Rais Kagame amgawia Rais Magufuli Ng'ombe watano

Rais Kagame amgawia Rais Magufuli Ng'ombe watano

Ziara ya Rais Magufuli Rwanda, imeleta neema baada ya Rais wa Rwanda Paul Kagame, kumgawia ng'ombe watano rais wa Tanzania kama ishara ya upendo na Ushirikiano. Hii inaleta hali na Muamko mpya baina ya Tanzania na Rwanda ulokuwa umefifia kiasi cha Rais wa Rwanda kumwambia rais wa Tanzania aliyemaliza Muda wake Jakaya Kikwete kwamba "angemhit" Kagame tells Kikwete "I will hit you.

Ninafikiri neno 'kumzawadia' lingesadifu zaidi kuliko 'kumgawia'.
 
Magufuli namba nyingine kwake kila goti litapigwa.
Tuwe makini na sifa tunazotoa. Nani alikuambia Magufuli amekuwa Yesu? kwenye Biblia watu walimsifia sana mfalme Herode alipokuwa anatoa hotuba yake, wakasema hiyo ni sauti ya Mungu...usiku ule Mungu alimtandika akafa...Magufuli ni mwanadamu anafanya kile ambacho Mungu amempa neema ya kufanya siyo kwamba kwa Magufuli kila goti litapigwa yeye siyo Mungu. ni ushauri tu
 
Kagaiwa ng'ombe watano hizo si nchi za Afrika Mashariki.
1 Tanzania
2 Kenya
3 Uganda
4 Burundi
5 Kongo
 
Be an example.

Biblia inasema, 1 Tim 4:12.

Huwezi kuwa unakemea ufisadi na kujisifu kwamba hukupokea favor za mtu wakati wa kampeni halafu we mwenyewe uko safarini unapokea pokea wanyama kutoka kwa marafiki. Unaiacha mahala gani misingi ya maadili ya utumishi wa umma inayokemea tabia za kupenda vi zawadi zawadi? Be an example.

Wanasema every man has a price. Anaweza kukataa cash advances za Wahindi kumbe anaingilika kwa vizawadi zawadi vingine. Kuna mwanamke huwezi kumhonga hata gari, lakini kumbe weak spot yake maua ya zambarau, ukimjulia unam conquer. Watu wameshaanza kumtekenya tekenya Magufuli kutafuta weak spots zake.
Kwa avatar yako una jina la BIA halafu unanukuu bibilia kuhusu hongo.
Sasa Rwanda wamempa JPM(Tanzania) mgeni wao zawadi za Ng'ombe Na Watu wa nchi hizi mbili wameona Na kusikia Je Hiyo ni hongo? hebu fafanua VIZURI bibilia imesema hayo wapi?
Sijawahi sikia Au kuona hongo inatolewa kihivyo.
Naona weye BIA nyingi.
 
Kwa avatar yako una jina la BIA halafu unanukuu bibilia kuhusu hongo.
Sasa Rwanda wamempa JPM(Tanzania) mgeni wao zawadi za Ng'ombe Na Watu wa nchi hizi mbili wameona Na kusikia Je Hiyo ni hongo? hebu fafanua VIZURI bibilia imesema hayo wapi?
Sijawahi sikia Au kuona hongo inatolewa kihivyo.
Basi huelewi misingi ya utawala bora na maadili ya viongozi.

Waraka wa serikali na kanuni za maadili ya utumishi wa umma zinakataza tabia ya viongozi kupokea zawadi. Kwa nini? Madhara yake ni nini? Mtu anapokupa fadhila inaweza kuwa vigumu siku za mbele kumkatalia jambo fulani la ovyo analotaka yeye kwa manufaa yake. Ndio maana haipendezi viongozi kufadhiliwa vitu bure bure tena ukiwa kwenye safari za nje ambapo ndiko huko mikataba mingi ya ovyo huandikwa kwa niaba ya nchi.

Rais anatakiwa awe mfano wa utaua. Sio kushusha chini viwango vya maadili, he has to raise the bar. Unapokuwa public ethics crusader kama Magufuli basi onyesha mfano. Inasikitisha kuona Rais haelewi hilo.

"Katika mambo yote ukijionyesha wewe mwenyewe kuwa kielelezo cha matendo mema, na katika mafundisho yako ukionyesha usahihi na ustahivu." Tito 2:7

BE AN EXAMPLE
 
Kwa nini mnaleta Masuala ya Mahusiano kati ya Rais Kagame na Kikwete?

Taifa letu linasonga mbele, hatuwezi kila mara Rais Magufuli na Rais Kagame wakikutana tunaanza kujadili masuala ya zamani kati ya Rais Kagame na Mzee Kikwete.

We can't dwell on the negative aspects of the past relationship!

Please, Let bygones be bygones.
wewe mwanaume bwana umeongea ambayo mwanaume anapaswa kuongea siyo kama hawa watoto kukumbusha yasiyo na maana.
 
Gharama za kuwasafirisha tu zinatibu wagonjwa watatu kama huyo
Acha ubwege namba inaanzia zero mburula wewe. hao ngombe wa 5 wanaweza hata kujaribu kumtibu mgonjwa Mmoja alie mkuta muhimbili
za
 
Huo ni mtazamo wako
Kwani ni uongo, the guy is really blessed, wewe mbona mshahara wako ni laki tatu unajuwa anko magu analipwa Tsh ngapi wewe hata class monitor hujawahi pata,sasa ndo ufunge domo, chuki za kikuda hazina fursa karne hii...
 
Kwa nini mnaleta Masuala ya Mahusiano kati ya Rais Kagame na Kikwete?

Taifa letu linasonga mbele, hatuwezi kila mara Rais Magufuli na Rais Kagame wakikutana tunaanza kujadili masuala ya zamani kati ya Rais Kagame na Mzee Kikwete.

We can't dwell on the negative aspects of the past relationship!

Please, Let bygones be bygones.



You have a good point
 
Back
Top Bottom