Rais John Magufuli tutamlipa nini?

Rais John Magufuli tutamlipa nini?

Hizi mada zinaboa na kuchosha kweli kweli...

Jr
Mkuu mimi siku hizi nawaweka kwenye ignore list. Kule IG nawablock kabisa. Ni kama vile Magufuli ( Not CCM) amemwaga vijugu kila kona. Wanamada za kipumbavu sana.

Ukiangalia kama huyu, ana siku kama 4 tu humu anakuja na uzi mrefu pumba tupu.

Yani hata kwenye TV na maredion wanaongea mada za kupumbavu sana ilimradi wamsifu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Mwl.alipotangaza kuwa anang'atuka wapambe walimwendea na kumwambia,Mwl.using'atuke,uking'atuka nchi itaingia vitani.kumbe lengo lao walitaka aendelee kubaki madarakani kwa sababu walijua Rais mpya atakuja na watu wake na wao watakosa pa kula.
 
Wafuate ambao hawana ajira toka walivyohitimu 2015 vyuo, hasa waalimu, nadhani watakupa vyeti vyao kabisa, umpelekee Chamwino.
 
malipo yake ni kumpa kura nyingi kipindi cha pili cha uomgozi
 
Watumishi wa umma 5 bila

Wafanyabiashara mazingira magumu biashara zimefungwa nyingi tu

Wakulima wa korosho; kahawa njegere Mungu tu ndie ajuaye

Ajira kwa mpya kizungumkuti

Uchumi wa nchi umepaa kiasi kwamba kila mtz anamiliki NOAH

Kwa kweli anko Magu sijui tumlipe nini
 
Napata tabu juu ya uelewa wa vijana wa ccm, IQ yao inaonekana ni ndogo sana.
Na elimu ya uraia imewapiga chenga.
 
Mkuu malipo yako ya aina 2 tu, ukitaka kuyajua malipo ya viongozi wetu Mwangalie mzee Ben, Ally, na Gaddaf!
 
Safi sana mtaalam Khalfan.Magufuli yuko vizuri sana tukiweka chuki za kisiasa pembeni.Twende naye tena 2020-2025.
 
MKUU hakuna Demokrasia isiyokuwa na Mipaka. Demokrasia sia ikiachiwa bila kiwekewa mipaka hapata kalika hapa maana waafrica wengi wanadhani Demokrasia ni kuitukana Serikali na kufanya maandamano kila SAA.

MH kikwete aliruhusu hicho unacho kihita Demokrasia na sote tuliona Madhara yake. Alikua Akitukanwa kila SAA. Nchi ilikua haitawaliki Machadema yalimyumbisha sana mpaka ndoto ya Maisha Bora Ikamshinda.

Ukisema ufanye Ujinga wa kuruhusu hicho unachokisema na kwambia Utavuna Mabua.

Nampongeza Magufuli maana aliusima mchezo akagundua Udhaifu wa kuiachia Demokrasia kupitiliza ni Kupanga kushindwa kuleta maendeleo.

Upinzani tulio nao ni wakijinga sana. Kukwamisha hauna tofauti na Ukaa.sote tumeona kwenye Changamoto ya corona umeona sarakasi za chadema na Act wazalendo ni upuuzi mtupu.
Jamaa ni mzuri kweli kweli tatizo ni paleeeee kwenye human rights na Democrasia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi najiuliza tu, tutalipaje hili Deni kubwa la Taifa linalozidi kukua kila siku kwa ajili ya miradi white elephant?
Subiri reli ya Sgr ianze kufanya kazi na kuliingizia pato taifa hapo ndio utajua namna hilo deni linavyolipwa.
 
huyu maharibifu wa uchumi kwa miaka 5 anastahili jela akitoka madarakani November 2020....Ile mikataba ya siri ya ununuzi wa ndege kapiga mpunga mrefu na mtoto wa dada..
 
Unamlipaje anakiuka katiba ya nchi, anayedharau Bunge, mahakama na pia kutudharau Watanzania? Huyu ni mtu anayestahili kuwa lupango.
 
Hii mada ungeleta wakati anakaribia kumaliza kipindi chake cha pili ndiyo tungeweza kuchangia vizuri. Bahati nzuri uchaguzi ujao hana mpinzani kwa hiyo uhakika wa kuendelea anao. Hifadhi huu uzi na urudishe hapa wakati anamalizia muhula wa pili tutachangia vizuri. Kwa wale waandishi wa vitabu, kuna fursa nzuri sana ya kuhandika kitabu cha utawala wa Rais Magufuli maana utawala wake ni wa peke yake na kuna mengi ya kuandika na kitabu kikapata soko ndani na nje ya nchi.

km Ndege alizonunua, kuhamia Dodoma, Miradi miwil mikubwa ya kujenga Stiegler's Gorge Dam na reli ya SGR, Tumbua tumbua kwenye kipindi chake, Afya na elimu kwa hiki kipindi chake, nidhamu kazini, alivyo deal na mafisadi, alivyokabiliana na upinzani, Anavyosifiwa, Alivyo deal na corona, Impact ya utawala wake kwenye uchumi wa Tanzania ukiangalia both positively and negatively na kufanya analysis kidogo, na mengine mengi. Unaweza kuanza research sasa hivi na mpaka anamaliza utawala wake ukawa na data za kutosha kuandika kitabu.

Unfortunately mimi si mwandishi, nilifanya makosa nkadharau lugha nikawa ninapenda mahesabu nikashindwa ku balance na imekuja kuni cost mbeleni maaana kazi ninayofanya mehesabu nina apply kama 30% hivi. Kujua lugha vizuri katika kuongea na kuandika ni zana nzuri sana na inaweza kukuinua sana huko mbeleni.
 
Back
Top Bottom