Rais Jakaya Kikwete aanikwa...

Wewe ni lini Mtanzania akawa na maisha bora zaidi ya wakati huu? Kwa mara ya kwanza Tanzania tumepata tuzo ya Umoja wa Mataifa ya uongozi bora, jee unajuwa vigezo vinavyotumika?

Kama mnangoja Kikwete aje kuwajaza fedha mfukoni bila kufanya kazi basi mmekosea na mtangoja sana tena sana, si kwa Kikwete tu hata aje nani, hilo msahau. Njooni muone nje watu wanavyojituma, kwa utajiri walionao utadhani kuwa kila mtu atakuwa anazembea, si nchi wanzo fedha, lakini la hasha, kila mmoja yuko mbioni kufanya kazi kwa bidii ili maisha yake yaendelee kuboreka na apate mustakabali wake.

Watanzania wengi bado mnaongelea kufanyiwa, ongeleeni kufanya. Na wale wanaofanya tunawaona ndio wanakuwa waajiri. Watu kama wewe mtabaki kulalamikia mafanikio ya wenzenu daima. Na kwa kuwa ni wavivu kila mnapoona mafanikio ya wenzenu mnafikiri wameiba tu. Hapo ndipo mnaponishangaza mimi. Wewe hufanyi unategemea vipi kupata? utaokota? zitakuangukia kutoka mbinguni? au Serikali itakuja ikuambie chukuwa hizi?

Hapana, Serikali inakufanyia njia za kujiwezesha kuwa ni rahisi, kama ni mfanya kazi kafanye kazi, kama mkulima kalime, kama ni mpiga porojo tu JF, mitandao ndio hiyo bwereree, njoo tu tupige soga hapa halafu usilalamike kuwa "mimi sina". Fanya kazi!

Pia usasahau rekodi yenu ya kuwa Rais wa kwanza kuingiza Kiduku Ikulu na kuwazalisha wanawake wengi mitaani
 
Wamekosa ya kuandika. Vijiba vya roho vimewakaa. Mtamuona hivi hivi handsome man, hata akivaa gunia anapendeza. Wambili havai moja, wastara haumbuki.

Inaelekea unashabikia kwa sababu ya pale kwenye RED. Hii inanifanya niamini kuwa ni kweli alishakukanyaga jamaa kama inavyosemekana.
 
Mtabaki hivyo hivyo na vijiba vya roho. Ongeleeni barabara, shule, maji, hospital, demokrasia, kilimo, viwanda, umeme, ndio vitu vitakavyo kusaidia wewe na mimi na Mtanzania mwingine. Muoneshe katika hayo yote ni Rais yupi aliyefanya zaidi yake, halafu muoneshe yeye afanye nini kuongezea au kurahisisha hayo majukumu, na si nini anavaa. Watanzania watu wa ajabu sana badala ya kuongelea maendeleo mnaongelea mtu anavaa nini. Mnanshangaza jinsi vichwa vyenu vinavyofanya kazi!
Shule gani unazoongelea wewe bibie? Shule ambazo kuna wanafunzi 120 wamekaa kwenye vumbi na mwalimu mmoja tu? Hospitali gani? Hospitali ambako mama waja wazito wanazalia kwenye sakafu hata bila blanketi? Kilimo gani unachozungumzia wewe bibie? Kilimo cha kuwapa Wamarekani, wasaudia, Wabangla, Wakorea ardhi yetu ili wajilimie mpunga na kuupeleka kwao. Watanzania si watu wa ajabu. Ni watu kama nyie ndio mlio ajabu kutetea vitu ambavyo mtu mwenye akili timamu hawezi kuvitetea. Kazi gani anayofanya huyo Kikwete licha ya kurandaranda tu dunia nzima na msafara wa wawezeshaji hamsini kwa hela za kodi zetu. Kazi ya kuomba vyandarua huku madini yetu ambayo anawagawia wazungu? Hata meli ya ulinzi baharini badala ya kufikiria jinsi ya kununua meli anamwomba Hillary Clinton awaletee meli. Huoni hiyo ni aibu? Na ile ahadi yenu ya kusambaza computer katika kila shule imeishia wapi? Ahadi ya kugeuza Kigoma kuwa bandari ya kimataifa imeishia wapi? Watanzania tumechoka kudanganywa.
 
