NDESSA
JF-Expert Member
- May 2, 2013
- 1,945
- 1,801
Udhaifu wa kiongozi msiufiche kwenye mambo ya Ardhi kutafuta sympathy,Kikubwa tu ambacho JPM anatakiwa akiweke kwenye kichwa chake, anatakiwa kujua tanzania ni taifa lenye watu zaidi ya millioni 40, ahakikishe kila alifanyalo liwe ni kwa maslahi ya taifa na si urafiki binafsi, KAGAME anajali maslahi ya taifa la Rwanda na hawezi kujali maslahi ya taifa la KENYA au TANZANIA, tatizo la KAGAME na JK halikuwa ni la maslahi binafsi bali JK alijaribu kusimamia maslahi ya taifa mfano suala la ardhi na ajira alipogoma kuwakubalia PK na KENYATA ikawa nongwa maana walitaka kutumia nafasi hiyo kuturob watanzania maana walijua udhaifu wa wabongo kwenye hayo maeneo na JK akaamua kutulinda kwa kuangalia maslahi ya taifa.
JPM KILA ULIFANYALO WEKA MASLAHI YA TAIFA MBELE , hatuhitaji kumpigia magoti yeyote hapa east Africa maana tuna kila kitu ambacho wao ndio waje kutupigia Magoti, ni wakati wa kutumia vizuri rasilimari zetu na kuhakikisha watu wetu wanafanya kazi kwa bidii na uadirifu basi hapo kila mtu atatugongea hodi yeye na si sisi...
Anamshauri PK aongee na Waasi, wakati ccm imeshindwa kuongea na CUF Zbar.