Iko hivi nyie watu weupe kwenye masuala ya uchumi.Mi najiuliza tu, tutalipaje hili Deni kubwa la Taifa linalozidi kukua kila siku kwa ajili ya miradi white elephant?
hahahahaaaaaaaaa.Mi najiuliza tu, tutalipaje hili Deni kubwa la Taifa linalozidi kukua kila siku kwa ajili ya miradi white elephant?
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽 Unamlipaje anakiuka katiba ya nchi, anayedharau Bunge, mahakama na pia kutudharau Watanzania? Huyu ni mtu anayestahili kuwa lupango.