IGUDUNG'WA
JF-Expert Member
- Oct 22, 2011
- 2,071
- 1,317
duuuuh Vasco Da Gama katika ubora wake. Yericko Nyerere hebu tujuze amefikisha ruti ngapi Vasco? maana nakumbuka kuna uzi ulikuwa unaupdate safarir zakeBwana mkubwa keshapaa kwenda Geneva, Uswis kupumzika baada ya hekaheka za Dodoma.
Sidhani kama Magufuli au huyo wa UKAWA ataambulia kitu katika chungu cha hazina ya taifa.
Last edited by a moderator: