Rais Jakaya Kikwete aanikwa...

Wamekosa ya kuandika. Vijiba vya roho vimewakaa. Mtamuona hivi hivi handsome man, hata akivaa gunia anapendeza. Wambili havai moja, wastara haumbuki.
<br />
<br />
welcome back FF, tumezimiss pumba zako.
 
Ninavyofahamu Kubenea ni rafiki wa karibu wa JK!

Hii stori sijui inampaisha chati JK au inauza gazeti la MwanaHalisi?
 
Mwacheni JK wa watu. Mtu anitajie Raisi tokea wa awamu ya kwanza ambaye hajapewa fadhila. Nyerere alifadhiliwa na kina John Rupia na kina Jamal kiasi kwamba alivyopamba moto katika utaifishaji wa majumba hakuyagusa ya watu hao. Kama lilikuwa jambo jema kumsaidia kuleta uhuru, mbona hakumuachia nchi Simba wa Vita Mh Rashid M Kawawa ili kuonyesha madaraka hakuyapenda.

Nani amtupie jiwe la kwanza Kikwete wale wote aliokuwa wanawania kuingia Ikulu 2005 kwa kutumia hela kubwa. Mamilioni yaliyokuwa yanatekwa njiani yalikuwa ya nini.

Angekuwa ni dikteta angeweza ziba masikio pamba na hoteli zingejengwa mbugani kama jamaa walivyopora mgodi wa makaa ya mawe ya Kiwira. Mwacheni aendelee kumalizia ngwe yake na kutuachia midomo hii tunayotumia kushabikia matusi ya hawa ngozi nyeupe (melanin 0%)
 
Wamekosa ya kuandika. Vijiba vya roho vimewakaa. Mtamuona hivi hivi handsome man, hata akivaa gunia anapendeza. Wambili havai moja, wastara haumbuki.

Mtaishia kusema "HANDSOME MAN" wakati watu wanataabika na maisha magumu...anyway mtafaidika nyie ma "beutiful girls" mtakaoonwa na huyo handsome man wenu....ILA YANA MWISHO HAYA
 
<br />
<br /> Handsome mwizi?

Mtabaki hivyo hivyo na vijiba vya roho. Ongeleeni barabara, shule, maji, hospital, demokrasia, kilimo, viwanda, umeme, ndio vitu vitakavyo kusaidia wewe na mimi na Mtanzania mwingine. Muoneshe katika hayo yote ni Rais yupi aliyefanya zaidi yake, halafu muoneshe yeye afanye nini kuongezea au kurahisisha hayo majukumu, na si nini anavaa. Watanzania watu wa ajabu sana badala ya kuongelea maendeleo mnaongelea mtu anavaa nini. Mnanshangaza jinsi vichwa vyenu vinavyofanya kazi!
 
Mtaishia kusema "HANDSOME MAN" wakati watu wanataabika na maisha magumu...anyway mtafaidika nyie ma "beutiful girls" mtakaoonwa na huyo handsome man wenu....ILA YANA MWISHO HAYA

Wewe ni lini Mtanzania akawa na maisha bora zaidi ya wakati huu? Kwa mara ya kwanza Tanzania tumepata tuzo ya Umoja wa Mataifa ya uongozi bora, jee unajuwa vigezo vinavyotumika?

Kama mnangoja Kikwete aje kuwajaza fedha mfukoni bila kufanya kazi basi mmekosea na mtangoja sana tena sana, si kwa Kikwete tu hata aje nani, hilo msahau. Njooni muone nje watu wanavyojituma, kwa utajiri walionao utadhani kuwa kila mtu atakuwa anazembea, si nchi wanzo fedha, lakini la hasha, kila mmoja yuko mbioni kufanya kazi kwa bidii ili maisha yake yaendelee kuboreka na apate mustakabali wake.

Watanzania wengi bado mnaongelea kufanyiwa, ongeleeni kufanya. Na wale wanaofanya tunawaona ndio wanakuwa waajiri. Watu kama wewe mtabaki kulalamikia mafanikio ya wenzenu daima. Na kwa kuwa ni wavivu kila mnapoona mafanikio ya wenzenu mnafikiri wameiba tu. Hapo ndipo mnaponishangaza mimi. Wewe hufanyi unategemea vipi kupata? utaokota? zitakuangukia kutoka mbinguni? au Serikali itakuja ikuambie chukuwa hizi?

Hapana, Serikali inakufanyia njia za kujiwezesha kuwa ni rahisi, kama ni mfanya kazi kafanye kazi, kama mkulima kalime, kama ni mpiga porojo tu JF, mitandao ndio hiyo bwereree, njoo tu tupige soga hapa halafu usilalamike kuwa "mimi sina". Fanya kazi!
 
Wamekosa ya kuandika. Vijiba vya roho vimewakaa. Mtamuona hivi hivi handsome man, hata akivaa gunia anapendeza. Wambili havai moja, wastara haumbuki.
I see, nilikuwa sijui, kumbe wewe ndiye yeye unayetumia jina na picha ya kike! Hata ukijitetea vipi ukweli utabaki palepale, U-handsome wa suti za kununuliwa!
 
