capacity charge
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 352
- 489
Dah nimecheka sana mkuu dah waswahili bwana hamkosi neno hahahaaa..!Mbona pembe ndefu sana, zitakuwa na vidukuzi sio bure
Dah nimecheka sana mkuu dah waswahili bwana hamkosi neno hahahaaa..!Mbona pembe ndefu sana, zitakuwa na vidukuzi sio bure
atiiiiiiiii?Magufuli namba nyingine kwake kila goti litapigwa.
Kagame ni rais 'extremely intelligent' na mwenye 'confidence' kubwa, anayethamini asili yake. Utaliona hilo katika aina ya zawadi alizompa Magu, kwa kweli ni anwani ya kuonesha kiasi gani anathamini utamaduni. Tulikuwa na rais hapa aliyejiona Mzungu katika kila aina, mavazi, lugha anayotumia, rafiki zake n.k. Kwa kweli tulikuwa na rais limbukeni.
Natumai sasa Magu atafufua utamaduni wa Mtanzania. Miaka ya sabini ilikuwa ukionekana umevaa tai na suti wanakuona mshamba. Wamekuja hawa wameifanya tai eti ndiyo nguo ya heshima na maendeleo. Tufufue vazi la Taifa na mimi napendekeza Abacos, kama ile waliyokuwa wakivaa Wa Zaire. Ni afadhali kumwiga Mwafrika mwenzio kuliko mzungu. Mzungu atakucheka, Mwafrika atapendezewa kuwa umemfuata.
we ulitaka upwwe nini cha kukusaidia?Sasa hao ng'ombe wanatusaidia nini sisi kama wananchi?,ni upuuzi tu
Ni Mungu tu ambaye kila goti litapigwa kwake.Magufuli namba nyingine kwake kila goti litapigwa.
Weee kweli dudu yaani neema kwa sie watz 45 na zaidi kufaidika kwa hao ng'ombe watano duuu!
Both...Sijui ni kapewa kama magufuli au rais....
Hao n'gombe wa mapembe ni jamii ya Nkole.
Kwa picha hiyo sasa halali Kagera kuwa shamba la Ruwanda la kulishia ng'ombe bila fidia yoyote!Ankole cattle
Mkuu we unamwamini kagameDah nimecheka sana mkuu dah waswahili bwana hamkosi neno hahahaaa..!
Kwani umelazimishwa ukubali mtizamo wakeHuo ni mtazamo wako
Acha wivu wa kike, kwani koti la magufuli wewe linakusaidia nini? Kimfaacho mtu chake.Sasa hao ng'ombe wanatusaidia nini sisi kama wananchi?,ni upuuzi tu
Basi kama kapewa kama rais awalete tuwachinje siku ya muunganoBoth...
Unashangaa ng'ombe 5 kuna rais flani ye alihongwa suti tu ya laki 3 mchezo ukaishaNg'ombe 5? Rais mzima unampa watano badala ya 100