habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,788
- 8,755
Kwa kuwa kapewa ng'ombe ndo imeleta neema? We vipi, kwan hiyo zawadi inatuhusu nini sisi wananchi
Ziara ya Rais Magufuli Rwanda, imeleta neema baada ya Rais wa Rwanda Paul Kagame, kumgawia ng'ombe watano rais wa Tanzania kama ishara ya upendo na Ushirikiano. Hii inaleta hali na Muamko mpya baina ya Tanzania na Rwanda ulokuwa umefifia kiasi cha Rais wa Rwanda kumwambia rais wa Tanzania aliyemaliza Muda wake Jakaya Kikwete kwamba "angemhit" Kagame tells Kikwete "I will hit you.
Mungu atujaliye Maisha mema kati ya Tanzania na Rwanda
View attachment 335348
View attachment 335350
Ng'ombe wake √Hiyo ni lazima, msukuma akae karibu na ng'ombe zake
Vipi kuhusu mKWEREMagufuli namba nyingine kwake kila goti litapigwa.
Kwa nini mnaleta Masuala ya Mahusiano kati ya Rais Kagame na Kikwete?
Taifa letu linasonga mbele, hatuwezi kila mara Rais Magufuli na Rais Kagame wakikutana tunaanza kujadili masuala ya zamani kati ya Rais Kagame na Mzee Kikwete.
We can't dwell on the negative aspects of the past relationship!
Please, Let bygones be bygones.
Kwani nani kasema ni wa mtu mwingine...Huo ni mtazamo wako
Yametoka wapi hayo mkuu?Magufuli namba nyingine kwake kila goti litapigwa.
Mkuu sahau hilo, hizo moja kwa moja hadi chatoKwa mujibu wa katiba ya mzee Warioba hizi zawadi zilipaswa kuwa mali ya umma(kukabidhiwa kwa umma)
Kama sikosei, Katiba ya mzee Warioba ilikazata viongozi kupewaa mali/zawadi na kuwa zao binafsi.
Hata hivyo,najua Magufuli kwa kukumbuka kipengele hiki cha Katiba ya Warioba au kwa kushauriwa,hao ng'ombe atawatoa kama zawadi either kwenye Taasisi za kulea watoto yatima au kukabidhi ngombe hao serikalini(kwenye Vyuo vya Mifugo vya serikali, n.k).
Anatakiwa aripoti utumishi wa umma kua kapewa zawadi maana huez jua,Magufuli namba nyingine kwake kila goti litapigwa.
Kwani nani kasema ni wa mtu mwingine...
What is your opinion then!!!Huo ni mtazamo wako
Nilisomaga shuleni msingi, sikumbuki somo, Ankole hao.daaaa yanapembe mpaka raha, awapakie kwenye gari aje nao pale ikulu afuge umo umo
Sawa mwl wa ngeli za kiswahilNg'ombe wake √
Ng'ombe zake ×