Rais John Magufuli tutamlipa nini?

Rais John Magufuli tutamlipa nini?

Ni wajibu wake na ni haki yetu hana cha kusifiwa wala kulipwa.
 
MH.RAISI JOHN MAGUFULI TUTAMLIPA NINI

Hili ni swali ambalo tunaweza kuyapata majibu yake ikiwa tutajituliza na kuipata tafakuli sahihi. Hakuna Mtanzania ambae hajaiona kazi ya Mh.Raisi toka mwaka 2015. Amejitoa kwa hali na mali kuhakikisha Tanzania inabadilika katika kila eneo lake.

Haikuwa kazi ndogo ujenzi wa barabara zinavyojengwa kwa kasi kiasi hiki ,namna Mahospitali na Vituo vya afya vinavyoboreshwa na kujengwa maeneo mbalimbali nchini, jinsi uboreshaji na ununuzi wa vyombo vya usafiri kuanzia Anga, nchi kavu na majini,Tunazo ndege kubwa na za kisasa tunaweza kwenda nchi yoyote Duniani tunaipasua anga, Reli ndio hizo zinazidi kujengwa na za kisasa ,Meli na vivuko vipya tunaona vinaingizwa majini kwa kuondoa kero ya usafiri huo majini jicho letu ziwa Victoria muda sio mrefu tutaishuhudia MV Mwanza bora na ya kisasa zaidi ,na mashule mengi yamejengwa kipindi hiki kifupi cha miaka mitano.

KHALFANI najiuliza hivi mtu wa namna hii unaweza kumlipa malipo gani ambayo anaweza kufurahishwa nayo kwa aina hii ya utumishi aliotutumikia watanzani? Naendelea kuiangalia TANZANIA ya toka mwaka 2015 mpaka sasa 2020 tumepiga hatua kubwa sana. Wananchi wanafurahia maisha sasa,na kujivunia utanzania wetu. Nenda polisi kituo chochote unapokelewa utadhani umewapelekea zawadi unahudumiwa kwa usawa heshima ipo pande zote ,nenda ofisi yoyote ya Serikali hakuna tena kuzungushana nenda kesho au rudi keshokutwa ni unahudumiwa kulingana na aina ya shida yako, ofisi zote zimeonekana sasa kuwa Mwananchi ndo muajiri.

Ukiamua kuyaongelea mabadiliko ya miaka 5 hapa nchini tutakesha ndugu zangu. Ubungo pale yatakuwa maajabu ambayo hatukuyafikiria kuyaona TANZANIA ni barabara juu ya barabara aiseeee! Tazara sahivi raha sana pale Mfugale ,Mbona pale ukitoka zako Coco kuwahi posta nikupita juu ya Bahari yaaani raha juu ya raha. Kodi zetu zinaonekana nini zinafanya.

Tukiangalia namna ya kumlipa kwa haya aliyotupigania Raisi wetu ni mtihani kwani kaifanya kazi kubwa mno. Tanzania kuna uhuru wa kuabudu na Uhuru huo haupo kwenye nchi nyingi tunazijua,ni Tanzania pekee ukianzisha dini ukafata taratibu za nchi hauna kizuizi kikubwa zingatia tu taratibu za nchi,hata uamue usiabudu uwepo tu hakuna atakae kuhoji.

Wazo langu tuhakikishe tunampa zawadi ya ushindi wa kishindo yaaani tumpe kura mpaka mwenyewe ajishangae hii itakuwa ndio ahsante yetu kwake. Na ili kuufanikisha ushindi huo tuamue kuachia uhuru kwa wagombea wa nafasi zingine turuhusu wagombea wanaokubalika kwa wananchi ili wananchi waingie kwenye uchaguzi vifua vyao havina kwanini ndani mwake wafanye kuzisukuma kura za kutosha. Namaanisha ndani ya chama chetu CCM wale watu wa maamuzi waangalie sana wananchi wanamtaka nani hii itatusaidia kutuweka pamoja Katika hatua za kushambulia msako wa kuzitafuta kura zile za kishindo na awamu hii wapinzani wetu hawatokaa wasahau watakacho kiona kwenye ubao wa matokeo ya kura za jumla.