Wamekosa ya kuandika. Vijiba vya roho vimewakaa. Mtamuona hivi hivi handsome man, hata akivaa gunia anapendeza. Wambili havai moja, wastara haumbuki.

Wewe mama weweee! Unamacho lakini ni kipofu, Unamasikio lakini ni kiziwi. Kumbuka msemo huu "auaye kwa upanga sharti auawe kwa upanga". WikiLeaks endeleeni kufunua maovuu yote.
 
Mkuu, faiza kikongwe anaongelea maisha mazuri haya hapai:
drinking_water__africa.jpg
 
Wamekosa ya kuandika. Vijiba vya roho vimewakaa. Mtamuona hivi hivi handsome man, hata akivaa gunia anapendeza. Wambili havai moja, wastara haumbuki.
Huna maana FaizaFoxy, eti handsome?!
Kwani tukikosa maji, umeme, miundo mbinu na matatizo yanayotokeyo unakumbuka kwamba huyo raisi wetu yuko handsome?
Ebu ongea cha kueleweka dada!
 
Wamekosa ya kuandika. Vijiba vya roho vimewakaa. Mtamuona hivi hivi handsome man, hata akivaa gunia anapendeza. Wambili havai moja, wastara haumbuki.
Mama Salma bana,kweli ukipenda Chongo utaita Kengeza tu
 
Wamekosa ya kuandika. Vijiba vya roho vimewakaa. Mtamuona hivi hivi handsome man, hata akivaa gunia anapendeza. Wambili havai moja, wastara haumbuki.

Mimi sio shabiki wa kisiasa kwa viongozi wetu, napenda zaidi hoja za ukweli. Wiki wametoa hata siri za USA na Obama akalalamika kuwa wanahatarisha usalama wa serikali yake kwa kusema 'ukweli'. Sasa kijitu kama wewe unapoleta ushabiki wako hapa ni kujidhalilisha tu, na anayekutuma anakutumia pia.
 
Wewe mama weweee! Unamacho lakini ni kipofu, Unamasikio lakini ni kiziwi. Kumbuka msemo huu "auaye kwa upanga sharti auawe kwa upanga". WikiLeaks endeleeni kufunua maovuu yote.

Unaweza kumwita mama kumbe ni kidume mwenzio, net haiaminiki nowadays!
 
Yaani katika member waliokunya* hapa katika topic hii ni 'FaizaF' Yaani ameongea pumba tupu! Hongereni wakuu kwa kumwambia ukweli. Tuwe na moyo huu huu wa kuwakosoa wanaotaka kupotosha habari! :)
 
Hii habari meshaexpire siku nyingi na ikulu tayari imeshalitolea hili swala ufafanuzi. Waandishi siku hiz naona wamekosa cha kuandika

Kama wasomi wetu watakuwa na fikra kama za Faizafox na Rejao basi tumekwisha, na Tanzania itaendelea kuwa uchochoro wa vibaka wa ndani na kimataifa. Katika jumuia za watu wanaojali kwa kashfa hii angejiengua na kujiweka pembeni. Hapa kwetu ni sifa!
 
Handsome boy wa FF anapokea bahasha hata aibu haoni, ajitetee mwenyewe sasa.
 
Wamekosa ya kuandika. Vijiba vya roho vimewakaa. Mtamuona hivi hivi handsome man, hata akivaa gunia anapendeza. Wambili havai moja, wastara haumbuki.
<br />
<br />
Wewe ni mjinga kama sio mpumbavu. Ujuwi Rais wa nch ni mtu mkubwa sana? Je unataka kusema watanzania tutaendelea kuuza utu wetu na Utaifa Wetu just b'coz of gft gven to our Leader? Mimi nasema itungwe sheria kali kuondoa ujinga huu,pia rais awaombe radhi watanzania kwakuwa ombaomba mpaka kununuliwa sut? Mungu Baba,tumekosa nini Watanzania?
 
Back
Top Bottom