais wa nchi!?
Nauliza hivi kwa maana wajumbe wengine ni wastaafu katika kazi walizokuwa wanafanya hivyo inaelekea hawana hata majukumu ya 'ukuu wa mkoa' huko kwao kulinganisha na RAIS anayetakiwa kila sekunde kuwaangalia wananchi wake!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.