Wewe ni lini Mtanzania akawa na maisha bora zaidi ya wakati huu? Kwa mara ya kwanza Tanzania tumepata tuzo ya Umoja wa Mataifa ya uongozi bora, jee unajuwa vigezo vinavyotumika?

Kama mnangoja Kikwete aje kuwajaza fedha mfukoni bila kufanya kazi basi mmekosea na mtangoja sana tena sana, si kwa Kikwete tu hata aje nani, hilo msahau. Njooni muone nje watu wanavyojituma, kwa utajiri walionao utadhani kuwa kila mtu atakuwa anazembea, si nchi wanzo fedha, lakini la hasha, kila mmoja yuko mbioni kufanya kazi kwa bidii ili maisha yake yaendelee kuboreka na apate mustakabali wake.

Watanzania wengi bado mnaongelea kufanyiwa, ongeleeni kufanya. Na wale wanaofanya tunawaona ndio wanakuwa waajiri. Watu kama wewe mtabaki kulalamikia mafanikio ya wenzenu daima. Na kwa kuwa ni wavivu kila mnapoona mafanikio ya wenzenu mnafikiri wameiba tu. Hapo ndipo mnaponishangaza mimi. Wewe hufanyi unategemea vipi kupata? utaokota? zitakuangukia kutoka mbinguni? au Serikali itakuja ikuambie chukuwa hizi?

Hapana, Serikali inakufanyia njia za kujiwezesha kuwa ni rahisi, kama ni mfanya kazi kafanye kazi, kama mkulima kalime, kama ni mpiga porojo tu JF, mitandao ndio hiyo bwereree, njoo tu tupige soga hapa halafu usilalamike kuwa "mimi sina". Fanya kazi!

Nakusikitikia sana kama kweli upo nje ya Tanzania. Kwa hiyo umeenda nje umesahau kabisa maisha tunayoishi Tanzania!!!! SHAME. Huko nilipo highlight ndo nataka has nikujibu...Tanzania tunachopigania ni capacity to benefit. Unavyosema kwamba watu hawafanyi kazi unajionyesha kabisa huna idea ya kinachoendelea Tanzania. Kwa wale wenye ufahamu, ni mara ngapi unaamka asubuhi unapishana na wanaume kwa wanawake wanakimbilia feri kutafuta samaki walau kuuza kupata maisha...kwa wale tunaotoka vijijini ni mara ngapi unakutana na kina mama asubuhi asubuhi (kuanzia saa tisa usiku) wanakimbilia mashambani mwao kwa mguu na umbali mrefu walau tu wakalime waweze kupata maisha...Ninachosema ni kwamba, pamoja na kulima hakuna njia za kupeleka hayo mazao sokoni sababu barabara ni mbovu kutoka huko vijijini. Wakati huo huo hela za miradi zinaliwa kwenye halmashauri na hakuna hatua zinazoeleweka zinazochukuliwa...Sababu kubwa ni kwamba Rais mwenyewe anaishia kuendekeza ushoga na hakuna mtendaji wa Serikali anayemchukulia Serious... Mimi sisemi kwamba watu wawekewe hela mifukoni, issue ni kwamba hakuna fursa sawa kati ya maskini na matajiri. Rushwa imejaa na hakuna hatua zozote zinazochukuliwa na Rais si kwamba haielewi ila ni kuendekeza urafiki au tuseme huruma inayowaumiza wengine has maskini...Wewe unaongelea eti tumepewa tuzo ya utawala bora...tusipime maendeleo ya nchi yetu kwa kuangalia nini donors and watu wa mataifa mengine wanasema...tuangalie wananchi wenyewe wanasemaje. Siku zote kama wewe utakuwa kimbelembele kwa wazungu (donors and watu wengine wa ulaya including IMF na WB) siku zote watakusifia na hii ni ili uweze kuyapokea mawazo yao na hii inawapa faida wao kuliko sisi....NINAYO mengi ya kukueleza lakini ngoja niishie hapo. Nakushauri urudishe mawazo yako nyumba and see the reality. Acha kuishi kwa kufikirika. Huko unakoona wameendelea serikali zao zilikuwa hazichekeani na watu wanaotaka kula rasimali za nchi zao.
 
Wewe ni lini Mtanzania akawa na maisha bora zaidi ya wakati huu? Kwa mara ya kwanza Tanzania tumepata tuzo ya Umoja wa Mataifa ya uongozi bora, jee unajuwa vigezo vinavyotumika?

Kama mnangoja Kikwete aje kuwajaza fedha mfukoni bila kufanya kazi basi mmekosea na mtangoja sana tena sana, si kwa Kikwete tu hata aje nani, hilo msahau. Njooni muone nje watu wanavyojituma, kwa utajiri walionao utadhani kuwa kila mtu atakuwa anazembea, si nchi wanzo fedha, lakini la hasha, kila mmoja yuko mbioni kufanya kazi kwa bidii ili maisha yake yaendelee kuboreka na apate mustakabali wake.

