mcubic
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 10,310
- 6,548
This is a national issueWacha udaku wa kufuatilia mambo binafsi ya watu
This is a national issueWacha udaku wa kufuatilia mambo binafsi ya watu
acha maneno ya kitoto kila goti litapigwa amekua Yesu hivi ww unafikiria kwa kutumia tumbo au makalio aiseMagufuli namba nyingine kwake kila goti litapigwa.
kwel aise huyu mdau anafikiria kupitia nn sijuiMkuu acha kukufuru ,kila got Lita pig wa kwa Mungu tu
Achana nae; huyo jamaa ni mpiga deki maarufu wa monduliKwani nani kasema ni wa mtu mwingine...
Kwa nini mnaleta Masuala ya Mahusiano kati ya Rais Kagame na Kikwete?
Taifa letu linasonga mbele, hatuwezi kila mara Rais Magufuli na Rais Kagame wakikutana tunaanza kujadili masuala ya zamani kati ya Rais Kagame na Mzee Kikwete.
We can't dwell on the negative aspects of the past relationship!
Please, Let bygones be bygones.
Kumbe ndio kazi yake...Shangaa na wewe.
Hiyo ID sijui ni taasisi?! Muda wote yenyewe inaleta uchama tu.
Una maana gani mkuu?Ohoooooo msukuma...,,,ohooooo mzinza...,,,ohooooo msubi.., kumbe ni 'bahima empire' waarabu wa pemba wanajuana kwa vilemba bwana. Mbahima hasahau kwao hata kama ni baada ya miaka 200 na ushere, na bado mtatutambua, tayari tuna nchi 4 maziwa makuu.,,,,,homellaaa...,
Kwa nini mnaleta Masuala ya Mahusiano kati ya Rais Kagame na Kikwete?
Taifa letu linasonga mbele, hatuwezi kila mara Rais Magufuli na Rais Kagame wakikutana tunaanza kujadili masuala ya zamani kati ya Rais Kagame na Mzee Kikwete.
We can't dwell on the negative aspects of the past relationship!
Please, Let bygones be bygones.
Kweli tuache yaliyopitaKwa nini mnaleta Masuala ya Mahusiano kati ya Rais Kagame na Kikwete?
Taifa letu linasonga mbele, hatuwezi kila mara Rais Magufuli na Rais Kagame wakikutana tunaanza kujadili masuala ya zamani kati ya Rais Kagame na Mzee Kikwete.
We can't dwell on the negative aspects of the past relationship!
Please, Let bygones be bygones.
Hii ni tabia ya wivu, kwani wemepewa wananchi au kapewa Magufuli.Sasa hao ng'ombe wanatusaidia nini sisi kama wananchi?,ni upuuzi tu
Kumbe ndio kazi yake...
Asante kwa kuni alert....
Umemuelewa!? Tuambie maanaHuo ni mtazamo wako
Acha kufuru wewe, tutamheshimu kama kiongozi wetu lakini yeye si Mungu hata kidogo.Magufuli namba nyingine kwake kila goti litapigwa.
Nawewe siyo no Ankole cattle Bali ni Ankole hima cattleSiyo Nkole, no Ankole Cattle
mkuu taratibu unaweza kuitwa kwenye korido ili kuthibitisha haya, uko tayari,?Ohoooooo msukuma...,,,ohooooo mzinza...,,,ohooooo msubi.., kumbe ni 'bahima empire' waarabu wa pemba wanajuana kwa vilemba bwana. Mbahima hasahau kwao hata kama ni baada ya miaka 200 na ushere, na bado mtatutambua, tayari tuna nchi 4 maziwa makuu.,,,,,homellaaa...,
daaaa yanapembe mpaka raha, awapakie kwenye gari aje nao pale ikulu afuge umo umo
JPM anao uwezo wa kutafuta eneo kule Chato na kuweka wafanyakazi wakamchungia hao Ng'ombe.daaaa yanapembe mpaka raha, awapakie kwenye gari aje nao pale ikulu afuge umo umo
Hizo ni zawadi za nchi sio za Magufuli hata sudan akienda atapewa zawadi ikizidi buku 50 ya nchi sio yakeZiara ya Rais Magufuli Rwanda, imeleta neema baada ya Rais wa Rwanda Paul Kagame, kumgawia ng'ombe watano rais wa Tanzania kama ishara ya upendo na Ushirikiano. Hii inaleta hali na Muamko mpya baina ya Tanzania na Rwanda ulokuwa umefifia kiasi cha Rais wa Rwanda kumwambia rais wa Tanzania aliyemaliza Muda wake Jakaya Kikwete kwamba "angemhit" Kagame tells Kikwete "I will hit you.
Mungu atujaliye Maisha mema kati ya Tanzania na Rwanda
View attachment 335348
View attachment 335350