Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,928
Yap ni ankole breed hao. Wanapatikana zaidi Uganda, Rwanda Na kanda ya ziwa kwa TanzaniaNilisomaga shuleni msingi, sikumbuki somo, Ankole hao.
Yap ni ankole breed hao. Wanapatikana zaidi Uganda, Rwanda Na kanda ya ziwa kwa TanzaniaNilisomaga shuleni msingi, sikumbuki somo, Ankole hao.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na ww sio Ankole hima cattle n ng'0mbe wa magufuliNawewe siyo no Ankole cattle Bali ni Ankole hima cattle
Kwa nini mnaleta Masuala ya Mahusiano kati ya Rais Kagame na Kikwete?
Taifa letu linasonGa mbele, hatuwezi kila mara Rais Magufuli na Rais Kagame wakikutana tunaanza kujadili masuala ya zamani kati ya Rais Kagame na Mzee Kikwete.
We can't dwell on the negative aspects of the past relationship!
Please, Let bygones be bygones.
Umewahi kutembea pori la karagwe mkuu luona ng'ombe waliopo, na wote na wa wanyarwanda ama unafurahisha wanajamii?Nchi ya pili kwa ufugaji wa ng'ombe Afrika,Rais wake anapewa ng'ombe waliotimuliwa na mtangulizi wake miaka kadhaa nchini Tanzania katika operation kama zawadi..kwangu mimi ni kama dhihaka!!..Anyway ni tafakuri tofauti tu!!
Haha jipu limepanicSasa hao ng'ombe wanatusaidia nini sisi kama wananchi?,ni upuuzi tu
Mkuu Bukyanagandi, wanaitwa Ankole ila tulizoea kuwaita Nkole (hii Nkole alipenda kuitumia bibi huko kijijini Bugandika).Mkuu hivi wanaitwa Nkole au Ankole?
Wanawake wa zambarau na togwa unakutana nao kwenu sitimbi sio mjini
Rubish claims,don't be suspicious cause ur misinformedExpansion of Tutsi empire
Hiyo zawadi ni ishara ya ukarimu na urafiki.Sasa hao ng'ombe wanatusaidia nini sisi kama wananchi?,ni upuuzi tu
Kagame amechukua fulsa ya kuja magufuli kujisahihisha. hakua na sababu yoyote kumkoromea kikwete kwa kumshauri azungumze na wapinzani wake ili kuleta amani rwanda.Kwa nini mnaleta Masuala ya Mahusiano kati ya Rais Kagame na Kikwete?
Taifa letu linasonga mbele, hatuwezi kila mara Rais Magufuli na Rais Kagame wakikutana tunaanza kujadili masuala ya zamani kati ya Rais Kagame na Mzee Kikwete.
We can't dwell on the negative aspects of the past relationship!
Please, Let bygones be bygones.