Rais Jakaya Kikwete aanikwa...

watu wapwani kwa kupenda misaada ndo zao,..si unaonaga wanavyojipanga kwa bakhresa kuomba futari wakati wa ramadhani!!!kwa hiyo kauza mahakama kuu in exchange for five business suits and a round-trip ticket to london??he stooped too low..he didn't see this coming,.much less from the top US diplomatic figure,...CIA inteligence is never wrong..ask sheikh osama
 
Hivyo ndivyo unavyojifariji wewe hapo Makamba sio???????????

sasa za moto zaidi ziko njiani tuone utakakoweka uso. Asante wa kweli Kubenea kwa kutafsiria Watanzania wenzetu kashfa hii japo kwa kuipunguzia sana sumu yake halisi

Hii habari meshaexpire siku nyingi na ikulu tayari imeshalitolea hili swala ufafanuzi. Waandishi siku hiz naona wamekosa cha kuandika
 
vijigazeti vingine bana,sasa hii ndio habari?huyu kubenua anawashwa. Atafute habari fresh na zenye maana sio hizi zilizo pitwa na wakati. wewe mzee wa kubenua, hata ufanye nini ccm hawakupi kitu. Utabaki na njaa zako tu.

Hivi huyu bado macho mazima?
 
Kwa nini umekuja huku kwenye gazeti lenye kukulazimisha kufikiri zaidi na kukulezea kiundani zaidi hadithi iliofichama nyuma ya kashfa na sakata zima tulionalo hapa wakati unajua fika kwamba gazeti pekee linaloimba nyimbo mzipendazo wewe Faisal Fox, Mwita25, Kishongo, Rejao na wengine wachache wa ina yenu kuwa gazeti ni UHURU pale barabara ya Lumumba??????????????

Akianza kupaka CHADEMA wote mtamgeuka, kwani hatuwajui nyie. Undani gani anao tueleza tusio ujua? Hakuna jipya hapo, hyo habari ilishaliwa na kuharwa siku nyingi.
 
Hii habari meshaexpire siku nyingi na ikulu tayari imeshalitolea hili swala ufafanuzi. Waandishi siku hiz naona wamekosa cha kuandika

Habari yeyote hata kama ni ya miaka kumi iliyopita itakuwa ni mpya kama utaisikia kwa mara ya kwanza. Hongera Wikileaks kwa kumvua SUTI tano so called handsome JK
 
Wamekosa ya kuandika. Vijiba vya roho vimewakaa. Mtamuona hivi hivi handsome man, hata akivaa gunia anapendeza. Wambili havai moja, wastara haumbuki.

Ah Foxy we mama wa mipasho sa aleikum. handsome ndani ya suti za kuhongwa then mahakama yetu ya rufaa inauzwa kwa kempinski ya sheikh Ali wa UAE. Inawezekana ziliambatana na mashati,tai,fulana,mikanda na ch....pi kazaa. kwa kweli ni aibu ya mwaka.
 
Wamekosa ya kuandika. Vijiba vya roho vimewakaa. Mtamuona hivi hivi handsome man, hata akivaa gunia anapendeza. Wambili havai moja, wastara haumbuki.
Kaumbuka sasa?Wapi suti? wapi 1bl za Uchaguzi 2005?Wapi kibali cha hoteli za mbugani?
 
Wamekosa ya kuandika. Vijiba vya roho vimewakaa. Mtamuona hivi hivi handsome man, hata akivaa gunia anapendeza. Wambili havai moja, wastara haumbuki.
si bure lazima amekufanyia kitu, huwezi ukamtetea kiasi hiki!
 
vijigazeti vingine bana,sasa hii ndio habari?huyu kubenua anawashwa. Atafute habari fresh na zenye maana sio hizi zilizo pitwa na wakati. wewe mzee wa kubenua, hata ufanye nini ccm hawakupi kitu. Utabaki na njaa zako tu.

Hivi huyu bado macho mazima?

Halafu mnaambiwa ukweli mnachanganikiwa na kuona solution ni kuwatoa kafara. Sera zenu zinaeleweka tumeshawashtukia na kupenda vya bure kama fisi.
 
Kama nchni inaongozwa na Rais Mtumwa Kiasi hiki, hivi hatupo utumwani hata sisi wana nchni? Huyu Jamaa kwakweli UN/NATO itusaidie kumwondoa kama alivyoondolewa shoga yake Qadhaffi.
 
Wamekosa ya kuandika. Vijiba vya roho vimewakaa. Mtamuona hivi hivi handsome man, hata akivaa gunia anapendeza. Wambili havai moja, wastara haumbuki.
jipendekeze tu dada uzuri wa huyu jamaa anamega na kutambaa.
waulize wenzako.
 
jamani mwacheni mkuu wa nchi,kafanya mema mengi na kila mtu anamapungufu yake

huwezi kumlidhisha kila mtu kwani atakuja Rais mwingine tutasema mengi pia,

tumwache mkuu afanye kazi zake
 
Wamekosa ya kuandika. Vijiba vya roho vimewakaa. Mtamuona hivi hivi handsome man, hata akivaa gunia anapendeza. Wambili havai moja, wastara haumbuki.
<br />
<br />
Wapatao mimba shulen vihelehele vyao + kitchen party,walia nn kaa kimya.Yafichikayo yote yatakuwa wazi,malipo yote hapa hapa dunian.
 
Back
Top Bottom