Watanzania wengi bado mnaongelea kufanyiwa, ongeleeni kufanya. Na wale wanaofanya tunawaona ndio wanakuwa waajiri. Watu kama wewe mtabaki kulalamikia mafanikio ya wenzenu daima. Na kwa kuwa ni wavivu kila mnapoona mafanikio ya wenzenu mnafikiri wameiba tu. Hapo ndipo mnaponishangaza mimi. Wewe hufanyi unategemea vipi kupata? utaokota? zitakuangukia kutoka mbinguni? au Serikali itakuja ikuambie chukuwa hizi?

Hapana, Serikali inakufanyia njia za kujiwezesha kuwa ni rahisi, kama ni mfanya kazi kafanye kazi, kama mkulima kalime, kama ni mpiga porojo tu JF, mitandao ndio hiyo bwereree, njoo tu tupige soga hapa halafu usilalamike kuwa "mimi sina". Fanya kazi!

Umechukua nafasi ya Salva Rweyemamu?
Sasa wewe unasema na Salva afanye nini?
Aibu!
 
Mtabaki hivyo hivyo na vijiba vya roho. Ongeleeni barabara, shule, maji, hospital, demokrasia, kilimo, viwanda, umeme, ndio vitu vitakavyo kusaidia wewe na mimi na Mtanzania mwingine. Muoneshe katika hayo yote ni Rais yupi aliyefanya zaidi yake, halafu muoneshe yeye afanye nini kuongezea au kurahisisha hayo majukumu, na si nini anavaa. Watanzania watu wa ajabu sana badala ya kuongelea maendeleo mnaongelea mtu anavaa nini. Mnanshangaza jinsi vichwa vyenu vinavyofanya kazi!

Jitahidi kupiga debe ingawa Watanzania wa leo hawadanganyiki tena.
 
Mtabaki hivyo hivyo na vijiba vya roho. Ongeleeni barabara, shule, maji, hospital, demokrasia, kilimo, viwanda, umeme, ndio vitu vitakavyo kusaidia wewe na mimi na Mtanzania mwingine. Muoneshe katika hayo yote ni Rais yupi aliyefanya zaidi yake, halafu muoneshe yeye afanye nini kuongezea au kurahisisha hayo majukumu, na si nini anavaa. Watanzania watu wa ajabu sana badala ya kuongelea maendeleo mnaongelea mtu anavaa nini. Mnanshangaza jinsi vichwa vyenu vinavyofanya kazi!
komaa mama komaa manake nani atakulipia fees huko nje unakosoma kama wakimpiga chini! pole weee!
 
Hii habari meshaexpire siku nyingi na ikulu tayari imeshalitolea hili swala ufafanuzi. Waandishi siku hiz naona wamekosa cha kuandika

Ikulu ya sasa si kwa utawala wa nchi, bali ni maficho ya wafanyabaiashara wezi wa unyang'anyi ambao wanahangaika kujibu kashfa kila siku wewe ukiwa mmoja wao.
 
Mwacheni JK wa watu. Mtu anitajie Raisi tokea wa awamu ya kwanza ambaye hajapewa fadhila. Nyerere alifadhiliwa na kina John Rupia na kina Jamal kiasi kwamba alivyopamba moto katika utaifishaji wa majumba hakuyagusa ya watu hao. Kama lilikuwa jambo jema kumsaidia kuleta uhuru, mbona hakumuachia nchi Simba wa Vita Mh Rashid M Kawawa ili kuonyesha madaraka hakuyapenda.

Nani amtupie jiwe la kwanza Kikwete wale wote aliokuwa wanawania kuingia Ikulu 2005 kwa kutumia hela kubwa. Mamilioni yaliyokuwa yanatekwa njiani yalikuwa ya nini.

Angekuwa ni dikteta angeweza ziba masikio pamba na hoteli zingejengwa mbugani kama jamaa walivyopora mgodi wa makaa ya mawe ya Kiwira. Mwacheni aendelee kumalizia ngwe yake na kutuachia midomo hii tunayotumia kushabikia matusi ya hawa ngozi nyeupe (melanin 0%)

Kimasaburi saburi
 
jamani mwacheni mkuu wa nchi,kafanya mema mengi na kila mtu anamapungufu yake

huwezi kumlidhisha kila mtu kwani atakuja Rais mwingine tutasema mengi pia,

tumwache mkuu afanye kazi zake

Tumemweajiri afanye kazi zetu siyo kazi zake
 
Wamekosa ya kuandika. Vijiba vya roho vimewakaa. Mtamuona hivi hivi handsome man, hata akivaa gunia anapendeza. Wambili havai moja, wastara haumbuki.

Naona wewe ndo umekosa cha kuandika.... Otherwise njoo na hoja!!!...
 
Back
Top Bottom