shindwa na ulegeeMagufuli namba nyingine kwake kila goti litapigwa.
Obvious hii mitizamo ni ya mtu binafsi ingawa huu wa Heaven on Earth ni sawa Na wakwanguHuo ni mtazamo wako
Naona sasa Kagame "kabadilika" kawa mtu mwema! Waliompinga na kumbeza sasa wamebadilika pia!Kwa nini mnaleta Masuala ya Mahusiano kati ya Rais Kagame na Kikwete?
Taifa letu linasonga mbele, hatuwezi kila mara Rais Magufuli na Rais Kagame wakikutana tunaanza kujadili masuala ya zamani kati ya Rais Kagame na Mzee Kikwete.
We can't dwell on the negative aspects of the past relationship!
Please, Let bygones be bygones.
Wale wafugaji wa kinyarwanda sasa kuja kuchungia ng'ombe wao huku itakuwa ruksa.!
Sijui ni kapewa kama magufuli au rais....
Basi mitazamo yenu inafanana sanaObvious hii mitizamo ni ya mtu binafsi ingawa huu wa Heaven on Earth ni sawa Na wakwangu
wawafanyie screening kuangalia kama kunauwezekano wa kuwepo vipandikizi kabla ya kuwapeleka huko uliko shauri
otherwise wawapeleke chato huko.
Nasikia umeshindwa kupandishwa cheo kwani elimu hairuhusu!!!!Magufuli namba nyingine kwake kila goti litapigwa.
Kama pombe MagufuliSijui ni kapewa kama magufuli au rais....
Naona ulivymuona kagame umekumbu nyumbaniHiyo ni lazima, msukuma akae karibu na ng'ombe zake
nisahihi........Tume makini na sifa tunazotoa. Nani alikuambia Magufuli amekuwa Yesu? kwenye Biblia watu walimsifia sana mfalme Herode alipokuwa anatoa hotuba yake, wakasema hiyo ni sauti ya Mungu...usiku ule Mungu alimtandika akafa...Magufuli ni mwanadamu anafanya kile ambacho Mungu amempa neema ya kufanya siyo kwamba kwa Magufuli kila goti litapigwa yeye siyo Mungu. ni ushauri tu