Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,047
- 3,786
yashakuwa hayo mara hii!Magufuli is a blessing.
[emoji120] Aamin'a
yashakuwa hayo mara hii!Magufuli is a blessing.
Ilisikitisha zaidi pamoja na ukubwa wa nchi na mali zote zilizopo rais mmoja hivi alihongwa suti ya laki 3 tu.Inasikitisha pamoja na ukubwa wa nchi yetu,tunapewa ng'ombe na rwanda
Weee kweli dudu yaani neema kwa sie watz 45 na zaidi kufaidika kwa hao ng'ombe watano duuu!
kwani we hii comment yako itasaidia niniSasa hao ng'ombe wanatusaidia nini sisi kama wananchi?,ni upuuzi tu
mnapenda vya bure ..unataka upewe nini ..nenda na wewe atakupa zawadWeee kweli dudu yaani neema kwa sie watz 45 na zaidi kufaidika kwa hao ng'ombe watano duuu!
mnapenda vya bure ..unataka upewe nini ..nenda na wewe atakupa zawadWeee kweli dudu yaani neema kwa sie watz 45 na zaidi kufaidika kwa hao ng'ombe watano duuu!
Hakika ni ng'ombe wazuri na pembe zao zinavutiaSiyo Nkole, no Ankole Cattle
Kama jina lakoInasikitisha pamoja na ukubwa wa nchi yetu,tunapewa ng'ombe na rwanda
Hizo ngombe apelekewe mmasai akachunge kule RongidoHuo ni mtazamo wako
Ziara ya Rais Magufuli Rwanda, imeleta neema baada ya Rais wa Rwanda Paul Kagame, kumgawia ng'ombe watano rais wa Tanzania kama ishara ya upendo na Ushirikiano. Hii inaleta hali na Muamko mpya baina ya Tanzania na Rwanda ulokuwa umefifia kiasi cha Rais wa Rwanda kumwambia rais wa Tanzania aliyemaliza Muda wake Jakaya Kikwete kwamba "angemhit" Kagame tells Kikwete "I will hit you.
Mungu atujaliye Maisha mema kati ya Tanzania na Rwanda
View attachment 335348
View attachment 335350
Ukiwa hizi taarifa za ngombe si nzuri kabisa hasa pale mlipodanganywa kuwa mzee akishindwa ataenda kuchunga ngombe....lakini mpaka leo bado yuko UfipaKwa kuwa kapewa ng'ombe ndo imeleta neema? We vipi, kwan hiyo zawadi inatuhusu nini sisi wananchi
Kijana wa Membe naona umeingiwa gadhaaaabbbNg'ombe 5? Rais mzima unampa watano badala ya 100