Siyo namba, ni thamani.Ng'ombe 5? Rais mzima unampa watano badala ya 100
Siyo namba, ni thamani.Ng'ombe 5? Rais mzima unampa watano badala ya 100
..Kwa maoni yangu: Ng'ombe hao wanatusaidia sisi Wananchi wa Tanzania kwa kuimarisha uhusiano wa kindugu kai ya Rwanda na sie. Kwa kadri nnavyofahamu, zawadi ya Ng'ombe ni alama ya juu ya kuonesha urafiki kati ya watu/jamii wanaopeana Ng'ombe kama zawadi.Sasa hao ng'ombe wanatusaidia nini sisi kama wananchi?
Dunia ndogo!Nchi ya pili kwa ufugaji wa ng'ombe Afrika,Rais wake anapewa ng'ombe waliotimuliwa na mtangulizi wake miaka kadhaa nchini Tanzania katika operation kama zawadi..kwangu mimi ni kama dhihaka!!..Anyway ni tafakuri tofauti tu!!
Watazalisha maziwa kwa ajili ya matumizi yetu ya ndani, ziada inayobaki tutauza nje ya nchiSasa hao ng'ombe wanatusaidia nini sisi kama wananchi?
..Naam. Hasa ukizingatia mwisho wa awamu iliyopita ulivyokuwa. Nimeisoma LINK ya mleta mada. Nimeona uhusiano ulifikia pabaya sana.Kwa alama hii ya zawadi... Naungana nawe: Mwanzo mwema..Mwanzo Mwema
Unadhani kagame alijuta khs alichomwambia Kikwete? Vp uliona kagame amekaa na hao wapinzani wake wakaongea? Vp sasa hivi wakina kagame, kenyatta na museveni wakianza kumwambia mh. JPM ooh uchaguzi wa zanzibar haukua fair hapo cha kufanya CUF wapewe nchi sababu walishinda uchaguzi uliopita unadhani uncle Magu atawachukulis hatua gani hao waliomshauri? Au unadhani atacheka cheka nao tu hovyo hovyo.Kagame amechukua fulsa ya kuja magufuli kujisahihisha. hakua na sababu yoyote kumkoromea kikwete kwa kumshauri azungumze na wapinzani wake ili kuleta amani rwanda.
Hao ng'ombe ukiwa na laki moja tu unanunua ukiwa mwanza. Ng'ombe mmoja anatoa maziwa nusu lita au lita moja.Siyo namba, ni thamani.
Magufuli is a blessing.
Hahaha security analyst ambae hujawahi hata kua mgambo? I nashangaza sana kwa kweliHapa kuna ukweli ambao uko ndani sana, kama akili haijadumaa ndio unaweza kuuona, imeshatokea wanyarandwa kupenya mpaka nyumba nyeupe na kufanya kazi ktk taasisi za kiusalama na nyeti, alishasema anajua mpaka uvunguni kwenye nyumba zetu, ni vyema magu awe mwangalifu na ukaribu wa huyu mtu sio mzuri tubaki ktk biashara tu, ktk tamaduni zote duniani zawadi inaweza kuonyesha jinsi unavyomthamini mtu, hivyo kama Watz tunapaswa kujua utamaduni wa wanyarandwa ktk kutoa zawadi kama kweli ni kama ilivyoandikwa kuna tatizo kubwa hapa, hata Mwl Nyerere alitoa kifimbo aliposalimiwa na gilovusi. Usalama wa nchi kwanza!!!!
Hilo ni jibu au swali?Sijui ni kapewa kama Magufuli au Raisi....
Wewe unaongea kitu kinaitwa "crap". Hakuna mahali imesemekana JPM ameomba zawadi. Ni mila zetu za kibantu. Mgeni wa heshima anakarimiwa na kitu cha thamani kubwa (kutegemea na uwezo wa anayekarimu). Mwenye kuku anakarimu kwa kuku, mwenye mbuzi anakarimu na mbuzi. Kwa mNyarwandwa hakuna kitu kina thamani kushinda ng'ombe.Be an example.
Biblia inasema, 1 Tim 4:12.
