Rais Kagame amgawia Rais Magufuli Ng'ombe watano

Rais Kagame amgawia Rais Magufuli Ng'ombe watano

Because Kikwete alikuwa mnafiki, hana upeo wa maslahi ya Tanzania, mwenye majivuno na kujifutua (ingawaje nchi yake maskini wa kutupwa), na anayejali saana urafiki na Wazurungu kuliko Waafrika wenziwe.
Unadhani JK angekubali kushika fimbo ya kuchungia ng'ombe alivyokuwa WC(wasafi classic)? Yule asingekubali kabisa yeye ni kubembea kwenye beembea, kupiga picha za Boyz to men ndo yalikuwa mambo yake waafrika wenzake anaona kama wanazingua tu.
 
Kwa picha hiyo sasa halali Kagera kuwa shamba la Ruwanda la kulishia ng'ombe bila fidia yoyote!
Nakumbuka moja ya sababu za kudorora mahusiano nao ni hatua ya Tz kuwaamuru wanyaruanda kuondoka na mifugo yao wakachungie Rwanda. Sii bure hapa.

Mmmmh, siamini kuwa itakuwa hivyo. Operesheni ya kuwaondoa wahamiaji haramu wakiwa na ng'ombe wao wenye pembe ndefu nadhani itaendelea. Kukutana kati ya JPM na PK hakumananishi kwamba sasa wale wahamiaji haramu wataendelea kuishi nchini kinyume cha sheria. Wataondolewa tu, this is not their country. Ila we need RWANDA, although we have to be cautious. We need them katika mambo ya biashara na uchumi kwa ujumla. We need also BURUNDI and DRC and of course UGANDA. Mimi Wa-Kenya huwa siwaamini sana. Ni watu hatari,. Wabinafsi and arrogant.
 
Kupeana ng'ombe ni heshima kubwa sana katika utamaduni wa kinyarwanda. Ni kitu kikubwa sana. Laiti kama Magufuli angekuwa mhima angetakiwa kumpa jina Kagame.
Kwani rwanda wanatumia lugha gani ya mawasiliano?
 
Well said. Wote ni walaghai na wanafiki wanaotanguliza maslahi kwanza. Katika uchu wao wamegundua wakishajikabidhi kwa mkenya kichwakichwa atawageuka na ndo wanakumbuka walikoponea miaka yote. Rwanda na Uganda hawajawahi kuwa wakimbizi Kenya lakini kukosa fadhila kwao kuliwafanya wapumbazwe na Kenya waiburuze Tz ilowalea. Twahitaji umakini kujua kuwa matendo yao ya sasa yamaanisha kujirudi au geresha. Wakijirudi ni kwa faida ya wote.
 
Kwa nini mnaleta Masuala ya Mahusiano kati ya Rais Kagame na Kikwete?

Taifa letu linasonga mbele, hatuwezi kila mara Rais Magufuli na Rais Kagame wakikutana tunaanza kujadili masuala ya zamani kati ya Rais Kagame na Mzee Kikwete.

We can't dwell on the negative aspects of the past relationship!

Please, Let bygones be bygones.
Tatizo kuna walimu wa history na jiografia wameacha kazi ya ualimu wanaganga njaa kwenye siasa wao ni kuangalia mambo ya nyuma tu.
 
Kwa nini mnaleta Masuala ya Mahusiano kati ya Rais Kagame na Kikwete?

Taifa letu linasonga mbele, hatuwezi kila mara Rais Magufuli na Rais Kagame wakikutana tunaanza kujadili masuala ya zamani kati ya Rais Kagame na Mzee Kikwete.

We can't dwell on the negative aspects of the past relationship!

Please, Let bygones be bygones.

Isije ikawa opportunity za wqfugaji wa Kinyarwanda kuvamia maeneo mkoani Kagera na Kigoma kwa malisho
 
Isije ikawa opportunity za wqfugaji wa Kinyarwanda kuvamia maeneo mkoani Kagera na Kigoma kwa malisho
nadhani tuweke utaratibu wa kuweka vitalu vya kuchungia mifugo, wapewe vibali walipie ushuru wa malisho sote tutafaidika wao watalisha mifugo yao nasisi tutapata mapato. kuna wanyarwanda wana ng'ombe uganda DRC tanzania burundi, tunawazuia abhaturage wenye ng'ombe lakini masemitrela kilasiku yanachukua makontena bandarini tunawajengea na lami kwa kodi zetu magari yao yasijechakaa.
 
Ziara ya Rais Magufuli Rwanda, imeleta neema baada ya Rais wa Rwanda Paul Kagame, kumgawia ng'ombe watano rais wa Tanzania kama ishara ya upendo na Ushirikiano. Hii inaleta hali na Muamko mpya baina ya Tanzania na Rwanda ulokuwa umefifia kiasi cha Rais wa Rwanda kumwambia rais wa Tanzania aliyemaliza Muda wake Jakaya Kikwete kwamba "angemhit" Kagame tells Kikwete "I will hit you.

Mungu atujaliye Maisha mema kati ya Tanzania na Rwanda
View attachment 335348
View attachment 335350
Mwanzo mambo huwa yanakuwa hivi
images

Halafu ghafla..
images

Tuombee haya yasitokee tena.
 
Hata amuongezee gazuu, siina , chiloko, chiremba cha siina, kwa roho hiyo hawezi nawili coz lengo la kagame ni anywe maziwa!

Nzabandola!
 
kagame amefurahishwa na uchapa kazi wa mh. magu. rwanda wanaitegemea sana tanzania kwa maendeleo yao ila urasimu uliokuwepo ulikuwa haumfurahishi. pigeni kazi maraisi wetu kwa maendeleo ya wananchi wenu.
 
Ohoooooo msukuma...,,,ohooooo mzinza...,,,ohooooo msubi.., kumbe ni 'bahima empire' waarabu wa pemba wanajuana kwa vilemba bwana. Mbahima hasahau kwao hata kama ni baada ya miaka 200 na ushere, na bado mtatutambua, tayari tuna nchi 4 maziwa makuu.,,,,,homellaaa...,
Mkuu una maana gani?
 
Back
Top Bottom