Tunafaham kuna watu wanaingia kwenye mchakato wakiwa na nia tofauti na mheshimiwa Raisi hao ndio tatizo ambao tunatakiwa kuwawahi mapemaaaa, kwani wakati tukiwaruhusu wajipenyeze tutatembea na kirusi cha kuzififisha juhudi za kuendelea kuijenga Tanzania mpya. Kuna watu hawapendeki lakini kwa kuwa wanahela wanaamini watafanya vyovyote wajipenyeze ili waende kufanya biashara zao kwenye siasa kitu ambacho ni kuidhohofisha kasi ya JPM .

Wananci wanahitaji wabunge wafuatao

Wabunge watakao ishauri vizuri serikali kuwapatia huduma stahiki kupata vituo vya afya na vyenye kuzitoa huduma bora,kuwapigania kuupata umeme ili waweze kujikita kuanzisha viwanda vidogo vidogo kwenye maeneo yao, kuwajengea ushawishi wa kuwa na vyuo mbali mbali vya ufundi kwenye maeneo ili waweze kuwazalisha wataalam mbali mbali na kuchochea vijana kujiajili, kushirikiana na jamii kuondoa ujinga ,umaskini na maradhi. Wananchi wanahitaji maji barabara na huduma mbali mbali. Mbunge aguswe na maisha ya wana jimbo lake.

Wananchi hawataki wabunge wafuatao

Wabunge wa msimu wa uchaguzi baada ya hapo kukutana majaaliwa hawahitaji wabunge wenye mipango yao nje ya changamoto za kijimbo.Wabunge wa kuchagua hii kata siipendi napenda kata ile wabunge wa kugawa watu ,Wananchi hawahitaji wabunge wa kulitumia jimbo kujinufaisha wao binafsi.

Naomba nikishauri chama changu CCM, kwakuwa naamini wanayo mikakati mizuri siku zote ya kuwapata viongozi bora na makini ,basi wazingatie sana wananchi wanataka akina nani hii itatusaidia kufuta upinzani hapa nchini. Wale wanaojiaminisha kushinda ushindi wa kipesa na si ushindi wa kimapendo ya wapiga kura hao tuwa delete kabisaaaa.

Khalfani mwana wa ABUBAKARI mjukuu wa FADHILI namaliza kwa kusema ,ZAWAD ya ushindi wa kishindo kwa Mh.Raisi JOHN MAGUFULI itamuongeza nguvu katika kutupigania Wataanzania.

CHAGUA MAGUFULI 2020 KAZI IENDELEE

Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau kuweka namba zako za simu
 
Sijui kwanini awamu hii imezalisha wajinga wengi sana!
 
Kwani halipwi mshahara?
 
Mbona mna wasiwasi sana mnaona aibu kwa kujua bila dora yaani mapolisi yanayoiba mabox ya kura hamuwezi kupita hivyo mnakuja huku kujiongelesha ongelesha. Kama kazi zake zinaonekana mabandiko ya kumpa nini yanatoka wapi?. Si muache kazi ziseme?. Nimewachoka ccm leo hii mletuletea hadi yesu wa pili.
 
Mimi binafsi sijaona alichofanya ndani ya miaka mitano ,kaharibu nchi vibaya ,moja kashindwa kuajiri miaka mitano,kashindwa kupandisha mishahara miaka mitano, kashindwa kupandisha madaraja watumishi,kashindwa kukuza sekta binafsi, kaharibu mahusiano ya Tanzania na mataifa mengine,kashindwa kulipa wastaafu kwa wakati na hela zao zote zaidi ya kuwapa roborobo,kashindwa kukuza uchumi hivi sasa makadirio ya ukuaji uchumi mwaka 2020/2021 ni asilimia 2.Uwekezaji wa mtaji kutoka n'nje foreign investment imeporomoka kwa asilimia 67 toka mwaka 2016-2020 . Sasa tumshukuru kwa lipi?
 