Huwezi kuwa unakemea ufisadi na kujisifu kwamba hukupokea favor za mtu wakati wa kampeni halafu we mwenyewe uko safarini unapokea pokea wanyama kutoka kwa marafiki. Unaiacha mahala gani misingi ya maadili ya utumishi wa umma inayokemea tabia za kupenda vi zawadi zawadi? Be an example.
Wanasema every man has a price. Anaweza kukataa cash advances za Wahindi kumbe anaingilika kwa vizawadi zawadi vingine. Kuna mwanamke huwezi kumhonga hata gari, lakini kumbe weak spot yake maua ya zambarau, ukimjulia unam conquer. Watu wameshaanza kumtekenya tekenya Magufuli kutafuta weak spots zake.
Wewe ndio unaonekana mjinga kwa sababu hicho ulichoandika ndio kilipaswa kuwa mjadala na wala si kupeana ng'ombe liwe jambo kubwa na kuacha kujadili mahusiano ya nchi zetu ni namna gani kila nchi itapata manufaa kutoka kwa mwenzakeWewe ndo mjinga.
Tena mpuuzi wa mwisho....unaongelea kuhusu sera wakati hata kumbe hujui kilichopelekea Magufuli na Kagame kukutana mpakani, shughuli waliyoifanya, chini ya sera na mipango ya ushirikiano iliyopitishwa siku nyingi katika mipango ya ushirikiano wa jumuiya ya afrika mashariki na kisha kuelekea kigali.
Wewe ndo fala na mpumbavu asiyejua hata kwa kuangalia ramani tu kwenye atlas kuwa rwanda ina maslahi muhimu ya kiuchumi kati yake na tanzania kwa kutumia jiografia yao ilivyo.
Na mahusiano mema ya nchi na nchi kisiasa na kiuchumi hutegemea sana mitazamo na matendo ya viongozi wa nchi hizo...
We ndo mjinga ambaye hujui kuwa vita nyingi kati ya nchi na nchi zimesababishwa na matendo na maneno ya kijinga toka kwa viongozi wao...wenye akili kama yako.
Asiyejua maana haambiwi maana.Ndio maana nimekuita mpuuzi kwani hayo yote uliyoyaandika hapo yanahusiana vipi na kupeana ng'ombe kiasi ambacho ndio iwe agenda ya kujadili? ,bila kusahau kukupa dawa yako:-mafala baba yako na mama yako,wapumbavu ni bibi yako na babu yako waliozaa wazazi wako na kukufanya husiwe na adabu,mbwa mkubwa we
Narrow minded people ni shida sana.Wewe ndio unaonekana mjinga kwa sababu hicho ulichoandika ndio kilipaswa kuwa mjadala na wala si kupeana ng'ombe liwe jambo kubwa na kuacha kujadili mahusiano ya nchi zetu ni namna gani kila nchi itapata manufaa kutoka kwa mwenzake
Asante Mkuu!KinaChochekesha ni kuwa WaTanzania tulikuwa nyuma ya JK kwenye sakata lile liliopelekea uhasama wa Kagame na JK (Inshu ya kupeleka majeshi Congo)
Kila Rais alifanya yake kwa uzalendo na maslai ya nchi yake.
1.Urafiki wetu wa miaka Nenda rudi na DRC , ulitufanya sisi kumsaidia kama rafiki namba moja.
2.Undumilakuwili wa Kagame kuunda genge la wao Kenya kutuumiza Tanzania kwa sababu ya kupeleka majeshi yetu DRC.
3.Ishu ya Burundi kuwa tofauti na mapendekezo ya UGanda na Rwanda lilichochea uhasama wa JK na Kagame.
MWISHO WA SIKU KILA MTU ALIKUWA ANATETEA MPUNGA WAKE NA NCHI YAKE
Nini kilisababisha uhusiano uwe mbaya na sasa kuna nini kipya kinachofanya uone uhusiano ni mzuri?..Naam. Hasa ukizingatia mwisho wa awamu iliyopita ulivyokuwa. Nimeisoma LINK ya mleta mada. Nimeona uhusiano ulifikia pabaya sana.Kwa alama hii ya zawadi... Naungana nawe: Mwanzo mwema..
Kama ambavyo watanzania tusivyobadilika.Ni neema kwa nchi lakini Kagame ni yule yule habadiriki.