Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 179,428
- 197,152
Huu ni utawala wa awamu ya tano...Kwani twiga alisafirishwaje hadi Uarabuni?
Huu ni utawala wa awamu ya tano...Kwani twiga alisafirishwaje hadi Uarabuni?
Hapana umekosea umetumia vibaya andiko halali la Biblia juu ya Bwana Yesu. Msifanye utani na maneno ya Mungu! Neno hilo linatumika tu kwa rejea ya kile Mtume Paulo alichokiandika juu ya ukuu wa Yesu baada ya kazi yake ya kuukomboa ulimwengu msalabani. Hata mheshimiwa akisoma hapo hatakubaliana nawe:Magufuli namba nyingine kwake kila goti litapigwa.
Sasa hao ng'ombe wanatusaidia nini sisi kama wananchi?
Tusubiri tuone jinsi atakavyofuta taratibu za upokeaji zawadi kama ulivyoainishwa kwenye misahafu ya maadili. Akibugi tu amekwishaKwani umepewa wewe!
Tasnia ya habari Bongo ni majanga.........tatizo ni hata wale weledi wanasukumwa na ushabiki au nguvu ya fedha,kujipendekeza na kutaka kuwafurahisha wakubwa.......binafsi huwa nasoma tu cujus maudhui ya ya kitu halafu kichwani mwangu napembua nijuavyo napata nitakacho na siku inapita.Inapofikia mwandishi anaripoti kuwa ziara ya rais yaleta neema Tanzania baada ya kupewa zawadi ya ng'ombe watano, ilihali Mvomelo wanauliwa ng'ombe 500 na hakuna ata mwandishi aliyejaribu kufatilia na kuieleza na kuielimisha jamii husika juu ya hili tatizo lkn leo ati anaripoti ng'ombe 5 ni neema kwa tz.
Kweli mzee alikuwa sahihi kipaumbele chetu kwa sasa ilikuwa
Elimu
Elimu
Elimu.
Inapofikia mwandishi anaripoti kuwa ziara ya rais yaleta neema Tanzania baada ya kupewa zawadi ya ng'ombe watano, ilihali Mvomelo wanauliwa ng'ombe 500 na hakuna ata mwandishi aliyejaribu kufatilia na kuieleza na kuielimisha jamii husika juu ya hili tatizo lkn leo ati anaripoti ng'ombe 5 ni neema kwa tz.
Kweli mzee alikuwa sahihi kipaumbele chetu kwa sasa ilikuwa
Elimu
Elimu
Elimu.
Huenda wamefunzwa kuwa mashabiki wa wanasiasaTasnia ya habari Bongo ni majanga.........tatizo ni hata wale weledi wanasukumwa na ushabiki au nguvu ya fedha,kujipendekeza na kutaka kuwafurahisha wakubwa.......binafsi huwa nasoma tu cujus maudhui ya ya kitu halafu kichwani mwangu napembua nijuavyo napata nitakacho na siku inapita.
Ni neema kwa nchi lakini Kagame ni yule yule habadiriki.Wacha udaku wa kufuatilia mambo binafsi ya watu
Wewe ndo mjinga.Acha ujinga,kwani hayo ni mambo binafsi sasa mtu anapotaka kuingiza mambo mengine ya kuhusu nchi ndipo ninapoona upuuzi kwani mahusiano ya kinchi hayapaswi kunasibishwa na urafiki binafsi baina ya viongozi bali sera,wengi wanashabikia hilo jambo kwa sababu za kipuuzi labda ukabila,udini au uchama.
...Naam. gud obzaveishn....Hapa itabidi TUFUKUE katika Katiba ya Wananch i(a.k.a katiba ya Warioba). Binafsi: Namwomba Mheshimiwa Raisi akirudi atwambie wale Ng'ombe wa Kinyankole ni wa Raisi ama ni wa JPJM...Sijui ni kapewa kama Magufuli au Raisi....
Mkoa wa Kagera na wilaya za Kigoma hao ndio ngombe wa asili. Hao ng'ombe wakifika Singida bei yao inakuwa mbaya.Mbona pembe ndefu sana, zitakuwa na vidukuzi sio bure
Pembe ndefu ndo walivyo hao Ng'ombe. utajiri wa watu wa sehemu hizo (Rwanda, Burundi, Kongo Mashariki, Uganda Kusini, Karagwe, Ngara. Kasulu na Kibondo), unapimwa na idadi ya ng'ombe mtu anaomiliki, na pengine UREFU wa pembe miongoni mwa ng'ombe wake....Mbona pembe ndefu sana, zitakuwa na vidukuzi sio bure
Ndiyo maana alipewa JPM na wala sio ninyi!Sasa hao ng'ombe wanatusaidia nini sisi kama wananchi?