Rais Jakaya Kikwete aanikwa...

Hii habari meshaexpire siku nyingi na ikulu tayari imeshalitolea hili swala ufafanuzi. Waandishi siku hiz naona wamekosa cha kuandika
Kaka ufafanuzi wa Ikulu una walakini wa makusudi unatoa maswali zaidi kuliko majibu ukisoma tunaambiwa aliyetoa zawadi ni huyo mwarabu ambaye ni mmliki wa hoteli ya kilimanjaro lakini Ikulu inasema hoteli ya Kilimanjaro haijawahi kutoa zawadi,nilitegemea majibu ya Ikulu yangekuwa yanamhusu mmiliki wa hotel na sio hotel
 
jamani mnaotetea mafisadi lazima mjue hili, ufisadi si jambo zuri hata kidogo, usitetee wala kushabikia kwani; mwisho wao utawadia na hakuna njia, watahukumiwa kulingana na matendo yao. angalia usije ukawa sehemu ya hiyo hukumu.
 
jamani mnaotetea mafisadi lazima mjue hili, ufisadi si jambo zuri hata kidogo, usitetee wala kushabikia kwani; mwisho wao utawadia na hakuna njia, watahukumiwa kulingana na matendo yao. angalia usije ukawa sehemu ya hiyo hukumu.
 
Wamekosa ya kuandika. Vijiba vya roho vimewakaa. Mtamuona hivi hivi handsome man, hata akivaa gunia anapendeza. Wambili havai moja, wastara haumbuki.
FF, you are a great lady with brilliant brain and you have 'PSI' powers za communications, nimekunite humu jf, unazitumia for 'provocations' and they work very well. Jifanyie self assesment usije kuwa ni miongoni mwa 'masochic' ladies na unachokifanya humu ni kupractice 'masochisim' bila kujijua. Nakushauri use you PSI powers for a better use than this, unless umejiridhisha mwenyewe kuwa this is the best you can do, japo mimi naamini 100% sure you can do better than this!.

Kwa wale msiojua FF, anaandika hivyo anavyoandika ili kuwa provoke, na mnavyojibu yeye ndio anapata gratification. Hebu hesabu yeye amekuwa quoted mara ngapi?. The more you quote her, the happier you make her, hao ndio macho ladies!.

Kwa msiojua PSI Powers, angalieni hii thread ina post 45 plus, kati ya hizo, 15 zinamquote FF, msifikire ni bure, hiyo works of powers!.
 
Duh na huko tunakoenda ndiyo balaaaaaaaaa kabisa maana Cable zimetoka nyingi sijamsikia huyo Salva kujibu
 
Kwa mazingira yetu ya kitanzania (2005) nadhani mpaka sasa hili si suala la kumlaumu sana JK, kwani watanzania wengi wanautamaduni wa kupokea vi zawadi, kwa hiyo hili suala mpaka kuja kufikia ukomo ni mpaka kizazi labda kijacho. Mfano ulaya mtu ukimpa zawadi anakuuliza maswali mengi na hata viongozi wa serikali akipewa zawadi anatakiwa aiweke wazi na pengine asiichukue kuogopa kuharibu sifa yake. Kwa hiyo kwa hili nchi kama Tanzania na watu wake tunahitaji kujifunza na kuelewa kuwa zawadi siyo nzuri na hili limekithiri sana kwenye serikali yetu (Mfano halisi nilishuhudia na kila siku inaendelea kutokea=Board of directors wa asasi mbalimbali za serikali hupokea either laptop mpya, au pesa eti kama zawadi).
HEY!! KUMBUKA HUYU NI RAIS. There is no any single code of conduct that would allow such malpractice. Even the TISS would have been in a position to counter/prevent this nuisance!. Nchi inaweza kuuzwa tukiendelea kuwa na mtazamo finyu kama huu!!
 
Handsome???? mwanamke hatoi sifa kama hiyo kwa mume wa mtu asiye "mjua" inawezekana ulisha mv..li..a ng..o wewe......... eti handsome, sheet!!!
 
tunaendekeza upumbavu kwa kuwa watanzania tu wapumbavu! najua watanzania maisha magumu yatawafanya muende pale magogoni na mapanga na marungu, siku iyo nipeni taarifa ntawapa support
 
Wenye akili tulimjua siku nyingi, tukajaribu kuwaambia mkatuona tuna wivu, mkajaa sana ushababiki kuhusu JK. Tulipowauliza mtupe sifa angalau mbili za JK kuwa kiongozi wa nchi aliyetufaa mkasema 1) Handsome 2) Anavutia. Haya, kuleni uzuri wake sasa. Watoto wenu na wajukuu wenu watapata shida kwa ajili ya ujinga na upofu wenu nyie wazazi wao. Baba zenu na mama zenu vijijini wanashindwa hata kwenda hospitali kutibu majeraha yaliyowajaa wakiwa shamba na shughuli nyingine wakati watu waliowakabdidhi nchi wanaiuza kwa suti tano. Nchi imejaa maudhi hadi watu tunafikiria yasiyoelezeka katika majukwaa kama haya. Kweli Tanzania nchi yangu nakuonea huruma. Hawa viongozi washukuru tu hii si miaka ya 70, wangejikuta wanajisaidia kwenye ndoo baada ya kupigwa na wimbi la ukombozi halisi na wa kweli dhidi ya ufashisti ili kukata mirija yote ya unyonyaji na ukabaila wao uchwara!
 
Wamekosa ya kuandika. Vijiba vya roho vimewakaa. Mtamuona hivi hivi handsome man, hata akivaa gunia anapendeza. Wambili havai moja, wastara haumbuki.

Acha umasikini wa fikra ww. Hv huyu Joka anakupa nn wewe?funguka hapa tujue.
 
Mie nina ushauri mmoja; Napendekeza kwamba kutokana na haya yoye yaliyotokea Jamii Forum wa-facilitate petition tutakayowakilisha Bungeni kutaka Bunge lipige kura ya kutokuwa na imani na raisi, kulingana na habari zinazojitokeza katika Wikileaks dhidi ya raisi wetu. Katika petition tueleze wazi kwamba hoja hii ya kutokuwa na imani na raisi ni kutoka kwa watu wa aina zote, wanachama na wasio wanachama wa vyama vya siasa ambao tunasikia uchungu kuona maovu yaliyofanywa na raisi wetu na tuna uchungu na nchi yetu hatuna tena imani na raisi kwamba anaweza kusimamia viongozi wengine wakamtii wakijua upungufu wake uliodhihirishwa na Wikileaks, kutia ndani ku-compromise usalama wa taifa letu. Japo hili si kama walilofanya wenzetu kule Tunisia, Misri na Libya, lakini ni namn mojawapo ya kuonyesha kwamba tumeudhiwa na kashfa zinazojitokeza dhidi ya raisi wetu, ambazo hakuna mtu mwenye akili anaweza akazitetea. Naomba coordinators wa JF waanzishe mjadla mpya juu ya hili.
 
Wamekosa ya kuandika. Vijiba vya roho vimewakaa. Mtamuona hivi hivi handsome man, hata akivaa gunia anapendeza. Wambili havai moja, wastara haumbuki.
<br /> <br / uhandsome wake unatuhusu vip watanzania na mali zetu? We mbona huna akili ht tone,
 
Back
Top Bottom