Hili ni swali gumu sana na linataka kutafakari sana ndipo walau upate majibu, kwa yale ambayo Rais Wetu Mpendwa ameyafanya katika kuhakikisha taifa letu linasonga mbele ni hakika lazima kwa mtu mwenye akili timamu afikirie kuwa tutamlipa nini, najua jibu la haraka la kwanza ambalo waTanzania wengi watalijibu Oktoba ni kumpatia kura za kishindo ambalo ni jambo jema sana na nina uhakika nalo.Wengine kwa kuwaza tutamlipa nini wanafika mbali hadi kuanza kufikiri kuwa tumwongeze muda wa kuendelea kulitumikia taifa hili, nafahamu kuwa hawajakosea kwa kufikiri hivyo maana kwa kazi aliyofanya anastahili kupongezwa, kutiwa moyo, kuungwa mkono..

Hongera sana Rais wangu JPM.
I'm proud of being Tanzanian and CCM Member.

CCM imara
 
Mimi binafsi sijaona alichofanya ndani ya miaka mitano ,kaharibu nchi vibaya ,moja kashindwa kuajiri miaka mitano,kashindwa kupandisha mishahara miaka mitano, kashindwa kupandisha madaraja watumishi,kashindwa kukuza sekta binafsi, kaharibu mahusiano ya Tanzania na mataifa mengine,kashindwa kulipa wastaafu kwa Wakati na hela zao zote zaidi ya kuwspa roborobo,kashindwa kukuza uchumi hivi Sasa makadirio ya ukuaji uchumi mwaka 2020/2021 ni asilimia 2.Uwekezaji was mtaji kutoka n'nje foreign investment imeporomoka kwa asilimia 67 toka mwaka 2016-2020 . Sasa tumshukuru kwa lipi?Haya mawaxo yangu we moods hebu ysheshimu mbona unsnisaidia kufikiri,hatueezi kuwa na mawazo sawa hata elimu Mimi na wewe hatupingani ,kuandika mawazo yangu nimekosea ?Kuwa muungwana.
 
Kafilisi mifuko ya hifadhi ya jamii, Tanapa , Nhif,kalamba hela za korosho ,kauza nyumba 8000 za Nhc.
 
IMG_20200613_192602.jpg
 
Wakuu au Mimi sielewi! Tulitaka Rais mchapakazi si ndio tumempata na snalipwa mshahara !! BADO posho SWALI alipwe nn Tena kazi yake anawatumikia wananchi!! Msipende kumdharaulisha mhe.Rais. Neno Asante na hongera kwa kazi nzuri yanatosha. Mbona mnabwabwaja Sana I'll muonekane was maana au. Mi naamini JPM Ni mtu sahihi malipo na posho anazopewa na akistaafu kiinua mgongo juu vinatosha. MNATAFUTA NN NYIE WATU. Haya tukisema tumlipe hell unayo ya kumlipa. Acheni kutafuta Kiki mwacheni afanye kazi ya kulio goza taifa. NAKUBALI KAZI ZAKE. NI MTU SAHIHI KWA SASA BIG UP SANA. MKUU
 
QUOTE="mr chopa, post: 35444922, member: 383440"]
MUNGU mbariki magufuli
[/QUOTE]

kwakukupa cheo...nyambafu binafs.Mwingine eti tutamlipa nini wakati anakula atakacho mpaka papuchi
 
Tokana na rasilimali tulizonazo,vilivyopo tunastaili kuwa navyo ama tunastaili zaid ya hapa??na tulivyopo ambao mmenufaika navyo ni haki yetu ama tumependelewa

Mimi kama mtanzania wa kawaida mkulima wa ndani ndani huku nyangokolwa,nimenufaika na nini kwenye utawala wake?
 
Back
Top Bottom